Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

Haka kamama kangu kembamba karefu kidogo kana gubu, visilani na hasira za karibu sana, mwanzoni nilikalamba vibao na mangumi nikakarudisha kwao miezi mitatu hivi ila sasa hivi nimeamua kuvumilia TU na naona Kila kitu kinaenda vema.

HALELUYAA....
 
Back
Top Bottom