4. ObjectsKwani sasa ikoje? Shida ni moja mwakubusi sio mpuuzi kama wewe
Huu uzi wa 2016 ndio huo huo wa hizo clipAcheni upotoshaji mbona huyu jamaa alitetewa sana hadi haki ikapatikana? Au nyie ni ndugu wa hao wabakaji?
Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela, Erick Kasila (39) baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka matatu likiwamo la kumlawiti mwanamume kwa madai kuwa alimfumania gesti na akiwa na mke wake. Kasila anadaiwa kumlawiti Idd Kambi katika nyumba ya kulala Wageni ya...www.jamiiforums.com
Si kosa la jinai.. mtu anayefumania analipawa fidia tu ya usumbufu uliopatikana. Hakuna anayefungwa wala kushtakiwa zaid ya hapoSio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?
Kama na wewe ni Mwanachama wa TLS basi siwezi shangaa TLS kuwa ilivyo sasa na kabla ya sasa
Hata wewe ni mpuuzi kama mabukusKwani sasa ikoje? Shida ni moja mwakubusi sio mpuuzi kama wewe
Kwa mila za kwetu huwa hatubishani na wanawakeHata wewe ni mpuuzi kama mabukus
Na sisi hatubishani na mashogaKwa mila za kwetu huwa hatubishani na wanawake
Ninyi wanawake?Na sisi hatubishani na mashoga
Sisi vidume na nyie machoko hatuendani kabisaNinyi wanawake?
Sahihi kabisaJamii yetu kuna mambo haielewi na ukiyasema hadharani, unaonekana wa ajabu.
SIO KOSA KISHERIA MTU KUTEMBEA NA MUME AU MKE WA MTU.
Wewe ni mwanamkeSisi vidume na nyie machoko hatuendani kabisa
Mambo to yeye😊
Poa vpMambo to yeye😊
Salama tu , wenetu hawajambo😊Poa vp
Siko nao mbona,Ila ngoja nikawaone😊Salama tu , wenetu hawajambo😊
umeelewa mada kwanza ???Mmezidi kunyanyasa wanawake mpaka mnasahaulika na kuonekana mwajiweza🤨
Kabisakabisa...na haitokuja tokea mkasikilizwaumeelewa mada kwanza ???
kumbe haitotokea tusikilizwe lakini mbona umeandika tumezidi kunyanyasa wanawake ndio maana tunaonekana tunajiwezaKabisakabisa...na haitokuja tokea mkasikilizwa