Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

Haka kamama kangu kembamba karefu kidogo kana gubu, visilani na hasira za karibu sana, mwanzoni nilikalamba vibao na mangumi nikakarudisha kwao miezi mitatu hivi ila sasa hivi nimeamua kuvumilia TU na naona Kila kitu kinaenda vema.

HALELUYAA....
Haahaahaa
Umetisha
 
Mzembe kitandani, nina mwaka na miezi kadhaa sijala naniliu yake. Nimejifunza kuchepuka
 
😂😂😂😂😂
Haka kamama kangu kembamba karefu kidogo kana gubu, visilani na hasira za karibu sana, mwanzoni nilikalamba vibao na mangumi nikakarudisha kwao miezi mitatu hivi ila sasa hivi nimeamua kuvumilia TU na naona Kila kitu kinaenda vema.

HALELUYAA....
 
Duh! Una embe dodo Mkuu hawa wa hivi huwa hawaachwi. Hotelini omba taulo kibao mnatandika sakafuni mnafanya yenu. 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…