Udhaifu katika katazo la kuuza vyakula mchana wa ramadhani Zanzibar

Jibu hoja acha kuruka ruka kama umeshikwa kalio
 
Kwanza kabisa naamini wana jamvi mko salama kabisa.
Ninaamini swala la kuabudu ni la kila mmoja kulingana na imani aliyonayo kuhusu dhehebu au dini anayohusiana nayo.

Kwanza kabisa naomba kuanza kwa kusema wenzetu wakristo dhehebu la wakatoriki, walipoanza kufunga wala hawakuweka masharti watakapokuwa wamefunga wafanyiwe nini!!!

Lakini ndugu zangu waislam wanataka wakiwa wamefunga watu wasifanye shughuli zao za kila siku zinazowaingizia kipato kwa mfano wamama wanaopika chakula kwa ajili ya kujipatia kipato ati waache kisa waislam wamefunga.

Ninaomba kujua, kwani mfungo wenu ili uwe kamili ni lazima nyie waislam msiwe karibu na watu wanaokula au kupika vyakula vyao?! Kwa mtazamo wangu siyo sawa.

Mchungaji mmoja jina kapuni aliwahi kuhoji mbona Airport kuna msikiti lakini hakuwahi hata kujibiwa, na mchungaji huyo anadai kwamba alipotaka aingie msikitini akasali kwa kuwa ni nyumba ya ibada alikataliwa kwa sababu ya kwamba ni mkiristo, je wakristo wanaosafiri kwa usafiri wa ndege je wao wakaabudu wapi?? Au wenye nia ya kusali au kuabudu wakiwa kabla hawajasafiri ni waislam tu??

SIJAJUA KAMA NI UDINI LAKINI KAMA NDIYO BASI ONDOA UDINI TUISHI KAMA NDUGU.

Jambo lingine ambalo leo nimeshangaa, hapa tanga sehemu moja panaitwa forodhani, kwa chini yake kuna sehemu panaitwa DEEP SEA, huku bana kuna maisha
Ya raha sana, lakini kitu ambacho kimenishangaza kuna msikiti ambako pia ni eneo la serikali, lakini hakuna kanisa, hiii ikoje jamani. Au wakristo wenyewe ndo hawajaomba ridhaa ya kujenga kanisa hapa bandarini na kule Airport??

Naomba kuwasilisha kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
💚💛
Nimeenda kanisa la kinabii, ile naingia tu, kwa nabii, nabii akasema, wewe baba uliyevaa jezi ya mbeya city na skuna nyekundu, njoo hapa mbele.

Nikaenda, fasta nikazingirwa na Makerubi na Maserufi, wameshika maiki mikononi mwao, wengine wamevaa miwani myeusi kama maafisa kipenyo.

Nabii kwa sauti yake nzito akasema, kwa mamlaka ya kikuhani niliyonayo, kuanzia sasa wewe utakuwa mume wa Jeni, (inaonekana huyo jeni ndiyo tajiri wa kanisa ila hadi sasa na 46years hana ndoa wala mtoto)
Nikauliza kivipi aiseee..... nikaambiwa nisibishane na sauti ya bwana, nijiandae tu na ndoa, posa, mahari na vinginevyo kanisa litalipa.

Mama yangu weeeeee na ulevi wangu huu wa Konyagi, huyo malaika hajawaonyesha kabisa?
 
Hata kitimoto nimeona watu wanaandaa tu. Nacho hakimo katika vilivyopigwa marufuku. Serikali izuie uuzaji wa Kitimoto hadharani
 
Vita ya ukristo na uislamu,cpo upandee wwt ,ila namwamini MUNGU [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Tangu lini haya!?...
 
Umeongea vitu vingi sana ambavyo sijavizungumzia kabisa

Umechukia kuitwa kafiri?,Je,Unafahamu maana ya kafiri?
 
watu wenye imani wanawaogopa wasio na imani. Yaani wewe ukiwa umefunga ukiona sahani ya wali inamzuia kufunga? Basi hiyo ni mbovu kupindukia.
 
Dini Dini Dini, ni UJINGA Mkuu wa Binadamu
Bila waislamu mngepata uhuru nyie acheni zarau wakristo kipindi chakupigania uhuru mlikuwa choka mbaya kama sio yule jamaa kutugeuka waislam tungekuwa mbali sasa hivi halafu mnakuja hapa mnatuka dini iliyowaletea uhuru.
 
Hao wanafunga ila saa 6 unaruhusiwa kukazia na maji sasa funga gani hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…