Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

Huwezi kumjadili Mungu kwa kutumia Falsafa, wala Mungu siyo Falsafa. Unatakiwa uwe na angalau tukio moja la uhakika kabisa ambalo lilishawahi kukutokea, lililosababisha uhakikishe kuwa tukio hilo haikuwa COINCIDENCE bali ulikuwa ni MKONO WENYE MAMLAKA NA NGUVUZA ZA PEKEE KABISA, nje ya uwezo wa kiumbe kingine chochote kile.
Kwa bahati mbaya, ikitokea ukawa haujawahi kukutana na tukio la aina hii, kwa namna yoyote ile huwezi tena ukafanikiwa kuu-detect uwepo wa Mungu, hata kama Mungu angekujalia kuishi miaka 1000 hapa duniani
Tungekuwa tunaruhusiwa kufanya experiment na maisha ya wanadamu, ningekushauri ufanye jaribio lifuatalo (hypothetical na haliwezekani)
Chukua mtoto mdogo (mchanga) mpeleke mahali tuseme hata msituni, awe anaishi peke yake, akiwa na mahitaji yote muhimu hakuna anachomiss, assuming anaweza kujihudumia mwenyewe kila kitu pamoja na kujihifadhi usiku
Huyu mtu akulie huko porini akiwa hana anachokosa, na hatimaye awe mtu mzima na mwenye akili timamu. Chakula na mahitaji mengine akiwa anapata kama kawaida, huku akiwa anaona kila siku jua linachomoza Mashariki na kuzama Magharibi.
Katika hali hii, atakachofanya huyu mtu ni kuanza kufanya Ibada. Anaweza hata akachagua mti mkubwa sana ulio karibu naye halafu ndiyo akaamua kuuabudu mti huo, akidhani kuwa ndiyo unaosababisha hata jua kuchomoza na kuzama kama linavyofanya. Huyu mtu, whether ataabudu the right thing or not, hiyo siyo issue, isipokuwa issue ni kwamba HUYU MTU ATAJIFUNZA KUFANYA IBADA AUTOMATICALLY. Hii itatokea baada tu ya kuwa amebaini pasipo shaka kabisa kuwa kuna nguvu nyingine kubwa sana na iliyo nje ya uwezo wake yeye ambayo ipo na iliyo na uhusiano wa moja kwa moja na maisha yake au uwepo wake pale, short of which asipoi-tape sawia, maisha yake yanaweza yasiwe mazuri kama anavyotamani yawe
Huyu sasa ni mtu ambaye anaishi peke yake na hana msaada wowote wa kimawazo kama ilivyo kwako.
NI UZEMBE WA HALI YA JUU SANA KUISHI HAPA DUNIANI, NA BADO UKAWA HUNA UHAKIKA KAMA MUNGU YUPO AU HAYUPO. KATIKA HALI YA KAWAIDA, UNATAKIWA UWEZE KUWA NA UHAKIKA KABISA KUWA AIDHA MUNGU YUPO AU HAYUPO, NA SI KUWA IN BETWEEN. NI UZEMBE WA HALI YA JUU SANA KUISHI PASIPO KUWA UMECHUKUA MSIMAMO MMOJAWAPO KATI YA MISIMAMO MIWILI HII
UBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Hiyo experiment ya mtoto haiwezekani.

Kama Adam Mungu asinge mtokea Na kumwambia Mimi ndio Mungu wako basi huenda Adam Ange Amini kwamba yeye ndio Mungu
 
Wewe umesoma ukapata A kwanini ukuleta hzo akili zko ulipo ambiwa dini zililetwa Africa kutubrain wash?
 
Hiyo experiment ya mtoto haiwezekani.

Kama Adam Mungu asinge mtokea Na kumwambia Mimi ndio Mungu wako basi huenda Adam Ange Amini kwamba yeye ndio Mungu
Ndiyo ni kweli haiwezekani lakini the fact is, wewe hapo ulipo upo, na hii experiment unaweza ukai-SIMULATE kwa kutumia nafsi yako wewe mwenyewe, inawezekana kabisa. Na hii ndiyo sababu iliyopelekea mimi nikatoa majibu ya hypothetical experiment hiyo wakati sijawahi kuifanya na wala hakuna mtu mwingine yoyote ambaye alishawahi kuifanya

Kwa kutumia akili yako uliyonayo, hivi hujawahi kujiuliza kuwa assuming wanadamu wengine wote wasingekuwepo kabisa hapa duniani hata mmoja, isipokuwa ungekuwepo wewe mmoja peke yako tu, ungekuwa unafanya nini kingine cha ziada ambacho akili yako ingeweza kujiswitch kwa kukifanya automatically? NI IBADA
NI KWA SABABU ULIUMBWA ILI UABUDU, NA SIYO KUABUDU TU BALI KUMWABUDU YULE ANAYESTAHILI KUABUDIWA.
ANAYESTAHILI KUABUDIWA, UNAMPTA BAADA YA KUWA UMEPATA MAWAZO KUTOKA KWA WENGINE, ILA KAMA UNGEKUWA UKO PEKE YAKO HAPA DUNIANI, YOU COULD-ABUDU ANYTHING NA HILO LISINGEKUWA KOSA KWAKO, CHOCHOTE CHAWEZA KUABUDIWA, ILA SI KILA KITU KINASTAHILI KUABUDIWA KWA SABABU HATIMILIKI YA IBADA AU KUABUDIWA, ANAYO MUNGU PEKE YAKE
 
