Udhalilishaji wa Kijinsia Arabuni wavuka Mipaka - Achezea vibao Hadharani

Kunya anye kuku...akinya bata kaharisha

Wanaume ni wasimamizi kwa wanawake....ningekuwa mimi Askari ningemchota mtama huyu mama avunjike kiuno.
 
Mwarabu Ni Binadamu wa ovyo sana, Ingekuwa ni uwezo wangu hawa wajinga ningewafuta kwenye uso wa dunia kabisa
 
Huyo mwanamke wa mbele mume wake ni mwalimu kuu wa shule ya msingi
 
Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake.
Wabillah Taufiq
Pameanza kuchangamka mama naye kampa umba kati kadhaa. Wameanzia kujitambua eti wanaume tuu ndio awaruhusu kwenda kulishika jiwe la Kaaba wanawake wanawaona najisi kitaeleweka tuu tunakoelekea tutawaona maimamu wanawake
 
Huyo mama hataki kufuata maelekezo alafu yeye kaanza kumpiga Askari,unyanyasaji upo wapi hapo sasa
 
Jamani mnaangaliaje hiyo picha? Askari ndiye kaanza kumpiga huyo mama kofi la kelbu, mama naye akaja kujibu!

Angalia vizuri tena mkuu kilichofanya mjeda apaniki ni baada ya bimaza kumpiga kofi.
 
Sasa hapa na dini vinahusiana vipi? Mnakuwa na udini kiasi akili zinawaruka?
Hii si hata pale berlin, athens, california, tel aviv inaweza kutokea. Hata huku kwetu kishumundu inaweza kutokea kuna mahusiano gani na dini ?

Nyongeza aweza kuwa muislam, lakini haimaanishi mtu ndio hafanyi makosa, ndio maana kuna kutubia kwa kufanya makosa.
 
Kwani
Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake.
Wabillah Taufiq
Kwani hapo alieanza kumpiga Kofi mwenzake ni nani???? Mwanamke huyo ndo kaanza ushenzi anambiwa usipite huko haelewi afu Tena anampiga askari Kofi kwanini asishughulikiwe.

Tena hapo ingekuwa mi ni huyo askari ningemkula mtama wa nguvu kabla hajaanguka chini namsindikiza na ngumi na mateke kama football maaaaamae mwanamke Gani huna Adam Tena mwanamke wa kiislam kabisa.

Mwanamke wa kiislam kumrushia mwanaume Kofi Kwa Sheria za kale alistaili kupigwa mawe mpaka kufa.
 
Al Islamiya
 
Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake.
Wabillah Taufiq
Kenge kabisa wewe. Huoni yaliotokea mpaka polisi akamzaba huyo mwanamke. umejaa chuki na utakufa kwa chuki. Huko hamna kuweka shavu la pili. Mwanamke anastahiwa kama malikia hata foleni hapangi hata akiingia pahali hakuna viti mwanaume anasinama kumpisga kitu ila Ukivuka mipaka unanyukwa tu sababu hakuna namna.
 
Labda huyo Mama ana Mental Health issues.
 
Huyo mama Kazingua naye Kazinguliwa

Chura kiziwi Ngoma droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…