Udhaifu ni nini? Na kwa nini tunashindwa kuushinda hata tukiufamu?

Udhaifu ni nini? Na kwa nini tunashindwa kuushinda hata tukiufamu?

Sio kweli, ingekua hivyo basi watu wanaoishi kwenye eneo moja wote wangekua na tabia zinazofanana coz wote wangekua wanadevelop character zinazowawezesha kusurvive kwenye mazingira hayo waliyopo na character zao zingekua za aina moja tu.
Yes hilo nakubali, ila haikwepeshi the fact that kila kiumbe kitatumia uwezo kilicho nacho kufit in na mazingira.
Chukulia mfano hata wa wanyama wa porini then Jenga logics zako kupitia hapo.

Zipo tabia zinazojengwa kutokana na mazingira kweli ila haziingii kwenye udhaifu.
Mimi naona udhaifu ni mindset
Kwamfano watu wanaamini watu wengi wanaotokea kwenye nchi zenye baridi Kali wanatumia sana pombe kali, ila pia ukikaa na wachina walio wengi wanavuta sana sigara na kadhalika (huu wote ni uraibu ila sio character ya ndani ya mtu husika)
Ndo maana tukaziita character mkuu.
 
Back
Top Bottom