Udhaifu wa taarifa ya askari aliyejinyonga Mtwara

Bila shaka hujawahi kuingia mahabusu. Mahabusu hazijengwi kama nyumba ya kuishi.

Hiyo suruali utaitundikaje katika chumba chenye kadirisha kadogo kalikowekwa juu kwa lengo la kupitisha mwanga na hewa pekee? Utapanda kwa kutumia kifaa gani?
Mikoani Kuna selo nying tu mtu anaweza kujinyonga mzee ila kinacho saidia ni ile population iliyopo ndan na askar kuwa anakagua mara kwa mara
Mm nimekaa lockup tofaut tofaut zaid ya mara 7
 
Majibu ya maswali ambayo unapaswa kujua majibu yake kwa sasa yameshatolewa na hiyo taarifa ya polisi ikiwa una kuongeza wasilisha taarifa zako kwa chombo husika.
 
 
Kuunda tume HURU kwa kila tukio hata kwa yale ambayo yamenyooka kama hili ni matumizi mabaya ya pesa ya mlipa kodi.
OK sawa nimekuelewa , nilizingatia thamani ya uhai kabla ya mengine yote
 
Polisi walishazoeshwa kuua na Serikali ya CCM inayowalea kwa kutochukua hatua stahiki. Siro alitakiwa awe nyumbani muda huu akicheza na wajukuu.
 
Halafu inakuwaje kifo cha polisi kinapewa uzito huku tukisahau kifo cha kijana anayedaiwa kuuwawa na huyo polisi aliyekufa?

Yaani kijana kafa kiutata zaidi hata ya huyu Gray lakini watu wameshasahau kabisa.
 
Halafu inakuwaje kifo cha polisi kinapewa uzito huku tukisahau kifo cha kijana anayedaiwa kuuwawa na huyo polisi aliyekufa?

Yaani kijana kafa kiutata zaidi hata ya huyu Gray lakini watu wameshasahau kabisa.
Kifo cha kijana kimeshajulikana kwamba kauliwa kwa sababu iliyopelekea polisi 'kujinyonga'
 
Kweli dunia tambara bovu. Taarifa ile ilikuwa mbaya kama tambara la deki😀
😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…