Udhaifu Mkubwa Jeshi la Polisi ni kutomkamata Musiba kwa Makosa ya Jinai


Viongozi wa Dini ninaowakubali Ni Askofu Rugambwa (RIP) na Shekh Ponda Tu haya mazagazaga mnayoyataja yaliyowahi kuchukua pesa za mboga toka escrow hawana tofauti na wanayemtetea wamejaa dhambi kwenye kanzu hawana tofauti na shetani, Watu tunalia na tozo wao wanakija na utetezi wa MTU aliyewahi kuktukela
 
Polisi wasingeweza kumkamata Musiba mkuu,alikuwa chini ya mamlaka kubwa zaidi ya Polisi na naamini Polisi walilijua hili.
 
Polisi wasingeweza kumkamata Musiba mkuu,alikuwa chini ya mamlaka kubwa zaidi ya Polisi na naamini Polisi walilijua hili.
Wamkamate sasa hivi ili watu wapelekewe ujumbe mzito wa jinai haifi.
 
Wapo wengi humu Jamvini wanofanana na musiba kwa maneno na mengineyo ati hawashikiki- na wengine humu humu kwenye uzi huu. Zamu zamu tu.
 
Mpeleke mahakamani bush lawyer
 
Na yule aliyesema kuwa hata CCM isiposhinda wao ndio watatangazwa washindi naye alitumwa na nani?
Na yule aliyetutisha kuwa tutashitakiwa miga kwa kutetea madini yetu alitumwa na nani?
Watu kwa mikwara mbuzi bhana!
 
Jiwe alikuwa Mshamba Sana , No wonder alikufa Kindezi sana
 
Polisi wangemkata mtu aliyekuwa anatumwa na Rais?

Au unadhani Musiba alikuwa anajianulia tu, na magazeti yake kupewa matangazo ya serikali?

Wangezuga basi hata kwa lugha zao kuwa uchunguzi bado unaendelea wakapotelea huko.

Hawa viongozi wetu wa dini kama wanatumwa na musiba basi tunashida kubwa.
Sasa watarajie kupokea maombi ya waharifu wengine wengi.
 
Kwani wakati musiba anamtukana membe viongozi hao wadini hawakuwepo mbona hawakumkanya musiba?acha membe amnyooshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…