LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #21
Umeanza vitisho Tena badala ya hoja.kwanini umeamua kupoteza watu kwa kujifanya unajua zaidi ya aliye kuumba, je wewe , unafahamu dk 1,zaidi unafahamu hata tumboni kwa mama yako ulikaaje na kwanini ulikaa kwa staili hiyo,aliye kuumba anakwambia umsifu n kumuabudu , na jibu ni kwasababu anastahili, Rais anapewa heshima kwa sababu anastahili na MUNGU anasifiwa na kuhabudiwa kwa sababu anastahili. So ukishindwa kufanya anavyo itaji usitake msahada kwake. Iyo independence mechanism ya kuingiza na kutoa hewa bila kuitaji nishati ya kuiboost isikupe kiburi, hii siku utaikumbuka na kwambia acha upuuzi
Vitisho vyako vinaonyesha ulivyo Na ufahamu mdogo kuhusu Mungu, unadhani Mungu ni mwanadamu kama wewe kwamba Kwa kuwa nimeuliza maswali haya basi Mungu atakasirika. Kama unawaza hivyo nimekudharau Sana mkuu. Hivi unadhani Mimi kiumbe binadamu nina uwezo wa kumkasirisha Mungu?
Ukiwa Na uwezo WA kumkasirisha Mungu maana yake Ni kwamba una uwezo WA Ku control hisia za Mungu kitu ambacho Hakuna mwanadamu mwenye nacho.
Umeshindwa kujibu swali kwamba Je usipo muabudu Mungu atapungukiwa Nini?
Na ukimuabudu ataongezekewa Na Nini?
Point yangu Ni kwamba Mungu hahitaji chochote kutoka kwako Kwa Sababu huna chochote cha kumpa Mungu