Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kwa kifupi hakuna udhaifu ambao hauna suluhu,maana udhaifu ni tabia ambazo hatukuzaliwa nazo,sio kwamba ni kilema labda hakuna namna ya kubadilisha
Ila madhaifu mengi ni mtindo wa maisha ambayo tumeamua kuchagua kuishi nao
Sasa binadamu kwa kawaida hupima au huogopa ubaya wa.kitu kutokana na madhara yake
Na bahati mbaya sana kuna madhara ambayo sio ya moja kwa moja au hayatokea haraka haraka kwa muda mchache,na haya ndio hutufanya kuchukulia mambo poa
Mfano sigara inachukua miaka kadhaa kuona athari zake,sasa ni vigumu sana.kwa mvuta sigara kuamini kwamba sigara inamadhara,wakati huku tangu anakuwa ameona baba amevuta na mpaka sasa yupo vizuri
Au pale madhara yanapotokea kwa kipindi fulani ni vigumu sana kuanisha na athari za sigara,ni kama vile mtu anaona haya ni madhara mengine ambayo hayahusiana na sigara
Kwahiyo kuacha madhaifu kunahitaji Will power kubwa sana ya kujitoa kuacha.kile ambacho nafsi yako imezoea kufanya miaka nenda rudi
The good news is,tunaweza kushinda.madhaifu yetu,ni swala la maamuzi tu.