Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Huwezi kumjadili Mungu kwa kutumia Falsafa, wala Mungu siyo Falsafa. Unatakiwa uwe na angalau tukio moja la uhakika kabisa ambalo lilishawahi kukutokea, lililosababisha uhakikishe kuwa tukio hilo haikuwa COINCIDENCE bali ulikuwa ni MKONO WENYE MAMLAKA NA NGUVUZA ZA PEKEE KABISA, nje ya uwezo wa kiumbe kingine chochote kile.Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.
Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?
JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.
2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?
JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.
Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.
WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.
Hupunguzi Wala huongezi chochote.
JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?
Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.
Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.
Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.
Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
Kwa bahati mbaya, ikitokea ukawa haujawahi kukutana na tukio la aina hii, kwa namna yoyote ile huwezi tena ukafanikiwa kuu-detect uwepo wa Mungu, hata kama Mungu angekujalia kuishi miaka 1000 hapa duniani
Tungekuwa tunaruhusiwa kufanya experiment na maisha ya wanadamu, ningekushauri ufanye jaribio lifuatalo (hypothetical na haliwezekani)
Chukua mtoto mdogo (mchanga) mpeleke mahali tuseme hata msituni, awe anaishi peke yake, akiwa na mahitaji yote muhimu hakuna anachomiss, assuming anaweza kujihudumia mwenyewe kila kitu pamoja na kujihifadhi usiku
Huyu mtu akulie huko porini akiwa hana anachokosa, na hatimaye awe mtu mzima na mwenye akili timamu. Chakula na mahitaji mengine akiwa anapata kama kawaida, huku akiwa anaona kila siku jua linachomoza Mashariki na kuzama Magharibi.
Katika hali hii, atakachofanya huyu mtu ni kuanza kufanya Ibada. Anaweza hata akachagua mti mkubwa sana ulio karibu naye halafu ndiyo akaamua kuuabudu mti huo, akidhani kuwa ndiyo unaosababisha hata jua kuchomoza na kuzama kama linavyofanya. Huyu mtu, whether ataabudu the right thing or not, hiyo siyo issue, isipokuwa issue ni kwamba HUYU MTU ATAJIFUNZA KUFANYA IBADA AUTOMATICALLY. Hii itatokea baada tu ya kuwa amebaini pasipo shaka kabisa kuwa kuna nguvu nyingine kubwa sana na iliyo nje ya uwezo wake yeye ambayo ipo na iliyo na uhusiano wa moja kwa moja na maisha yake au uwepo wake pale, short of which asipoi-tape sawia, maisha yake yanaweza yasiwe mazuri kama anavyotamani yawe
Huyu sasa ni mtu ambaye anaishi peke yake na hana msaada wowote wa kimawazo kama ilivyo kwako.
NI UZEMBE WA HALI YA JUU SANA KUISHI HAPA DUNIANI, NA BADO UKAWA HUNA UHAKIKA KAMA MUNGU YUPO AU HAYUPO. KATIKA HALI YA KAWAIDA, UNATAKIWA UWEZE KUWA NA UHAKIKA KABISA KUWA AIDHA MUNGU YUPO AU HAYUPO, NA SI KUWA IN BETWEEN. NI UZEMBE WA HALI YA JUU SANA KUISHI PASIPO KUWA UMECHUKUA MSIMAMO MMOJAWAPO KATI YA MISIMAMO MIWILI HII
UBARIKIWE TENA NA BWANA