Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

Hakuna mtu aliyepotezwa hapo mkuu kila mtu ana freewill ameweka uchambuzi mzuri na wakufikirisha mimi mwenyewe nashangaa kwanini nisipomuabudu anichome moto kosa langu nini au upendo wake uko wapi? Na kwanini kuabudu iwe lazima?
kwani wew niwanani?ulijileta je unaweza kujicontrol lolote, hata unavyoishi unacontroliwa na mifumo ya kibinadamu. hujui ulitendalo sorry
 
Kwani uongo mkuu? Torati iliandikwa Na Mussa ndio maana inaitwa Torati ya Mussa.

" Now Moses was a very humble man , more humble than anyone else on the face of the earth" Numbers 12.3.

Only Moses can write this. Hapo alikuwa anajifagilia mwenyewe.

Hata Yesu mwenyewe alikataa kuitwa Mwema ( Marko 10: 17 -31)
... Mungu hunena na wanadamu kupitia wanadamu; sijui ulitaka Mungu ashuke mwenyewe anene waziwazi hadharani ndio uamini kwamba ni neno lake na sio la Musa kama unavyodai?

Na hata angefanya hivyo angeshuka mara ngapi? Kila mwaka? Maana hata angekuwa ameshuka mwaka juzi leo wapo ambao wangekana kwamba hakushuka; ni uzushi tu!
 
Shukurani ninayo izungumzia hapa ni kuwa grateful and thankfully in ur heart that the Lord God has created you.
... usipofaya hivyo atapungukiwa na nini (kwa mujibu wa maelezo yako ya awali)? Hatufanyi jambo kwa ajili ya kumwongezea au kumpunguzia Mungu lolote; tunafanya kwa sababu tunatakiwa kufanya hivyo.
 
Mtumishi wa Mungu na lugha ZA matusi wapi Na wapi. JARIBU kuwa Na lugha ya staha mkuu usifikiri wewe pekee ndio una hati miliki ya kutukana. Hata Mungu hakumuita shetani mpumbavu Na alizungumza nae kirafiki kabisa( AYUBU 1:6-22)

Inaonekana unamuheshimu Mungu Kwa maneno Tu lakini MATENDO yako yapo Mbali nae, nawe wamuabudu Mungu bure ( Mathayo 15:8)
acha upumbavu wewe

acha upumbavu wewe
 
... Mungu hunena na wanadamu kupitia wanadamu; sijui ulitaka Mungu ashuke mwenyewe anene waziwazi hadharani ndio uamini kwamba ni neno lake na sio la Musa kama unavyodai?

Na hata angefanya hivyo angeshuka mara ngapi? Kila mwaka? Maana hata angekuwa ameshuka mwaka juzi leo wapo ambao wangekana kwamba hakushuka; ni uzushi tu!
Don't be slow mkuu simaanishi hicho unacho kisema namaanisha authenticity ya andiko Hilo wewe unadhani Kweli Mussa alikuwa ndio mnyenyekevu Na mwema kuliko watu wote duniani?
 
... usipofaya hivyo atapungukiwa na nini (kwa mujibu wa maelezo yako ya awali)? Hatufanyi jambo kwa ajili ya kumwongezea au kumpunguzia Mungu lolote; tunafanya kwa sababu tunatakiwa kufanya hivyo.
Do u listen to urself? " Tunafanya hivyo Kwa kuwa tunatakiwa kufanya hivyo"

Nani anataka tufanye hivyo?
 
Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.

Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?

JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.

2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?

JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.

Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.

WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.

Hupunguzi Wala huongezi chochote.

JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?

Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.

Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.

Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.

Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.

Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
Aisee we jamaa unaritadi bila ya kujijua na maandiko yako haya ya Ajabu

Nilishakwambia ww ni Muislamu jina tuu ila hufuati maamrisho.ya kiislamu
 
Aisee we jamaa unaritadi bila ya kujijua na maandiko yako haya ya Ajabu

Nilishakwambia ww ni Muislamu jina tuu ila hufuati maamrisho.ya kiislamu
Bila kutoa hoja yako nakuona mwendawazimu kama wendawazimu wengine Tu.
 