Ni suala la muda tuu huko kote tutafika kama sio sisi ni vizazi vyetu.
Suala la level umeongea vizuri hatupo katika level yake kwahio kila mtu ashughirike na level yake tusishughurike nae na yeye asishughurike na sisi fullstop kila mtu ashughurike na wa level yake
 
Kiufupi ni kwamba Mungu anafurahi ukimsifu na kumuabudu
Biblia inasema furaha ya bwana ni nguvu zetu
Mungu unapomfurahisha ni ishara ya kumpa heshima na kumsifu Mungu sio mateso kwa mtu anayemjua Mungu yaani ukimsifu Mungu yee anafurahi na wewe unafurahi vilevile pia unafanya Mungu awe willing kutenda kwako zaidi na zaidi
Ni kama tu wewe ukisifiwa(japo hupaswi kusifiwa) Unaweza kuongeza juhud zaidi na Zaid
Nijibu swali lako naona umeweka majibu yako tayari 😂

Tusipomuabudu Mungu anayepungukiwa sio Mungu ni mwanadamu ko Kama unataka upungukiwe wewe it's okay
Vilevile anayeongezekewa ni mwanadamu anapoabudu anaufurahisha Moyo wa Mungu basi Mungu hujidhirisha

Naomba nirudie kitu kimoja Tena
KUABUDU SIO MATESO
NA MUNGU HATAKI TU MTU YEYOTE AMUABUDU
BALI WALE WALIOSAFI MIOYO
 
dah, aisee nasikitika kuona eti kuna mtu yupo serious kushindana na Mungu, aliyeiunganisha figo na ini na kongosho vikategemeana,
aliyeyatengeneza mapafu na akaunganisha moyo........ UZIMA SI CHOCHOTE NDUGU, HUJUI KAMA KESHO UTAAMKA SALAMA , USIJITOE UFAHAMU MBELE YA HALAIKI UKUONESHA LEVEL GANI YA UUPUMBAVU ULIONAO.

Ashughulike na ww ?who are you by the way? kwenye hii dunia una impacts gani? hata ya mkoa ama kanchi kamoja kukukumbuka ?

huna lolote hata kama utajili tuseme huna wa kumtisha mtu! jioneee aibu mwamba , halafu muombe msamaa hata kisiri Mungu wako
 
Mafi yako

Sawa, siku wanakuzika ndiyo utajuwa mbivu na mbichi


إِنَّ الدِّينَ عِنْدَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَنْ يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

فَإِنْ حَاجُّوكَ فَقُلْ أَسْلَمْتُ وَجْهِيَ لِلَّهِ وَمَنِ اتَّبَعَنِ ۗ وَقُلْ لِلَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ وَالْأُمِّيِّينَ أَأَسْلَمْتُمْ ۚ فَإِنْ أَسْلَمُوا فَقَدِ اهْتَدَوْا ۖ وَإِنْ تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا عَلَيْكَ الْبَلَاغُ ۗ وَاللَّهُ بَصِيرٌ بِالْعِبَادِ
Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake.


إِنَّ الَّذِينَ يَكْفُرُونَ بِآيَاتِ اللَّهِ وَيَقْتُلُونَ النَّبِيِّينَ بِغَيْرِ حَقٍّ وَيَقْتُلُونَ الَّذِينَ يَأْمُرُونَ بِالْقِسْطِ مِنَ النَّاسِ فَبَشِّرْهُمْ بِعَذَابٍ أَلِيمٍ
Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie adhabu kali.


أُولَٰئِكَ الَّذِينَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمَا لَهُمْ مِنْ نَاصِرِينَ
Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru.
 
Moyoni mwa mpumbavu ndipo hasira hukaa , tafakari Sana uwezo wako wa kufikiri bila kushikiwa akili
hamna hasira hapa Mr. ila sijajua mwenzangu hoja yako ni nini? na uanchokosoa unakielewa kweli
 
dah !wewe ni wa MUNGU, so mbona unazalliana na mtoto je ameumbwa na nani? jibu ni Mungu ,ia umemzaa wewe? kwahiyo kila kitu ni cha mungu, ila shetani kajimilikisha na kujiita MUNGU wa dunia hii...
ipo hivi kasome isaya 6 yote, utaacha kuongea utopolo
halafu kafatilie hadithi za tajiri na lazaro
 
Wewe utabaki kulinda Dunia sio? Wewe ni kichaa. I love God kuliko ukoo wenu mzima. Ungekuwa Na akili hata kidogo ungejua mantiki ya Uzi wangu ni nini.
 
