Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

Kwanza Marehem Hamza hakuwa mtu mshambamshamba wa kudhulumiwa kirahisi kiasi hicho, ni mtu aliyekulia mjini mambo mengi ni muelewa, kiasi kwamba sheria za madini anazifahamu,nadhani ni tatizo jingine ndo lilimfanya kuchukua maamuzi hayo ikiwa pamoja na kuchanganyikiwa kiakili kwa ugonjwa usiojulikana
 
Exactly,, kama ulitumia intentional violence and intimidation kumuua huyo mtu inorder to achieve political aims,, basi utakua ni gaidi...

From the definition...
Kwa mfano juzi mtu mmoja alivamia watu huko New Zealand akawachoma visu ilahawajafa na serikali ikasema huo ni ugaidi, hapo walikosea ama hawakukosea kulingana na definition yako ya ugaidi?

"New Zealand PM Ardern says supermarket stabbing was 'terrorist attack' - BBC News" New Zealand PM Ardern says supermarket stabbing was 'terrorist attack'
 
Ukiita kisasi inakubalika vzr, ila sio ugaidi..

Haiwezi kuwa ugaidi kama raia hawakuuliwa na walionekana wakiranda mbele yake !!

Hichi kitu ndo mnashindwa kuelewa !!
Kwani Nani alisema ugaidi Ni mpaka walengwe Raia Tu? Hiyo definition mmetolea wapi?
 
Now ur talking. Wanao sema ALIDHULUMIWA ni washamba washamba wasio jua wanacho kiongea
 
Ili aitwe gaidi inabidi akidhi vitu viwili
1. Intentional violence and intimidation kwa raia.... Hii imekidhi
2. Need to achieve political aims... Hapa ndo Kasheshe ilipo !

Did he have any political aims ? If yes what were they ?
UmekaririshwA kwenye madesa dogo. Maliza hiyo llb yako pita law skul kisha nenda mahakamanj uone kama just kujua tu hizo crime ingredients kutakusaidia chochote.

Ur still a Learner
 
Watanzania wengi wana utindio wa ubongo wa asili mtu ana video enzi za uhai wake ambazo alikua kashka bastola huku akiimba nasheed za Isis na kabla ya kuuwawa moja kat ya watu waliokuwepo kwenye ile daladala alimrecord akijipiga kifua huku akisema mwambien siro anauwa waislam ila sisi vijana wa kiisam tuko tayar kufa kwaajili ya Allah.watu wakasema video ime tengezwa siyo ya kweli lakin muda huo huo hakuna ushahid wowte juu ya maongez ya kudai kutapeliwa madin yake, hata konda wa ile daladala alikir akimsikia akiyasema maneno hayo juu uislam.

Inawezekana alikua akitaman siku moja afanye vitendo vya kigaidi akiamin ni jihad pengine tu hakua na connection ya kujiunga na vikund vya kigadi akaamua aanze na bastola yake aliyomilikishwa kihalali kwakua alionekana mwema kumbe moyon ana mambo mazito.

Uislam unachafuliwa na wapuuzi Kama kina Hamza ambao wanafanya mauji kwa iman ya jihad lakin hakuna jihad yoyote zaid ugaid, din inatumika tu kulisha watu sumu kwakua huko ndo rahisi kuwajengea watu visas lakin lengo siyo kuupigania uislam japo vijana wapuuuzi Kama kina Hamza wanaamin wamekufa kwaajili ya kuupigania uislam.
Mwenyezi Mungu amjaalie Moto wa jahannam inshaallah (kwakua Quran imekataza kutoa nafsi zisizo na hatia)
 
Ur the true son of ur father
 
Mijitu mingine ni mbumbu kweli kweli.....ivo kama siku hiyo hakua na ule mguu wa kuku ww ulijuaje?
 
Kwa hiyo wewe unajua kuliko waTanzania wengine? Ok tufanye kama kweli unajua ,hebu tuambie huyo unayemwita gaidi aliwakilisha kundi lipi la ugaidi ambalo halina malengo ya uvamizi,badala ya kuvamia ubalozi fulani au central au supermarket yenye watu wengi limevamia askari waliokuwa wametulia kwenye lao.
 
Na Hamza kujifunza kunyang’anya Polisi silaha kwenye YouTube nayo bado ni ngumu kumeza
Marehemu wanajua zaidi
Wapumzike kwa amani
 
Mzee twende Kwa step usiwe Na haraka.,.Jibu swali then uliza swali
Kwani kuna ugaidi ambao haulengi raia ?
Unaweza kuthibitisha hilo ? ...

Nilianza mm kukuuliza hilo swali lkn haukujibu...Hivyo stepwise Ilitakiwa unijibu hilo kisha na ww uulize swali lako nikujibu.
 
Unapojadili jambo sensitive Kamaa Hamza usiwe biased Kama ulivyofanya! Siyo Polisi Wala wewe na hata ccm alikokuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya wilaya wenye kuujua undani wa Hamza! Wewe kuuzungumzia ni kujipa kazi ya kutuongopea na ama umelipwa ili kuwabrainwash wasomaji wa jf kwani tayari imejipa kaziya msemaji wa polisi! Ya Hamza ni mazito yaache Kama yalivyoachwa! Huyajui na hakuna anayeyajua zaidi ya marehemu Hamza!
 
Kwani kuna ugaidi ambao haulengi raia ?
Unaweza kuthibitisha hilo ? ...

Nilianza mm kukuuliza hilo swali lkn haukujibu...Hivyo stepwise Ilitakiwa unijibu hilo kisha na ww uulize swali lako nikujibu.
Mimi ndo nilianza kuuliza source ya hiyo definition...rejea post yangu ya 73
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…