Udangaji kwa wanachuo umezidi

Udangaji kwa wanachuo umezidi

Siku hizi wana ujanja mwingi sana hawa watu,anakuwa na smartphone na kitochi,mkianza tu mahusiano utapewa namba ya kitochi na smartphone inafichwa,halafu baada ya siku mbili anakwambia alikuwa na smartphone ila iliharibika ndio maana anatumia kitochi,sasa hapo mzee kwakuwa umeshaonyesha umependa,na una li-Iphone lako lazima ujipinde kumnunulia simu ya maana ili anagalau mfanane,aisee these people are very clever...
Hiyo ni clever au ni wizi?! Una pongeza watu kwa tabia za kipuuzi.

Ni sawa na mtoto wako aanze tabia za kupekua pochi za wageni na kuiba hela halafu umejua useme my child is very clever.

Sema these people are so so stupid.
 
Yes, Mimi kuna vitu vya mwanzo huwa naangalia kabla hata sijajua ni mwananchi wa kawaida or not. Jinsi unavoongea ustaarabu wako nk. Sasa ukija na hizo swagger una gari zuri, nyumba aah ni mapema sana kuanza kuniambia hayo ntaona kama una jeuri na kuringishia vitu vyako.
Ya kweli haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.

Hivi mnawazaga nini?

The way ulivyomuingiliaaa Ndo the way ataishiii na ww ..we umemwambia una campuni ya magari na umepaki range kwa nini asikusauleeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
The way ulivyomuingiliaaa Ndo the way ataishiii na ww ..we umemwambia una campuni ya magari na umepaki range kwa nini asikusauleeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuliko nitoe laki 8 Bora nikapige punyere tu
 
Back
Top Bottom