Asije akamuomba *148*00# tu
Mkuu hapo kweli mi nawewe tuna View za kitofauti, kama kwako kudharirisha mpaka iwe picha za uchi duh???Je Waweza kushare nasi mtu mzima yeyote mwenye umaarufu aliyewahi omba msamaha kwa kumpiga mwenzie magoti na kuchukuliwa kwa video kisha kutupwa mitandaoni??One thing hapo kwa blue, U missed my point, SIJASEMA KUOMBA MSAMAHA NI KUJIDHARIRISHA/KUDHARIRISHWA maana hakuna ambaye hajawahi Omba msamaha kijana!!ila swala hapo ni kuchukuliwa video unaomba msamaha ukipiga magoti kisha isambazwe kwenye social N/W.
Asije akamuomba *148*00# tu
Jumana Musoma ni tapeli kutoka Mwanza aliyetapeli sana watu kwa kujifanya mganga wa kienyeji na huyo pimbi mwingine naye ni wa Mwanza pia. Hawa wote ni wakuja tu.huyu PNC na huyo pimbi juma musoma nna uhakika asili yao si dar es salaam wala mji wowote mkubwa afrika....watakuwa watu wa mkoani tu!............watu tuliozaliwa miji mikubwa na tukakulia miji mikubwa tabia zetu zinajulikana,hatuwezi kufanya huo upimbi uliofanywa na hao watu wawili wa mkoani
huyo ustadhii hata nguruwe ni mzuri kuliko yeyee mtu gani hana utuu
ashajifanya mungu mtuuu:israel:
Haramu ni kuabudu sanamu la mzungu! Na picha yake!
Muziki ni ktk matendo yaliyokatazwa ktk uislamu na mwenye kutafanya hastahili kuitwa Ustadh!
Lkn all in all HAKUNA HARAMU KUBWA KAMA KUABUDU SANAMU NA PICHA YA MZUNGU!
Hivi jiwe sio sanamu ? kuna watu kutwa mara tano wanasujudia jiwe fulani liko Mecca linaitwa ka'aba.
Andiko please! Sio kuniandikia utumbo mkavu.
Nipa andiko wapi watu waliambiwa wakasijudie mawe huko mecca
Anae sujudia jiwe au sanamu ya mzungu aliovaa nepi wote hao ni watu wa jahanamu ya moto!
jamani ustaadh na muziki wapi na wapi? nilitegemea ustaadh nimkute msikitini
Wasanii wanaojiita wasanii hawajitambui na hao wauza unga wanaojiita mabosi hawajitambui,yaani ni kama Pipa na mfuniko,huyo Juma zuzu tuPNC AKIMWOMBA MSAMAHA USTAZ JUMA - YouTube
Mimi kama mdau wa muziki wa kizazi kipya napinga na kulaani huu udhalilishaji wanaofanyiwa wasanii wetu.
Nimestushwa kuona hii video inayosambaa kwenye social network ambayo member wa zamani wa kundi la Watanashati PNC akiwa amempigia magoti don wa kundi hilo Ostaz Juma Namusoma huku akimwomba msamaha.
Hakika hii video inaondoa thamani ya wasanii wetu na kuonesha kuwa bila hao wanyonyaji wanaojiita mameneja wa wasanii basi muziki sio kitu.
Na nyie wasanii muwe na msimamo thabiti na sio kuhama hama makundi kama malaya na ndiyo maana mnaishia kudhalilishwa kwa ujinga wenu.
Na ninyi madon wa muziki acheni kudhalilisha wasanii,kwa kuwanyonya inatosha tu na sio kuanza kuwaanika kwenye mitandao mambo wanayofanya.Mimi sijafurahishwa kabisa na hii video.
Narudia tena; Nalaani vikali huu udhalilishaji kwa wasanii.
As long ana deal na watu wasiofikiria lazima na yeye asiwe na uwezo wa kufikiria,,,,ndo maana kakimbilia fbHiyo akili ya mbali sana...huko huyo mtu wala hafikirii kabisaaa....