Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

Mungu alifanya mission ya kuangamiza malaki ya watu kwenye miji ya sodoma Na Gomora Na Kisha kuwaokoa watu watatu Tu ambao Ni Lutu Na binti zake ili baadae Lutu aje alale Na kuzaa Na binti zake?

Jibu swali hili please acha kunitoa kwenye mada
nasikitika jinsi mafundisho maovu ya upotoshji wa neno la MUNGU yanavyokuwa kwa kasi, iyo juu yako mm siijui luthu aliongoka kwa utakatifu wake, hilo b,sijawai kuona hivyo jijibu mwenyewe kulingana na upumbavu wako
 
😂😂😂😂😂 Huwezi kujibu Hilo swali mkuu
 
“Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
” Kutoka 20:5 , kitoka 34:14, Kumbukumbu la Torati 5:9, Kumbukumbu la Torati 4:24

“kwani Bwana, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya Bwana, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.
”Kumbukumbu la Torati 6:15

Nahumu 1:2

Yoshua 24:19

Hayo yote ni kwamjibu wa biblia sio mm
... ameshaikana Biblia toka mwanzoni huko; anadai hayo ni maneno ya Musa sio ya Mungu. Uzi wake huu kama umemshida to some extent kuujengea hoja mujarabu za kisomi akaeleweka badala yake anajikoroga sana!
 
Kweli ulokole ni ugonjwa mbaya sana kwa wengine...
"Mungu ni neno" tayari umeithibitisha kauli yako kuwa Mungu aliandika biblia?
Unaelewa maana ya "Mungu akanena na...?
Kwa kauli zikutokazo mdomoni mwako nasita kuamini kama una waumini wenye akili timamu wapo pamoja na wewe kimafundisho.
dah , aseeeiii.... kitu usichokijua mimi sina hobby na maswala ya ulokole ,biblia imeandika MUNGU NI NENO, HUTAKE USITAKE ISHAANDIKWA,MENGINE KUJAZIA NYAMA ETI ULIKOSOE UONEKANE UNAAKILI KULIKO MUNGU ALIYEKUPA UHAI UNAOLINGIA NI UPUMBAVU, NA SIBISHANI NA WEWE KAMA UNAMBISHIA MUNGU ,MM NI NANI?
 
Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.

Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?

JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.

2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?

JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.

Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.

WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.

Hupunguzi Wala huongezi chochote.

JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?

Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.

Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.

Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.

Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.

Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
Kumuabudu Mungu maana yake ni kumuamkia na kumuheshimu kama unavyomuamkia na kumuheshimu baba yako mzazi

Malaika hawana option kazi yao ni kumuabudi Mungu na kufuata kile wanacho amrishwa na Mungu

Binaadamu amepewa option hapa duniani afuate maagizo ya Mungu au akatae na ndio maana wewe umeandika hadi Uzi kuwa hutaki kufanya ibada yani kumuamkia Mungu wako aliyekuumba

Ila ameandaa moto mkali sana kwa ajili ya watu majeuri wasiotaka kumuamkia Mungu wao na kumuheshimu kama wewe hivyo jiandae
 
Huyo ni mwanadamu mkuu. Haya Sasa nikuulize swali.

Mti wa mchungwa unatoa machungwa matamu wewe umeenda kuchukua chungwa umekula umepata vitamin. Je mti wa mchungwa unahitaji uushukuru? Je usipo ushukuru utapungukiwa nn ?
kwani mti wa machungwa umeuumba wewe ? unamhukuru aliye muumba na si wewe,
note; unazaa ila uwezi kuumba keep in ur mind
 
Hahitaji chochote kutoka kwa binadamu! Hiyo ni "contradiction" ana vyote halafu ahitaji nini? Tumia mda wote kuhakikisha maisha yako yanasonga mbele! Akili aliyokupa itumie kipambana na sio kumwabudu. Siku za mwisho usishangae Mungu anakuuliza "ni kwa nini ulikuwa unanipigia kelele??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... ameshaikana Biblia toka mwanzoni huko; anadai hayo ni maneno ya Musa sio ya Mungu. Uzi wake huu kama umemshida to some extent kuujengea hoja mujarabu za kisomi akaeleweka badala yake anajikoroga sana!
Kwani uongo mkuu? Torati iliandikwa Na Mussa ndio maana inaitwa Torati ya Mussa.

" Now Moses was a very humble man , more humble than anyone else on the face of the earth" Numbers 12.3.

Only Moses can write this. Hapo alikuwa anajifagilia mwenyewe.

