Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
- Thread starter
- #61
Tulikuwa tunatukana matusi gani?Nafikiri pia wangeanza kukwamatwa wanaharakati uchwara waliokuwa wanamtukana Magufuli na kulichafua taifa mitandaoni mfano Mange kimambi, Tobias Marandu, kigogo na wengine wengi mliokuwa mnatukana rais Magufuli kupitia kichaka cha siasa za uhanaharakati