Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

Jibu swali. Usikwepe swali
Una amini Mungu alifanya mission ya kuteketeza mji mzima wa Sodoma Na Gomora Na kuwaokoa watu watatu ambao Ni Luthu Na bintize wawili ili mwisho WA siku Lutu alale Na binti zake?
hilo la kulala lako mm silijui, ilikuwa mission sababu ya ghadhabu, na lengo tunaonglea jE MUNGU hupata hasira? nahisi jibu umepata
 
Sasa kwanini anapoamua kuwaadhibu wale wasiomuabudu mnabaki kutoa mapovu? Kila mtu ashinde mechi zake...MUNGU kashasema wale wanaomuabudu pasi na kumshirikisha atawapa paradise na raha za milele na wale wajeuri,viburi ambao wamekataa kumuamini na kumuabudu atawafanya kuwa kuni za jahannam....YEYE NDIO AMEPENDA NA AMETAKA IWE HIVYO.

WEWE UKIONA KUWA MATAKWA YA MUNGU NI YA KIPUUZI basi endelea kufanya unagoyafanya ,usimuamini wala usimuabudu ila jeuri zako mwisho wa siku zitakurudia mwenyewe pale utakapokufa na kwenda kukutana nae uso kwa macho.
 
Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.

Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
... kwamba hayo mengine yote kwa maelezo yako ni ubatili ila shukrani? Kwamba shukrani kwa Mungu ndio kitu pekee kinacho-add value kwa Mungu? Lete reference badala ya hisia. Amri 3 za mwanzo kati ya zile 10 ni hints tosha ya nini Mungu anakitarajia kutoka kwa mwanadamu.
 
wewe unajuaje ayo unayoyajua ulikuwepo? na kama umesoma ama kuhadithiwa una uhakika ni sahihi
 
Hizo ni amri za Mussa wewe sio amri za Mungu. Amri ya Mungu ni Moja tu.
 
wewe unajuaje ayo unayoyajua ulikuwepo? na kama umesoma ama kuhadithiwa una uhakika ni sahihi
Hahhaha Kwa hiyo umejigeuka Tena mwenyewe sio? Kwamba story ya sodoma Na Gomora Ni ya kutunga?
 
utabaki kuwa mtazamo wako, kama unaamini hivyo basi huamini uhalali wa biblia na vitabu vitakatifu na kama ni hivyo huamini kuhusu MUNGU, UNARUDI KUWA MPUMBAVU,PUMBAVU WEWE, NA SI TUSI NI MUNGU KAANDIKA HIVYO KWENYE VITABU VYAKE NA MIMI NAWASILISHA
 
Mungu hajawahi kuandika vitabu. Hata hilo neno "pumbavu wewe" hajawahi kulitumia.
Kwenye maandiko yenu imeandikwa "Mungu akanena na..."
 
Y
Mungu hajawahi kuandika vitabu. Hata hilo neno "pumbavu" hajawahi kulitumia.
Kwenye maandiko yenu imeandikwa "Mungu akanena na..."
yoh; 1;1 inathibitisha kuwa Mungu ni neno, na zab 53:1 mpumbavu asema moyoni mwake hakuna MUNGU, nawewe usiyeamini neno la vitabu vya Mungu ni Mpumbavu vievile,jehanamu nenda peke yako usipotoshe,MPUMBAVU wewe
 
Kweli ulokole ni ugonjwa mbaya sana kwa wengine...
"Mungu ni neno" tayari umeithibitisha kauli yako kuwa Mungu aliandika biblia?
Unaelewa maana ya "Mungu akanena na...?
Kwa kauli zikutokazo mdomoni mwako nasita kuamini kama una waumini wenye akili timamu wapo pamoja na wewe kimafundisho.
 
Hizi mada ndio unagundua viongozi wengi wa dini ni weupe

Mungu katuumba ili tumuabudu

Hii kauli inahubiriwa sana
 
Kama.mzazi utajisikiaje ukiona watoto uliowazaa mwenyewe na kuwakuza mwenyewe hakupi heshima kama mzazi pamoha na mazuri yote unayowafanyia badala yake unaishia kuwaona wanampa jirani yako heshima unayoistahili wewe ?
Bas hvyo hvyo ndio Usipomuabudu na kumshukuru Mungu kuna vitu anapungukiwa ila kwa sababu hatumuon tunahis hakuna kitu anachopungukiwa. Ndio maana yeye mwenyewe kajifunua kwa kusema yeye ni Mungu mwenye wivu.

hawezi pungukiwa material things ila kumbuka kuna emotions.

wakupinga waje wapinge
 
utabaki kuwa mtazamo wako, kama unaamini hivyo basi huamini uhalali wa biblia na vitabu vitakatifu na kama ni hivyo huamini kuhusu MUNGU, UNARUDI KUWA MPUMBAVU,PUMBAVU WEWE, NA SI TUSI NI MUNGU KAANDIKA HIVYO KWENYE VITABU VYAKE NA MIMI NAWASILISHA
Mungu alifanya mission ya kuangamiza malaki ya watu kwenye miji ya sodoma Na Gomora Na Kisha kuwaokoa watu watatu Tu ambao Ni Lutu Na binti zake ili baadae Lutu aje alale Na kuzaa Na binti zake?

Jibu swali hili please acha kunitoa kwenye mada
 
Kama.mzazi utajisikiaje ukiona watoto uliowazaa mwenyewe na kuwakuza mwenyewe hakupi heshima kama mzazi pamoha na mazuri yote unayowafanyia badala yake unaishia kuwaona wanampa jirani yako heshima unayoistahili wewe ?
Bas hvyo hvyo ndio Usipomuabudu na kumshukuru Mungu kuna vitu anapungukiwa ila kwa sababu hatumuon tunahis hakuna kitu anachopungukiwa. Ndio maana yeye mwenyewe kajifunua kwa kusema yeye ni Mungu mwenye wivu.

hawezi pungukiwa material things ila kumbuka kuna emotions.

wakupinga waje wapinge
Wacha kufukuru Mungu wewe. Mungu hawezi kupungukiwa Na kitu chochote.
 
Hizi mada ndio unagundua viongozi wengi wa dini ni weupe

Mungu katuumba ili tumuabudu

Hii kauli inahubiriwa sana
Ni weupe kuliko weupe wenyewe
 
Back
Top Bottom