connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Udhalilishaji huu haukubaliki. Wafia dini wa Kisiju tunalaani kwa nguvu zote.Ngoja waje wavaa kobazi na msuli, watoe ufafanuzi.
😂😂😂😂😂
Wacha wee, 😂😂😂😂Udhalilishaji huu haukubaliki. Wafia dini wa Kisiju tunalaani kwa nguvu zote.
Ni kwamba sisi wavaa kobaz na misuli hatucheki na wowoteNgoja waje wavaa kobazi na msuli, watoe ufafanuzi.
😂😂😂😂😂
Naam Shehe. Karibu Sikukuu KisijuNi kwamba sisi wavaa kobaz na misuli hatucheki na wowote
Ndo maana ake, 😂😂😂😂Ni kwamba sisi wavaa kobaz na misuli hatucheki na wowote
Nipo Nje Kidogo na Maswala ya dini..Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake.
Wabillah Taufiq
Mtoa mada anaishi kwa chuki 🤣🤣iko wazi njia haitakiwi mtu kuoitambona huyu mwanamke ndo aliyeanza kumpiga mjeshi kofi!?..
Mjeda alipaswa kutulia. Hatukutegemea, Makofi dhidi ya mwanamke dhaifu mbele ya hadharambona huyu mwanamke ndo aliyeanza kumpiga mjeshi kofi!?..
Ukikosea njia unastahili makofi?We jamaa 🤣🤣kwa hiyo kosa hulioni hapo ..Kwamba njia haitakiwi kupita... Hauwezi kuangusha uislamu kwa hoja dhaifu kama hizo .🤣🤣
mbona huyu mwanamke ndo aliyeanza kumpiga mjeshi kofi!?..
Umeshakunywa chai?Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake.
Wabillah Taufiq
Umeiweka vizuri sana kiongozi nashangaa how people are so prejudiced wamesharuka na dini. Wanaadamu kila mtu anajiamini na dini yake ndio ipo sahihi na ya mwenzake haipo sahihi, wakati tumezaliwa tukiwa vichanga very helpless tukakuwa tukazikuta hizi dini kwa wazazi wetu tukakua nazo na baada ya kuwa na akili tunajudge dini za wenzetu🤣🤣🤣Nipo Nje Kidogo na Maswala ya dini..
Kwani Hapo Kosa Ni la Nani?
Nani kadhalilishwa?
Ingekuwa Tanzania Ingekuwaje?
je ni ruhusa Kumpiga Kibao Askari wa Jeshi akiwa kavaa Uniform??
Mbona Kama Iko wazi kabisa Bila Kujali Dini wala Kuwa Mnafiki Huyo mwanamke anaelekezwa Vizuri kuhusu Ruhusa ya Kupita Hapo huyo mwanamke wa Nyuma Anaelewa na Anarespond kwa Kuitikia..
Ila Mwanamke aliye mbele Anakuwa na Kibuli kabisa na Kinaonekana Badala ya Kutii Maagizo anaanza kwa Kumrushia Kofi Askari..
So askari na yeye ni Binadamu kavumilia Sana Kaona arudishe..
Lets Turn the Table..
Ingekuwa ni Mwanaume (Huyo mwanamke) kapigwa Kofi baada ya kurudisha Tungetuma Kwenye Mitandao kusema ni Udhalilishaji? Je ingekuwa Topics..
Wanawake Mnatakiwa Mjiheshimu Mkiheshimiwa na Mkipewa Priority haimaanishi tunashindwa Kuichukua Heshima Tuliyowapa..
Mwenye Kosa Hapo ni Mwanamke..
Just imagine kama Ndo angempiga Kibao Askari wa Tanzania sasa Hivi tungefata Mwili Amana au Mwananyamala..
Tujifunze Kubadilika..
Ukipewa Heshima Heshimika