Udhalilishaji wa Kijinsia Arabuni wavuka Mipaka - Achezea vibao Hadharani

Pole sana mtoa mada. Hao usiowapenda utaendelea kuwaona mpaka mwisho wa uhai wako na wa kizazi chako.......tena wakifanikiwa zaidi Yako. Endelea kuumia ndugu yangu Huku ukishirikisha watu kama hv huenda ukabahatika siku Moja kupata tiba kutoka kwa mdau humu. Sikujua kama ugonjwa huu (wa udini) ni mkubwa kiasi hiki, nilidhani watu wanatania tu kimtindo maisha mengine yanaendelea.
 
Nakazia hoja. Huyo mwanamke nini kilimfanya ajipitishe hapo ilhali zilikuwepo sehemu nyingine za kupita na huyo askari hapo alikuwa akimkubusha akapite huko? Hiyo "biashara yake" kwani huko kwingine alikotakiwa kupita haina wateja ni mpaka ajipitishe-pitishe hapo na kuwatia waliofunga majaribuni?? Ona sasa imekula kwake. Sipo kiUdini bali naangazia Kuheshimu tu Taratibu zilizowekwa katika Jamii.
 
Huyo maza mwenyewe mbona mkorofi😃😃. Anastahili...mwanaume kadhalilishwa, nipo upande wa huyo askari
 
Shari aliianzisha mwanamke hapo,ni kitu na-support mwanamke anapoenda against natural inabidi aelekezwe kwa upole ambapo upole wenyewe ni kupigwa vibao kama alivyofanya pia blaza hapo chini
Your browser is not able to display this video.
 
Ubaya ubwera mpaka kwenye ibada za "KUMPIGA JIWE SHETANI" sasa ni kumpiga Kofi mwanamke!!
Hakuna tena mtu kuingia gharama kwenda Uarabuni huko kweny jiwe jeusi ....kwani Wanawake wamejazana tele huku. Ni suala la kubutua tu na unapata thawabu sawa na yule aliyekwenda Macca. Dah kazi kwel-kweli.
 
Hakuna tena mtu kuingia gharama kwenda Uarabuni huko kweny jiwe jeusi ....kwani Wanawake wamejazana tele huku. Ni suala la kubutua tu na unapata thawabu sawa na yule aliyekwenda Macca. Dah kazi kwel-kweli.
Nouma sana, kumpiga jiwe Shetani, Mambo ya kufikirika sana haya
 
Hakuna udhalilishaji hapo, unatakiwa kutii maagizo na kufuata maelekezo ya kijeshi; kama haparuhusiwi kupita kwa sababu za kiusalama, na wewe unalazimisha kwa kuwa ni mwanamke, ni kitu ambacho hakiwezekani ulimwenguni kote.​
 
Ndio mkome kwenda kwenye jiwe la kaaba maana hata pale mbeya lipo..........mpaka yanakukuta haya kwani huna kwenu ?? Huyo mungu gani hawezi kukusikia au kukuona kwa sala mpaka ukadhalilishwe kwenye maifa ya watu.........kumbuka waarabu ni wabinafsi sana sijui nyie wafia dini hamlioni hilo?? Wamewapa dini na tamaduni zao na ni lazima uzifuate siku ukijifanya unaachana nazo adhabu yako ni kifo..........tatizo hilo..........haya basi umechagua ujinga bakini na ujinga wenu
 
Mimi sionagi hata pa kuwapiga na wengine hatujui kubalance kuvu zetu kwa watu wazima wenye akili zao, utapiga uue bure.
 
Kama kweli Shetani yupo na anaishi huko bondeni Jamarat au Minah wanakotupia mawe; Iko siku atajibu mapigo.
Na siku akijibu mapigo, hakuna atakayerudi salama!! Tutasikia misiba ya Kitaifa 😅😅

Maana kapigwa sana mawe miaka na miaka katulia, siku akichoka ,kutakuwa na MBILINGE la kutisha 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…