Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

Yaani kunyandua mke wa mtu sio kosa kisheria hilo limekaa je. Wansheria wetu husikeni hapa kutujuza
Huwezi amini asilimia 90 ya wabongo wanaamini ni jinai(unaweza ukashtaki kama umemkuta chumbani kwako) ila siyo kwake au gesti.

Kwa Zanzibar ni jinai, ila siyo Tanganyika.
 
Wanaume hawana lao katika uso wa Dunia,likikupata pambana nalo,maana hakuna atakaekusaidia sababu wewe ni mwanaume.
 
Naona tumehamia kwenye series za kuangalia nyuchi za watu mitandaoni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…