A
Nipe namba ya simu wiki moja nyingi sana utaacha kuvaa nguo fupi utavaa nguo ndefu tena za heshima shughuli utakayokutana nayo ni shughuli pevuMambo ya kifamilia haya🙌🏾
Nipe namba nina mazungumzo nae private jet ya kuhusu Maktaba, usije ukauliza mazungumzo private jet ndio yapiWewe sio mdau wewe ni mtumishi wa maktaba na uliajiliwa dr mcharazo akiwa mkurugenzi wa huduma a kwa sasa unakitaka cheo baada ya kujiendeleza masomo, conso pis imenyooka sana kwenye kazi
Umekuja kujitetea sio. Sawa weka picha ya huyo Demu unayesema ji PISI ili Jumatatu nije kusoma hapo kwenye maktaba. Kwanza ipo eneo gani hapo Iringa?Wewe sio mdau wewe ni mtumishi wa maktaba na uliajiliwa dr mcharazo akiwa mkurugenzi wa huduma a kwa sasa unakitaka cheo baada ya kujiendeleza masomo, conso pis imenyooka sana kwenye kazi
Namba ya simu na kuvaa nguo ndefu vinafanyaje kazi? We ni mganga au mchungaji?Nipe namba ya simu wiki moja nyingi sana utaacha kuvaa nguo fupi utavaa nguo ndefu tena za heshima shughuli utakayokutana nayo ni shughuli pevu
Oya Conso leo umefikiwa sisterMimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini.
Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na Kiongozi wa Maktaba anayejulikana kama Consolata M. kwa watumishi waliopo chini yake.
Pamoja na hilo Kiongozi huyo amekuwa hana nidhamu kwa kuvaa nguo za ajabu(nguo fupi sana) na kupenda kupitapita maeneo wanayokaa wasomaji hali ambayo imekuwa ni kero kubwa sana kwetu sisi wasomaji/wateja na kutuondolea utulivu.
Matendo haya ya Kiongozi huyo ni kinyume na maadili na miongozo ya Utumishi wa Umma, hivyo tunaomba mamlaka husika Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) kuchukua hatua stahiki ili kuboresha utoaji wa huduma bora katika Maktaba yao ya Mkoa Iringa.