Udangaji kwa wanachuo umezidi

Udangaji kwa wanachuo umezidi

Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.

Hivi mnawazaga nini?
Kuna kitu kimoja nilifanya uchunguzi na haya ndiyo majibu ya uchunguzi
1:wengi wao sio wanachuo ni wadangaji kwa kivuli cha wanachuo
2:wamekalili baadhi ya kozi kwenye vyuo walivyojipachika uanafunzi😂😂
3:Muulize jina la lecture ata mmoja utaskia kizunguzungu😂
 
Mmh
 
Hizo ngoma type ya huyo ndio wamejazana south Africa karibu asilimia 70 ya mademu wa south wapo hivyo halafu wanatongoza wenyewe wanaume hayo sio matende mkuu😁hilo ni zigo/mshangazi
Mashangazi nayo Njaa tupu
 
Inategemea umemuonyesha wewe ni mtu wa aina gani, kama umejitapa una pesa nyingi, gari kali aah anaona kwako simu it's a minor thing. So Be a gentleman acha masifa sifa.[emoji3]
Tatizo wanaume wakiwa real hampendi mnataka uongo ili muwe comfortable kuwakubalia huo ndio ukweli.

Haiwezi ikawa tu imetokea wanaume wanakuwa waongo kwa wanawake bila sababu yaani wajiskie tu kudanganya.
 
Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.

Hivi mnawazaga nini?
Kwanini mnadate na wanafunzi wa chuo? Muwaache watoto wa watu wasome. We ukiwa na binti yako yuko chuo utafurahi akiwa anadatedate tu watu huko club sijui wapi.

Wanafunzi wa chuo wanatakiwa wajielewe sana, hasa hawa wa miaka 20 hadi 24, wao bado ni wadogo wakipata janga lolote katika umri huo wataathirika vibaya maana bado wadogo na hawajui dunia na binadamu wakoje hasa.

Kama mwanafunzi wa chuo anadate ni bora adate na mwanafunzi mwenzie ama mtu wa rika lake
 
Wanataka pesa ambazo wa umri wao hawana
 
Back
Top Bottom