Hata Yesu mwenyewe alikataa kuitwa Mwema ( Marko 10: 17 -31)
 
Hahitaji chochote kutoka kwa binadamu! Hiyo ni "contradiction" ana vyote halafu ahitaji nini? Tumia mda wote kuhakikisha maisha yako yanasonga mbele! Akili aliyokupa itumie kipambana na sio kumwabudu. Siku za mwisho usishangae Mungu anakuuliza "ni kwa nini ulikuwa unanipigia kelele??

Sent using Jamii Forums mobile app
team shetani mpo wengi, lakini ni muende wenyewe motoni , kwani lazima muwadanganye wengine, si umechagua miaka chini ya mia ya furaha ya kinafki ,badala ya furaha ya milele
 
dudus
Hahitaji chochote kutoka kwa binadamu! Hiyo ni "contradiction" ana vyote halafu ahitaji nini? Tumia mda wote kuhakikisha maisha yako yanasonga mbele! Akili aliyokupa itumie kipambana na sio kumwabudu. Siku za mwisho usishangae Mungu anakuuliza "ni kwa nini ulikuwa unanipigia kelele??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.

Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?

JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.

2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?

JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.

Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.

WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.

Hupunguzi Wala huongezi chochote.

JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?

Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.

Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.

Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.

Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.

Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
Upo sahihi! Kama ukienda kanisani eti kwa sababu kuna amri inakutaka kuitakasa Sabato hakuna ufanyacho! Yaani unafanya kitu sababu ni amri imekula kwako! Fanya jambo sababu unampenda Mungu toka moyoni!
 
Umeanza vizuri halafu mwishoni ukapoteana, sasa unataka tumshukuru kwani tusipomshukuru atapungukiwa na nini?

Unasema "ibada ya kweli ni shukurani", hujui kwamba ibada maana yake kuabudu?

Kwa hiyo unapinga kumuamudu, ila unataka tumuabudu kwa kumshukuru! Umejichanganya sana!
 
team shetani mpo wengi, lakini ni muende wenyewe motoni , kwani lazima muwadanganye wengine, si umechagua miaka chini ya mia ya furaha ya kinafki ,badala ya furaha ya milele
Wacha kumkufuru Mungu. Mungu ni upendo hawezi kuwa Na nia ovu kiasi hicho. Hana nia haja Wala sababu ya kukuchoma Moto kiumbe wake.
 
Upo sahihi! Kama ukienda kanisani eti kwa sababu kuna amri inakutaka kuitakasa Sabato hakuna ufanyacho! Yaani unafanya kitu sababu ni amri imekula kwako! Fanya jambo sababu unampenda Mungu toka moyoni!
Yes bro this is what I was talking about
 
Umeanza vizuri halafu mwishoni ukapoteana, sasa unataka tumshukuru kwani tusipomshukuru atapungukiwa na nini?

Unasema "ibada ya kweli ni shukurani", hujui kwamba ibada maana yake kuabudu?

Kwa hiyo unapinga kumuamudu, ila unataka tumuabudu kwa kumshukuru! Umejichanganya sana!
Shukurani ninayo izungumzia hapa ni kuwa grateful and thankfully in ur heart that the Lord God has created you.
 
kwanini umeamua kupoteza watu kwa kujifanya unajua zaidi ya aliye kuumba, je wewe , unafahamu dk 1,zaidi unafahamu hata tumboni kwa mama yako ulikaaje na kwanini ulikaa kwa staili hiyo,aliye kuumba anakwambia umsifu n kumuabudu , na jibu ni kwasababu anastahili, Rais anapewa heshima kwa sababu anastahili na MUNGU anasifiwa na kuhabudiwa kwa sababu anastahili. So ukishindwa kufanya anavyo itaji usitake msahada kwake. Iyo independence mechanism ya kuingiza na kutoa hewa bila kuitaji nishati ya kuiboost isikupe kiburi, hii siku utaikumbuka na kwambia acha upuuzi

Hakuna mtu aliyepotezwa hapo mkuu kila mtu ana freewill ameweka uchambuzi mzuri na wakufikirisha mimi mwenyewe nashangaa kwanini nisipomuabudu anichome moto kosa langu nini au upendo wake uko wapi? Na kwanini kuabudu iwe lazima?
 
Wacha kumkufuru Mungu. Mungu ni upendo hawezi kuwa Na nia ovu kiasi hicho. Hana nia haja Wala sababu ya kukuchoma Moto kiumbe wake.
acha upumbavu wewe
 
Back
Top Bottom