chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
wewe mganga wa kienyeji hujawai kukutana na udhulumati wa polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweliKuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio...
Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe ni kwenye soko halali au kwenye black market huwa anakuwaga heaveily armed au at least anakuwa armed..
So kwa vyovyote vile Kama Hamza alienda kuuza hayo madini kweli maana yake na yeye alikuwa na silaha .
Sasa basi hivi kwa ukakamavu na ujasiri alio uonyesha Hamza siku ya tukio unadhani angeweza kukubali kudhulumiwa madini yake kiboya kweli?
Mtu mwenye ujasiri wa kuwafuata Askari POLISI kwenye kibanda Chao na kuwaua kwa risasi Kisha kuchukua silaha zao na kuendelea kutamba nazo huku akitafuta Askari wengine , unadhani anaweza kupeleka madini yake mahali kuuza akadhulumiwa halafu eti aondoke bila kufanya Jambo lolote wakati ana silaha ya Moto?
Nope isinge wezekana hata kidogo. Angekufa na watu wengi siku hiyo hiyo na kila kitu kingekuwa wazi.
Nilicho gundua kuhusu watanzania wengi ni kwamba you people are a poor judges of character.
Kusema kwamba eti Hamza ALIDHULUMIWA madini yake siku kadhaa kabla ya tukio ni kumkosea heshima Hamza.
Kwa ujasiri alio uonyesha siku ya tukio isingewezekana hata kidogo kudhulumiwa bila yeye kufa na watu saa hiyo hiyo wakati ana dhulumiwa.
Kusema Hamza ALIDHULUMIWA madini siku Chache kabla ya tukio ni kumdhalilisha Hamza.
Nadharia ya Kamanda Siro na jeshi la POLISI kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu za kigaidi Ina make a lot of sense.
Oooh alikuwa mtu mzuri alikuwa anatoa misaada.. kwani nani alikwambia gaidi huwa anajionyesha mtaani ?
Hawa magaidi huwa wanaishi double life. Hata Osama Bin Laden alikuwa mtu mzuri Sana katika jamii inayo mzunguka tena alikuwa shabiki mzuri Sana wa Arsenal.
Ugaidi ni ideology sio personality.
Mtu anaweza kuwa mwema kabisa katika mambo mengine lakini ndani yake ana agenda ya ugaidi.
Oooh alikuwa mfanya biashara wa madini anamiliki mgodi ...
Hivi Alie kwambia magaidi wanakuwaga masikini wasio na shughuli za kufanya nani?
Ma expert wa anti terrorism duniani kote wanajua kwamba magaidi huwa na mitandao mikubwa na huwa na watu wanao wafadhili kipesa nk.
Hivi unadhani Osama na Al Qaeda walikuwa wanapata wapi pesa za kufanya operations zao?
Acheni kuwaza Kama watoto wadogo.
Kwanini kaua Askari sio wale raia waliokua kwenye eachier?Haya na Hamza ameanza kuua askari kwa jina la Allah, na wewe ukae kimya
Swali la kitoto kweli. Wale hazikuwa siku zao zimefika. God just protected them and in addition to that at that time hawakuwa threat kwake ... Nakuombea next time tukio kama.hilo lilitokea apigwe risasi ndugu yako wa damu ambae sio Askari halafu uje ku uuliza swali la kihanithi hapa. ..Kwanini kaua Askari sio wale raia waliokua kwenye eachier?
Basi hata ushahidi wa hamza kuongea maneno ya kigaidi na kuonyesha yeye ni gaidi kila mtu ameona labda wewe ndio hujaona, fanya jitihada zako uone ndio uje hapa tujadiliane.Hujajibu swali langu mkuu !!
Majibizano ya risasi kila mtu ameona... Je, Wewe una ushahidi unaoonesha dhahiri Hamza akiongea hayo maneno ?
Kama unayo tuma hapa tuichambue.
Ukiita kisasi inakubalika vzr, ila sio ugaidi..Huyu jamaa inaonekana aliamini polisi(Sirro) ana bifu Na waislam.
So kajitoa muhanga kulipiza kisasi...Huo Ni ugaidi nonetheless
A good lawyer must not be the one who looks at the law as it is written in the statutes but the one who look at the law as it is supposed to beWengi wanaomsingizia Hamza kuwa ni gaidi wanashindwa kujibu hili swali na kujikuta wamenasa kwenye mtego !!
Tangu lini gaidi aone raia kisha asiue hata mmoja ? Na kama wapo mtupe ushahidi wa kimataifa.
Hapa chini nimeweka maana ya Terrorism :
" the unlawful use of violence and intimidation, especially against CIVILIANS , in the pursuit of political aims."
Swali zuri, ndio maana kabla ya kujibu swali lako la kwanza nikakuuliza ushahidi wa hamza kurushiana risasi umeutoa wapi, ukasema uko wazi kila mtu ameona, vizuri.Mmeona Hamza akitamka kutoka kinywa chake ? Una hakika gani kama ni kweli na sio uzushi ?
Tuachane na hayo mambo ya ushahidi, I am now interested na hii definition yako ya terrorism.Ndo maana nikakwambia nioneshe huo ushahidi /video inayoonesha Hamza akitamka hayo maneno kutoka kinywani chake,and not otherwise.... mpka sasa hujatuma...
Niulize mm ushahidi kuonesha Hamza na polisi kama walirushiana risasi nikutumie chap !!
The event would have been referred to as terrorism, if at least one innocent civilian was killed..