Udhaifu ni nini? Na kwa nini tunashindwa kuushinda hata tukiufamu?

Udhaifu ni nini? Na kwa nini tunashindwa kuushinda hata tukiufamu?

Maana yake
tunachanganya udhaifu na na uraibu na tabiya

Tabiya mbaya au uraibu vitu ambavyo hatutaji kuviacha tunavipamba kwa kusema ni udhaifu
Shukran umeeleweka mkuu 🙏🙏
Yeah ndio iko hivyo, ingawa tabia pia zinaweza kuwa madhaifu coz Kila mtu ako na tabia ambazo amejifunza kutoka kwa jamii inayomzunguka ila pia anazo tabia ambazo ni naturally.

Na hizo naturally ni tabia ambazo huoneshwa sana na watoto kipindi wanapokua bado hawana machaguo ya kipi wakioneshe kwa jamii na kipi wakifiche (ndio maana kuna ule usemi unasema mama ndio mtu pekee anaemjua mwanae vizuri coz yeye ndie ambae ameshinda ndae wakati mtoto akiwa hajui kipi afiche na kipi aoneshe)

So tabia za aina hiyo ambazo hukufunzwa na mtu yeyote ila zilikua ndani yako tangu ukiwa huna akili timamu hadi sasa, hizo ndio wewe halisi so ni udhaifu wako huo.
 
So tabia za aina hiyo ambazo hukufunzwa na mtu yeyote ila zilikua ndani yako tangu ukiwa huna akili timamu hadi sasa, hizo ndio wewe halisi so ni udhaifu wako huo.🤔🤔
Hapo una hoja mkuu
 
Mkuu umalaya ni kazi pia halafu ukikosa fedha pia ni udhaifu kwenye elimu yako, ujuzi, au mbinu za kukupatia fedha!
Mkuu unanifurahisha tuu

how umalaya iwe kazi???

Umetumia definition ya form one Nini? Work is the pull or push.

Ok, sawa nakubali hiyo definition but how can we measure our work done? Ni mpaka mtu apate michubuko au?🤣🤣🤣🤣💔💔💔

Kuhusu kupata fedha, inategemea tuu kwakweli sitaki kuzungumzia sana kuhusu maswala ya fedha maana tukiondoa juhudi binafsi kudra/baraka za Mungu zinaplay sehemu kubwa sana.
 
So tabia za aina hiyo ambazo hukufunzwa na mtu yeyote ila zilikua ndani yako tangu ukiwa huna akili timamu hadi sasa, hizo ndio wewe halisi so ni udhaifu wako huo.🤔🤔
Hapo una hoja mkuu
Mada yako yote ndio inaanzia hapo kwenye tabia na huo mgawanyiko niliokuambia, na ndio hapo sasa tunapata uraibu na udhaifu.

Kwamba zile tabia zako za asili ni udhaifu na zile ambazo umejifunza ukubwani haziwezi ingia kwenye udhaifu.

Kuna mtu anaweza akawa mchoyo kwa kujifunza kwa maana jamii imemfanya awe hivyo ila kuna mtu ni mchoyo in nature. So kuna mmoja hapo ni udhaifu wake ila kuna mmoja ni maamuzi yake ambayo ameyafanya ili aendane na jamii husika.
 
Binafsi naona binadamu ni kiumbe dhaifu sana maana kimepewa nervous system iliyo sensitive kuhandle mikiki mikiki ya ulimwengu huu, so binadamu hukimbilia uraibu kucontrol constant dose of stimulus.

Ni sawa na kutaka kuwa high kila saa ili nervous system isiwe bored na constant stimulation. Imagine umekaa siku nzima bila kushika simu, bila kusikiliza kitu, si utahisi kuwehuka?

Watu walikuwa addicted hukosa control maana tayari ile dose imeshatumika kwa muda mrefu na mwili umesha zoea. Na hakuna Sehem au kitu kingine kinampa mtu furaha at a given moment and time
 
Hebu jaribu kutafiti utaelewa vizuri, sex work is work and is subject to tax kwa nchi zinaruhusu kisheria, huku Tanzania umalaya pia upo na watu wanapata pesa mbona
Mkuu nakuelewa unachomaanisha ila kimaadili it's not fair at all. Natamani tusiiweke kama kitu rasmi maana binafsi sitopenda kuona dadaangu, mdogoangu au ndugu yangu anafanya hiyo kitu.

Nipo mazingira ya Fulani nawaona kila siku dada zetu wanavyotembeza nyau zao, it's saaad but it's their choice too.
 
Sawa basi hoja yangu ni ile ile, hata kukosa fedha ni udhaifu
 
Back
Top Bottom