Udhaifu wa taarifa ya askari aliyejinyonga Mtwara

Udhaifu wa taarifa ya askari aliyejinyonga Mtwara

Jamaa amenyongwa na kamba,

Jamaa inaonekana alihusika kuchoma sindano ya sumu huyo marehem, baadae ikawa hekaheka ktk kuficha taarifa, huyu Afande Greyson alianza kuandamwa baada ya taarifa kuvuja, hivyo akataka wahusika wote wawajibishwe maana yeye alifanya Ile kazi kwaaelekezo toka juu( amri) ndipo lilipokuja swala lakupoteza ushahidi hasa kwa wakubwa ikabidi huyu Afande Greyson auawe!!

Kila kitu kinajulikana
 
“Mheshimiwa Waziri (Hammad Masauni- Waziri wa Mambo ya Ndani) umezungumzia mauaji Mwanza, yapo yaliyofanyika Mtwara na Jeshi lako ndio lililofanya mauajia, taarifa nilizonazo ni kuwa jeshi limetengeneza kamati ya kuchunguza, haiwezekani jeshi lifanye mauaji, alafu lijichunguze lenyewe, ndugu zangu wananchi na watanzania, nimemuelekeza Waziri Mkuu aunde kamati huru nyingine ikafanye uchunguzi wa mauji yaliyofanywa na jeshi la Polisi tulinganishe taarifa tuchukue hatua.

"Wakati huo huo nataka jeshi lako lijitafakari kinachotokea ndio misingi ya jeshi au vinginevyo.

Nawaombeni wananchi kulinda amani kutokufanya mauaji kwa sababu yoyote ile, tusaidie kuleta amani kwenye nchi ili kuleta maendeleo, kusipokuwa na amani, tutashughulika kutafuta amani na maendeleo yatasimama,” Rais Samia Suluhu, ziara Mwanza

#dailynewsdigitalupdates #habarileoupdates
 
Back
Top Bottom