Kama.mzazi utajisikiaje ukiona watoto uliowazaa mwenyewe na kuwakuza mwenyewe hakupi heshima kama mzazi pamoha na mazuri yote unayowafanyia badala yake unaishia kuwaona wanampa jirani yako heshima unayoistahili wewe ?
Bas hvyo hvyo ndio Usipomuabudu na kumshukuru Mungu kuna vitu anapungukiwa ila kwa sababu hatumuon tunahis hakuna kitu anachopungukiwa. Ndio maana yeye mwenyewe kajifunua kwa kusema yeye ni Mungu mwenye wivu.

hawezi pungukiwa material things ila kumbuka kuna emotions.

wakupinga waje wapinge

Mkuu mungu hataki chochote kutoka kwa mwanadamu wewe ishi utakavyo na hakikisha asubuhi unashukuru kwa uzima na jioni kabla hujalala unashukuru kwa chakula na maji ya kunywa. Mambo ya kuabudu ni rituals zilizotungwa na watu wa dini. we shukuru tuu mambo ya kuabudu ni kujipendekeza kwa mungu ili binadamu wenzako wakuone wewe mcha mungu.
 
Mtumishi wa Mungu na lugha ZA matusi wapi Na wapi. JARIBU kuwa Na lugha ya staha mkuu usifikiri wewe pekee ndio una hati miliki ya kutukana. Hata Mungu hakumuita shetani mpumbavu Na alizungumza nae kirafiki kabisa( AYUBU 1:6-22)

Inaonekana unamuheshimu Mungu Kwa maneno Tu lakini MATENDO yako yapo Mbali nae, nawe wamuabudu Mungu bure ( Mathayo 15:8)
Upumbavu si tusi kasome zaburi 53:1 mimi nawailisha tu , neno la mungu, ila kwa stage uliyo fikia wewe ni wa jehanamu kabisa na jinsi ya kukutoa huko haiitajiki kukubembeleza ni kukuvuta na kukusukuma ili utoke upotevuni
 
Mkuu mungu hataki chochote kutoka kwa mwanadamu wewe ishi utakavyo na hakikisha asubuhi unashukuru kwa uzima na jioni kabla hujalala unashukuru kwa chakula na maji ya kunywa. Mambo ya kuabudu ni rituals zilizotungwa na watu wa dini. we shukuru tuu mambo ya kuabudu ni kujipendekeza kwa mungu ili binadamu wenzako wakuone wewe mcha mungu.
This is what I was talking about mkuu. But jf Kuna vilaza wengi mno Yani unashindwa kuelewa hivi great thinkers wanashindwa vipi kuelewa concept rahisi kueleweka kama hii
 
Wewe ni kichaa.
Upumbavu si tusi kasome zaburi 53:1 mimi nawailisha tu , neno la mungu, ila kwa stage uliyo fikia wewe ni wa jehanamu kabisa na jinsi ya kukutoa huko haiitajiki kukubembeleza ni kukuvuta na kukusukuma ili utoke upotevuni
 
Nadhani kinachokusumbua hujaelewa maana ya KUABUDU.

KUABUDU maana yake ni ileile yaani SHUKURAN
Kumuabudu Mungu nu kumyenyekea na kumshukuru usiku na mchana.

Kwa maana nyengine ni kufuata na kutekeleza maagizo yake pia kushukuru wakati wa shida na raha

Hapo kwenye kunyenyekea ndio pamenishinda mimi. Mungu anapata faida gani mimi kunyenyekea?
 
Zab 150, kila mwenye pumzi na amsifu bwana lukid je wewe una pumzi ama auna?
 
Mm nin mungu mwenye wivu nAwapataliza wanna maovu ya baba yao kutoka kisas Cha Kwanza had Cha nne

Hvyo inatupasa kumuabudu mungu peke ake aloo mungu Ana wivu kwer kwer
 
Una kichwa kidogo Sana wewe. u need to shut up when elders are talking
hahaha basi,neno limekuingia hapo nina amani, ila ndugu badili mtazamo, MBINGUNI KUZURI SANA, HAKUNA HASARA KAMA KWENDA MOTONI
 
Mm nin mungu mwenye wivu nAwapataliza wanna maovu ya baba yao kutoka kisas Cha Kwanza had Cha nne

Hvyo inatupasa kumuabudu mungu peke ake aloo mungu Ana wivu kwer kwer

Wivu ni nini?

Wivu ni hisia kwamba mtu unae mpenda anampenda mtu mwingine ambae wewe mwenye wivu unadhani ama unafikiri kwamba MTU huyo ni Bora kuliko wewe.

Mungu hawezi kuwa Na wivu Kwa namna yoyote Ile
 
Back
Top Bottom