Wewe utabaki kulinda Dunia sio? Wewe ni kichaa. I love God kuliko ukoo wenu mzima. Ungekuwa Na akili hata kidogo ungejua mantiki ya Uzi wangu ni nini.

Sawa, mimi ni kichaa,,,huenda nikawa bora zaidi yako wewe ulieuacha uisilamu/ukweli na kurejea kwenye ujinga/mila yenu.

أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ أُوتُوا نَصِيبًا مِنَ الْكِتَابِ يُدْعَوْنَ إِلَىٰ كِتَابِ اللَّهِ لِيَحْكُمَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ يَتَوَلَّىٰ فَرِيقٌ مِنْهُمْ وَهُمْ مُعْرِضُونَ
Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa.


ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لَنْ تَمَسَّنَا النَّارُ إِلَّا أَيَّامًا مَعْدُودَاتٍ ۖ وَغَرَّهُمْ فِي دِينِهِمْ مَا كَانُوا يَفْتَرُونَ
Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya katika dini yao yale ambayo wenyewe waliyo kuwa wakiyazua.


فَكَيْفَ إِذَا جَمَعْنَاهُمْ لِيَوْمٍ لَا رَيْبَ فِيهِ وَوُفِّيَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَا كَسَبَتْ وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ
Basi itakuwaje tutakapo wakusanya Siku ambayo haina shaka kuja kwake? Na kila nafsi italipwa kama ilivyo chuma, bila ya kudhulumiwa.

قُلِ اللَّهُمَّ مَالِكَ الْمُلْكِ تُؤْتِي الْمُلْكَ مَنْ تَشَاءُ وَتَنْزِعُ الْمُلْكَ مِمَّنْ تَشَاءُ وَتُعِزُّ مَنْ تَشَاءُ وَتُذِلُّ مَنْ تَشَاءُ ۖ بِيَدِكَ الْخَيْرُ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ
Sema: Ewe Mwenyezi Mungu uliye miliki ufalme wote! Wewe humpa ufalme umtakaye, na humwondolea ufalme umtakaye, na humtukuza umtakaye, na humuangusha umtakaye. Kheri yote iko mikononi mwako. Hakika Wewe ni Muweza wa kila kitu.


تُولِجُ اللَّيْلَ فِي النَّهَارِ وَتُولِجُ النَّهَارَ فِي اللَّيْلِ ۖ وَتُخْرِجُ الْحَيَّ مِنَ الْمَيِّتِ وَتُخْرِجُ الْمَيِّتَ مِنَ الْحَيِّ ۖ وَتَرْزُقُ مَنْ تَشَاءُ بِغَيْرِ حِسَابٍ
Wewe huingiza usiku katika mchana, na huuingiza mchana katika usiku. Na humtoa hai kutokana na maiti, na humtoa maiti kutokana na aliye hai. Na unamruzuku umtakaye bila ya hisabu.


لَا يَتَّخِذِ الْمُؤْمِنُونَ الْكَافِرِينَ أَوْلِيَاءَ مِنْ دُونِ الْمُؤْمِنِينَ ۖ وَمَنْ يَفْعَلْ ذَٰلِكَ فَلَيْسَ مِنَ اللَّهِ فِي شَيْءٍ إِلَّا أَنْ تَتَّقُوا مِنْهُمْ تُقَاةً ۗ وَيُحَذِّرُكُمُ اللَّهُ نَفْسَهُ ۗ وَإِلَى اللَّهِ الْمَصِيرُ
Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu. Ila ikiwa kwa ajili ya kujilinda na shari zao. Na Mwenyezi Mungu anakuhadharisheni naye. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu.
 
kaka umeshinda tatu bila
 
Tuonyeshe impact za Mungu dunia hapa ninazo kumzidi wewe unazo stori za kiimani
 
Hapungukiwi na kitu Wala haongezeki chochote
Labda ungejua maana ibada, nahisi ingesaidia kufahamu usemi kwamba hatukuumbwa iaipokuwa tumuabudu mungu,
Ibada sio kusali na kuimba na kusifu tu, bali ibada ni matendo yote ufanyayo katika maisha yako, hata kula nako ni ibada, kutembea, kuongea, kuandika, kusoma, kulala, kusaidia, kufundisha na chochote kingine ukijuacho,
Yaani ukikifanya katika hali ya kumridhisha mungu hiyo huitwa ni ibada na utalipwa siku utakaporudi kwa mungu,
Labda uwe huamini kama kuna kurudi kwake baada ya kufa,
Kwahiyo yale mema yamfurahishayo mungu ni ibada, na yale mabaya yanayomuudhi ni uasi
 

Kwaiyo sisi makafiri si ndiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…