Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wivu anautoa wapi? Na kwann awe nao?Wacha kufukuru Mungu wewe. Mungu hawezi kupungukiwa Na kitu chochote.
tatizo lenu, mpo busy kushughurika na MUNGU, wakati hampo katika level zozote naye, hata kujiongezea unywele hamuwezi,, hata kuongeza dk moja kwenye maisha yako, hata kujicontrol usipate njaa au usinye huwezi, basi jibu ni moja , acha upumbavu, pumbavu wewe, hata usipo msifu , ama kumwabudu atabaki wa kusifiwa, mawe na hata miti na upepo unamsifu, so usijione mwamba na sifa zako za kinafkiiii, sisi tutasifu hata milele
Unajua maana ya kumuabudu Mungu?Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.
Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?
JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.
2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?
JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.
Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.
WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.
Hupunguzi Wala huongezi chochote.
JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?
Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.
Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.
Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.
Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
Nadhani kinachokusumbua hujaelewa maana ya KUABUDU.Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.
Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?
JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.
2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?
JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.
Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.
WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.
Hupunguzi Wala huongezi chochote.
JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?
Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.
Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.
Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.
Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
Ur still a learnerNadhani kinachokusumbua hujaelewa maana ya KUABUDU.
KUABUDU maana yake ni ileile yaani SHUKURAN
Kumuabudu Mungu nu kumyenyekea na kumshukuru usiku na mchana.
Kwa maana nyengine ni kufuata na kutekeleza maagizo yake pia kushukuru wakati wa shida na raha
Unakusudia nini ?I
Ur still a learner
... mpende Bwana Mungu wako kwa akili zako zako zote na kwa nguvu zako zote ... Upendo kwa Mungu na ibada kwa Mungu (kumuabudu) ni lipi lililo kuu? By the way tusipompenda Mungu atapungukiwa na nini (kwa mujibu wa maelezo yako ya awali)?Upendo
Huyo ni mwanadamu mkuu. Haya Sasa nikuulize swali.1. Logic question[emoji41][emoji41][emoji41] umenunua Gari kwa ajili ya safari zako mbalimbali Gari haifanyi vile unavyotaka utaifurahia?
2. Simu yako umenunua ili uwasiliane na ndugu na jamaa haifanyi vile wewe unavyotaka je utaridhika?
do u love God? U love God by loving urself and other people because God lives in you... mpende Bwana Mungu wako kwa akili zako zako zote na kwa nguvu zako zote ... Upendo kwa Mungu na ibada kwa Mungu (kumuabudu) ni lipi lililo kuu? By the way tusipompenda Mungu atapungukiwa na nini (kwa mujibu wa maelezo yako ya awali)?
... any reference that God lives in you?How
do u love God? U love God by loving urself and other people because God lives in you
... Kiranga ndio reference yako kwamba Mungu anaishi ndani mwako? Ridiculous!
“Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,Mungu Hana wivu wewe. Wewe ndio umesema ana wivu. Kuwa Na wivu Ni trait ya kibinadamu sio ya Mungu