Udanganyifu wakati wa kununua magari kwenye showrooms

Mkuu hii ya kuangalia seatbelt ndio naiona je kama mkanda uliharibika wakaubadili?

Kwa kweli ukitaka kujua mwaka kwa urahisi ni kuangalia VIN Vehicle Identifications Number ambayo ipo kwenye gari ni mchanganyiko wa number na herufi
Jedwali iko hapa na unaweza kujua ni ya mwaka gani na imetengenezwa wapi hata kama ni Malaysia




 

Gari za Japan hawani VIN number ya character 17. Hapa unaongelea gari za ulaya na Marekani tu.
 
Hizo documents wanaweza wasikupe wanaficha kama unanunua yard, na wakakutengenezea na kadi ya gari (namba)
 
Sasa kitu kingine cha ajabu ni hizi crown athlete zinazouzwa Kwenye yard nyingi zinauzwa zikiwa zimeshushwa milage.... nilishangaa mwaka Jana nilienda yard Fulani kinondoni kila gari niliyouliza milage haizidi km 70000 kitu ambacho ni uongo.
Nishaachaga kbs kudeal na mileage kama nanunua gar bongo
 
Uko sahihi kabisa. Seat belt inaweza tumika ya mwaka wa nyuma. Mfano gari lililokuwa assembled February 2020, linaweza likawa na seatbelt ya Nov-Dec 2021. Maana ni accessories.
 

kwani gari alina serial namba au inayoweza kukujulisha ili gani ni la mda gani
 
kwani gari alina serial namba au inayoweza kukujulisha ili gani ni la mda gani
Ni very rarely mtu kufika kwenye serial number... Mara nyingi kilichoandikwa kwenye mkanda huwa kinakuwa 90℅ ukweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…