Sio kweli, ingekua hivyo basi watu wanaoishi kwenye eneo moja wote wangekua na tabia zinazofanana coz wote wangekua wanadevelop character zinazowawezesha kusurvive kwenye mazingira hayo waliyopo na character zao zingekua za aina moja tu.
Kwamfano watu wanaamini watu wengi wanaotokea kwenye nchi zenye baridi Kali wanatumia sana pombe kali, ila pia ukikaa na wachina walio wengi wanavuta sana sigara na kadhalika (huu wote ni uraibu ila sio character ya ndani ya mtu husika)