Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,620
- 6,780
Wapo wachoyo wa asili, ukikaa na watoto unaweza kuliona hili.Hakuna mchoyo in nature, kila kitu unajifunza.
Upendo ndo inborn, kila kiumbe kina upendo
Wapo wachoyo wa asili, ukikaa na watoto unaweza kuliona hili.Hakuna mchoyo in nature, kila kitu unajifunza.
Upendo ndo inborn, kila kiumbe kina upendo
Huo sio uchoyo! Hiyo ni trantum ya kutaka attention. Kama ukwafatilia watoto wanaweza kupigana dakika chache tu wakawa marafiki tenaWapo wachoyo wa asili, ukikaa na watoto unaweza kuliona hili.
Hapana mkuu nakataa. Fedha inamambo mengi sanaSawa basi hoja yangu ni ile ile, hata kukosa fedha ni udhaifu
Rudi chini zaidi ya umri huo ambao unauwaza wewe.Huo sio uchoyo! Hiyo ni trantum ya kutaka attention. Kama ukwafatilia watoto wanaweza kupigana dakika chache tu wakawa marafiki tena
Sawa mkuuOk, try this
[email protected]
Umri upi?Rudi chini zaidi ya umri huo ambao unauwaza wewe.
Hapana kwani mimi hujui aina ya uandishi wangu?Je hii post ilikuja baada ya mimi kuweka bandiko langu la uraibu wa wanawake? 😒
Ahaa Shukran sana mkuuMada yako yote ndio inaanzia hapo kwenye tabia na huo mgawanyiko niliokuambia, na ndio hapo sasa tunapata uraibu na udhaifu.
Kwamba zile tabia zako za asili ni udhaifu na zile ambazo umejifunza ukubwani haziwezi ingia kwenye udhaifu.
Kuna mtu anaweza akawa mchoyo kwa kujifunza kwa maana jamii imemfanya awe hivyo ila kuna mtu ni mchoyo in nature. So kuna mmoja hapo ni udhaifu wake ila kuna mmoja ni maamuzi yake ambayo ameyafanya ili aendane na jamii husika.
Lazima nilikuwa inspiration tu, I've sensed that intuitivelyHapana kwani mimi hujui aina ya uandishi wangu?
Udhaifu kwa kizungu weaknessHivi udhaifu ni kile kitu ambacho tayari unakifahamu kuhusu wewe mwenyewe ?
Mfano, mtu anajua kwamba ana tabia fulani ambayo inajirudia kila siku na kila mara tabia hiyo inamuangusha au kumsababishia matokeo hasi
Exp: Mtumiaji wa sigara akaambiwa mapafu yake yame athirika na moshi wa sigara
Na akaambiwa asitishishe uvutaji wa sigara
Lakini yeye akaendelea kwa madai kua hawezi kuacha kuvuta maana sigara akiiona au kuhisi harufu yake
Anapagawa
Mwisho anasema yeye sigara ndiyo udhaifu wake mkubwa na hawezi kujizuia hivi huu ni udhaifu au tamaa?
Kama mtu anafahamu udhaifu wakekwa nini bado anashindwa kujizuia nao wakati tayari anajua kwamba tabia hiyo imekuwa ikimuangusha mara zote?
Au udhaifu ni kitu ambacho mtu mwenyewe hakifahamu kuhusu yeye?
I mean hajawahi kukifahamu kabisa
Je hicho ndiyo udhaifu wenyewe?
Unakuta mtu anasema
Mimi udhaifu wangu ni kitu fulani
Ngono,Ulevi,udokozi nk.......
na wakati huo huo anajua kabisa kwamba kitu hicho kinamsababishia matokeo hasi
Sasa najiuliza mtu anawezaje kukabiliana na udhaifu wake ikiwa tayari anaufahamu?
Je, kumtambua udhaifu wako ni hatua ya kwanza tu au kuna hatua nyingine muhimu zaidi baada ya kuutambua ili uweze kuushinda
Na je, mtu anaweza kuufanya udhaifu wake uwe nguvu au kuna baadhi ya udhaifu ambao mtu atalazimika kuishi nao na kujifunza namna ya kuudhibiti?
Night 🌙 ShesRise_1 🤚
Ambao mtoto hajaanza hata kutembea.Umri upi?
Kwahiyo mkuu, kwakuwa fedha ina mambo mengi nikisema kuikosa ni udhaifu nakuwa nakosea!Hapana mkuu nakataa. Fedha inamambo mengi sana
Siku nikapata wasaa nitakuja na Uzi unaohusu maisha yangu na mambo ya biashara hope watu wengi watajifunza kitu.
Nimekwambia kuwa hakuna kiumbe ambacho hakina upendo.Ambao mtoto hajaanza hata kutembea.
Anyway, technically tabia zote zilizopo duniani zilianzia kwenye uasili wa mtu fulani coz hakuna tabia ambayo watu wamekuja wameikuta inaelea elea hapa duniani.
Kwa kiasi Fulani unakosea.Kwahiyo mkuu, kwakuwa fedha ina mambo mengi nikisema kuikosa nakuwa nakosea!
Hili neno Udhaifu ni fupi lakini lina tafsiri nyingiUdhaifu kwa kizungu weakness
Lakini kwa wenzetu haimaanishi kuwa kitu hasi, wakati mwingine ni kitu chanya kwako binafsi, ila hakiendani na mazingira yako.
Wakati mwingine udhaifu unaweza kuwa kufanya kazi kwa bidii kwenye suala fulani na kukusabishia kupoteza muda mwingi, japo utalifanya kwa ustadi mkubwa, huo ni udhaifu yaani weakness kwenye kupoteza muda
Kwenye usaili wa kazi, hii ilianzia ulaya, ila naona wabongo pia wameanza kuitumia, ambapo unaulizwa nini ni udhaifu wako na nini ni ushupavu wako?
Unapojibu unatakiwa kuugeza udhaifu kwa ushupavu, kama mfano niloutolea, au kusomea mimi nafanya kazi vizuri kwa ustadi nikiiifanya peke yangu japo najua niokoa muda kama tukifanya kwa kushirikiana na wenzagu.
Hayo aliyoyapitia hayaondoi ninachokisema. Ni udhaifu kwasababu ameshindwa kuinuka na kuendelea kupambanaMtu kama huyo akikuomba elfu kumi unaweza kusema ni mvivu kufanya kazi lakini alichokibeba moyoni mwake anajua yeye.
Sio kweli, ingekua hivyo basi watu wanaoishi kwenye eneo moja wote wangekua na tabia zinazofanana coz wote wangekua wanadevelop character zinazowawezesha kusurvive kwenye mazingira hayo waliyopo na character zao zingekua za aina moja tu.Nimekwambia kuwa hakuna kiumbe ambacho hakina upendo.
Na huo ndo ukweli., mtoto mdogo asili yake ni upendo, ila Kadri a navyo ingia kwenye uhalisia wa survival ndo ana develop character ili a survive.
I can't judge that way, kama aliweza kuraise from zero to millions shilling iweje Leo awe dhaifu?Hayo aliyoyapitia hayaondoi ninachokisema. Ni udhaifu kwasababu ameshindwa kuinuka na kuendelea kupambana
Bhasi wewe sio Baba mtakatifu91 tafuta jina jingine mkuuUdhaifu wangu ni pombe na wanawake