Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #61
Hadithi yake nimeipenda ingawa inaonekana baadhi ya mawazo kakopi kwenye hadithi ya kusadikika.
Wewe si wa kwanza kusema nakopi.
Walimu wangu chuo kikuu wakiamini hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadithi yake nimeipenda ingawa inaonekana baadhi ya mawazo kakopi kwenye hadithi ya kusadikika.
ngoja nilale tu nisije nikala ban...ila huu unyonge wa wenzetu kweli unatisha sana...Wakijiji sasa unazeeka vibaya! husikii siku zote kuwa ni MFUMO na wale wa Waislamu wapo pale kuutekeleza watake wasitake?
"
Inawezekana hujui chanzo cha data hizo. Data hizo hazina shaka na kwa ajili ya kutaka "amani na mshikamano" iliamuliwa zisitolewe.
Ukipenda unaweza ukazipuuza lakini waliokuwa Wizara ya Elimu miaka hiyo na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wanafahamu nani alileta data hizo na kwa kisa gani.
Mwanakijiji! mzee wetu Mohamed Said ameianza nakala yake kwa kuturudisha nyuma kidogo na habari ya yule Sheikh aliyerudishwa "kwao" Zanzibar halafu akaendelea kutupeleka mwaka 1964 wakati masheikh wengi waliwekwa kizuizini, hakutuacha hapo bali alitukumbusha mwaka 1993 ambapo kulizuka tafrani kati ya askari na Waislamu akamalizia tukio la Sheikh Kishki juzijuzi na Mufti wa Yemen halafu akaunganisha na lilomkuta yeye.
Huu ni mlolongo wa matukio baada ya matukio haiwezekani ulifananishe na tukio moja la Ulimboka au na jingine kama la Ulimboka pale na hapa......mwisho kauli yako imenishangaza sana kwani inaonekana kuihukumu Serikali kuwa na hatia ya utekwaji wa Ulimboka!
Mohamed said ametuletea udhalilishwaji wa Waislamu unaofanywa na vyombo vya dola, wakati ya Ulimboka ndio kwanza uchunguzi unaendelea!
Hili la Utumwa zuri sana lakini kwanza itabidi tuanze na Transatlantic Slave Trade. Una ubavu tuanze kazi? Unajua kulikuwa na meli inayobeba watumwa kupeleka Marekani ikiitwa Jesus?
Kivipi?Hakuna mtawala kama JKNyerere hadi leo hii aliyejitahidi kuziba pengo kuhusu waislamu ambalo hakulisababisha yeye bali lilitokana na sababu za kihistoria!!
Sideeq, mwanakijiji ametumia mfano mmoja hai - lakini ninafikiri Lukolo hapo juu ameeleza vizuri. Anatao jibu kwa dukuduku lako. Sijawahi kusoma Koran - sijui kama maandishi hayo matakatifu yanasisitiza ULALAMISHI - maana Waislamu wa Tanzania ni walalamishi sana. Hakuna mtawala kama JKNyerere hadi leo hii aliyejitahidi kuziba pengo kuhusu waislamu ambalo hakulisababisha yeye bali lilitokana na sababu za kihistoria!!
Mkuu ina maana waislam walikuwa na maombi mengi sawa na hizo dini nyingine kiasi kwamba utuaminishe kuwa maombi yao ya msamaha wa kodi yaliyokubaliwa yalikuwa machache lets say ukilinganisha na hizo dini nyingine?Je haiwezekani kuwa taasisi za kiislam haziingizi vifaa vingi zaidi ya hizo taasisi za dini nyingine?Men lie, women lie, numbers don't lie
![]()
Jifunze ku respect kauli za wengine, alisema hili la Transatlantic slave trade liachwe kwanza........haya kalale!Sasa basi kwa nini tusikubaliane kwamba walioendesha biashara ya Transatlantic slave trade na ya Transindian slave trade wote walikuwa ni wadhalimu na imani zao za Kikristu na Kiislamu (pengine wakati huo) ziliongozwa na shetani!! Kwa hakika mimi ni mmojawapo ya watu ambao niko tayari kuunga ukombozi wa Afrika kutoka kwenye udhalimu wa Kikristu na Kiislamu na kujirudia katika imani walizokuwa nazo mababu zetu kabla ya kasumba hizi kuenezwa barani Afrika.
Nimesoma na Waislamu kuanzia msingi mpaka sekondari sijawahi kusikia aliyefelishwa kwasababu ya Uislamu. Napata taabu kukuelewa wewe na wenzako ambao kila siku mnaishutumu NECTA. Ama mnataka mpate ajira huko muanze kuiba mitihani kuwapelekea vilaza wenu misikitini?!Viongozi na watendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) wote ni Wakristo. Aidha kwa asilimia kubwa kabisa watungaji wa mitihani na wasahihishaji pia ni dini hiyo hiyo.
Tazama kitabu cha Miaka Thelathini ya NECTA, 2004 au www.necta.ca.tz
MEN LIE, WOMEN LIE, NUMBERS DONT LIE....
Men lie, women lie, numbers don't lie
![]()
Pole kwa usumbufu uliokupata Mzee Mohamed.Katika Dini Njia bora ni kusamehe ila ktk siasa ni kusema ukwel.Usichanganye Dini na Siasa na muhimu zaidi tambueni adui yenu hasa ni nani na ni vema sana uache kuchochea chuki miongon mwa jamii ya Wanadamu maana hakika hukumu iko mbele yako.
Chanzo kanisa lake!Nawewe nenda kahesabu waislamu wapo wangapi uje umwambie mbona unataka umwabudu allah kwa gharama za wenzio!yaani mnashindwa kutoa pesa ya sensa ya waislamu mtegemee serikari na wakristo wawahesabu?Dini gharama bwana ukishindwa badili uwe mkristo uelimike itakua ndo mwisho wa mahangaiko yako hapa duniani ebo!Haya, mara ya kwanza umeshindwa kutoa uthibitisho, sasa umechora chora ndio unatuletea hii, mimi msimamo wangu uko palepale. bila chanzo halisi cha hizi statics zako siwezi kukuamini hata kidogo. Acheni kuchochea udini.
Kwa mfano alitaifisha shule zote za sekondari ambazo nyingi zilikuwa mikononi mwa makanisa ili kuwezesha vijana wote wa Kitanzania (bila kujali dini, ukanda, kabila) wapate elimu ya sekondari (kwa nafasi hizo chache zilizokuwepo). JKNyerere, kama zilivyo jamii za mataifa yaliyoendelea, alitambua hakuna njia rahisi ya zaidi ya kutoa nafasi za elimu kwa wote ili kuziba pengo kati ya walionacho na wasionacho (kutokana na kudhululimiwa na walionacho) ama niseme kuleta usawa na haki. Elimu, elimu, elimu - ni utaratibu huo uliowawezesha watu wa kizazi cha Mhe Rais Dkt JMK, akina Prof Lipumba, akina Prof Kapuya (ninataja mifano michache - unaweza kuongea nao historia ya elimu yao) kupata elimu waliyopata. Pia ni utaratibu huo uliowezesha hata watoto wa familia maskini (wislamu na wakristu na wajadi) kupata elimu ya sekondari na ya juu!!! Hii haikuwa ajali, bali ulikuwa ni ubunifu na vision ya JKN.Kivipi?