Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.

Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?

JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.

2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?

JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.

Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.

WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.

Hupunguzi Wala huongezi chochote.

JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?

Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.

Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.

Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.

Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.

Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
 
Tatizo lenu, mpo busy kushughurika na MUNGU, wakati hampo katika level zozote naye, hata kujiongezea unywele hamuwezi,, hata kuongeza dk moja kwenye maisha yako, hata kujicontrol usipate njaa au usinye huwezi, basi jibu ni moja , acha upumbavu, pumbavu wewe, hata usipo msifu , ama kumwabudu atabaki wa kusifiwa, mawe na hata miti na upepo unamsifu, so usijione mwamba na sifa zako za kinafkiiii, sisi tutasifu hata milele
 
.

Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.

Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani kwenye raha naisha Maisha mazuri n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.

[/QUOTE]
Kwa hiyo wanaopitia maisha magumu na ambao hawajawahi kula raha za dunia wasimuabudu think twice bloo
 
tatizo lenu, mpo busy kushughurika na MUNGU, wakati hampo katika level zozote naye, hata kujiongezea unywele hamuwezi,, hata kuongeza dk moja kwenye maisha yako, hata kujicontrol usipate njaa au usinye huwezi, basi jibu ni moja , acha upumbavu, pumbavu wewe, hata usipo msifu , ama kumwabudu atabaki wa kusifiwa, mawe na hata miti na upepo unamsifu, so usijione mwamba na sifa zako za kinafkiiii, sisi tutasifu hata milele
Umetoka kapa mkuu halafu wewe huna Imani Na Mungu ila una hisia Kali Na Mungu.
 
.

Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.

Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani kwenye raha naisha Maisha mazuri n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
Kwa hiyo wanaopitia maisha magumu na ambao hawajawahi kula raha za dunia wasimuabudu think twice bloo
[/QUOTE]
Duniani Hakuna Maisha magumu mkuu. Dunia ni Pepo.. Maisha magumu yapo kwenye fikra Tu lakini sio kwenye uhalisia.

# mshukuru Mungu Kwa Kila jambo
 
Dini ni kama katiba inayotoa miongozo ya kuishi na kuvitawala vilivyomo duniani.
Kuna mahali dini (katiba) fulani haikubaliki,mahali hapo napo pana dini (katiba) ya kwake kwa ajili ya kusimamia imani (sheria) za mahali hapo,lakini tunaambiwa Mungu ni mmoja... Kwanini imani (sheria) ni tofauti kila mahali penye dini (katiba) yake?
Tuishi kama haipo kesho yetu maana hakika tutakufa tu,baada ya kifo hakuna maisha mengine kwa mfu.
Turejee maisha ya migomba baada ya kutoa mkungu,ndizi zikisha komaa mgomba hukatwa na kulazwa chini, hausimami na kuota pengine. Binadamu tuna uspesho gani tulio tofauti na viumbe vingine?!!
Tule,tunywe tulewe,tufurahie maisha ya duniani. Maisha ni haya haya,huko "kwingine" ni mbinu za wapigaji...
 
Sasa kuabudu kuna shida gani. Eventually all actions towards God dont benefit God in anyway. They are for our benefit.
Sijasema kuabudu kuna shida ila nimeonyesha udhaifu WA hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu. By the way nashukuru Kwa Sababu umekubaliana na hoja yangu kwamba ibada has nothing to do with God.

Mungu sio muhitaji wa kitu chochote kile
 
Umetoka kapa mkuu halafu wewe huna Imani Na Mungu ila una hisia Kali Na Mungu.
hisia ni nini ni mtazamo wenye imani kali ndani yake ,hivyo huwezi kuwa na hisia na kitu usichokuwa na imani nacho kuwa ni sahihi, ila nakuacha na neno linalosema , mpumbavu asea moyoni mwake hakuna Mungu.
kumbuka bingwa wa hekima na maarifa alishasema vyote ni ubatili. kama umeamua kwenda motoni usipoteze kizazi hiki kilichopotoka nenda mwenyewe, na uache upumbavu na hekima za kipuuzi
 
Sasa kuabudu kuna shida gani. Eventually all actions towards God dont benefit God in anyway. They are for our benefit.
Sijasema kuabudu kuna shida ila nimeonyesha udhaifu WA kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu. By the way nashukuru Kwa Sababu umekubaliana na hoja yangu kwamba ibada has nothing to do with God.

Mungu sio muhitaji wa kitu chochote kile
 
hisia ni nini ni mtazamo wenye imani kali ndani yake ,hivyo huwezi kuwa na hisia na kitu usichokuwa na imani nacho kuwa ni sahihi, ila nakuacha na neno linalosema , mpumbavu asea moyoni mwake hakuna Mungu.
kumbuka bingwa wa hekima na maarifa alishasema vyote ni ubatili. kama umeamua kwenda motoni usipoteze kizazi hiki kilichopotoka nenda mwenyewe, na uache upumbavu na hekima za kipuuzi
Wewe ni kichaa Ni wapi nimeandika Hakuna Mungu?

Una muacha katibu una mfuata mwenyekiti.

Wewe jibu swali , USIPO MUABUDU MUNGU ANA PUNGUKIWA NA KITU GANI? UKIMUABUDU MUNGU ANAONGEZEKEWA NA KITU GANI?

Kama huna majibu kaa kimya acha utoto
 
Sijasema kuabudu kuna shida ila nimeonyesha udhaifu WA kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu. By the way nashukuru Kwa Sababu umekubaliana na hoja yangu kwamba ibada has nothing to do with God.

Mungu sio muhitaji wa kitu chochote kile
kwanini umeamua kupoteza watu kwa kujifanya unajua zaidi ya aliye kuumba, je wewe , unafahamu dk 1,zaidi unafahamu hata tumboni kwa mama yako ulikaaje na kwanini ulikaa kwa staili hiyo,aliye kuumba anakwambia umsifu n kumuabudu , na jibu ni kwasababu anastahili, Rais anapewa heshima kwa sababu anastahili na MUNGU anasifiwa na kuhabudiwa kwa sababu anastahili. So ukishindwa kufanya anavyo itaji usitake msahada kwake. Iyo independence mechanism ya kuingiza na kutoa hewa bila kuitaji nishati ya kuiboost isikupe kiburi, hii siku utaikumbuka na kwambia acha upuuzi
 
Back
Top Bottom