Hawa jamaa wazungu wana roho nzuri sana hata mtoto wako akifanyiwa hivi utafurahi sana mkuu.
View attachment 340611
Mtaje na aina ya vitabu mlivyosoma,waandishi na miaka viliandikwa?Ni kweli tuliteswa, tukanyanyaswa na kufanyiwa kila unyama. Hilo wewe mtu mweusi wa leo linakusaidia nini?
Knowing the history is the best thing, Learning from history is the brilliant and incredible thing in mankind especially black african. Na hapa ndipo nilipo mimi.
Wazungu waarabu walifanya vitu viwili.1:kuchukua ardhi na kututesa cha pili ambacho ni hatari zaidi ni colonizing of africa n minds and information. Nimeamua kuwekeza katika kipengele cha pili ambacho kuna mengi nimejifunza.
African is the superior race than any race in this world. We are intellectually dull because of accepting mental colonialism.
Wakati wazungu wa magharibi wakiwa mambumbumbu kabisa wasiojua lolote, wagiriki walikuwa bize africa misri na ethiopia (archelogical evidence they wewe black) wakichota hekima na kufundishwa maisha. walivyorudi ulaya wazungu hawakuwaona watu weusi bali walimuona mgiriki kama philosopher na mtu mwenye uwezo mkubwa. Ujinga huo ndio ukatumika kututawala na hadi leo dunia nzima inawapigia magoti wakina pythagoras, alistote na plato wakati vyote walivitoa kwa mtu mweusi. upotofu huu ndio umejaa vyuoni mwetu.
Hapo najua tuko sawa.
Kuhusu dini.
UISLAMU: Mtume Mohamad SAW alikuwa na mission ya kueneza kile anachoamini na alichovuviwa dunia nzima.
mfano hii barua ya mtume kwa Mfalme wa bahrin na imetuzwa bagdad kwenye museams.
Mbinu za uenezaji zilikuwa na mbinu za kila aina hata ikibidi vita, Mfano Mtume aliwaandikia barua za kuaarika na kuwashawishi katika uislamu viongozi wote wakubwa ulimwengu wa wakati huo akiwepo mtawala wa RUMI . Pia ziliambatana na uenezwaji wa Mila na Desturi na kuzikanyaga zile za mtu mweusi. Ilikuwa ni jukumu la mababu zetu na sisi leo kuchagua kile kinachofaa na kisichofaa sio kumlaumu mleta dini au imani.
UKRISTO: Jamaa ukitrace back ukapenya kupitia njia ya kataifa kadogo ka wayahudi ukisonga sana Utakutana na wanadamu wawili (Mwanamke na Mwanaume) na Mungu wao baadae kidogo Shetani. Na historia ya itilafu yao na Mungu wao ikapelekea kuwepo ukristo. Alichowwangiza huyo kristo ni Kumtangazia kila mwanadamu kuwa walimkosea Mungu, ni wakati wa kurudi kwake waokolewe kupitia huyo Kristo. Huu ujumbe waliamriwa wautangaze kwa kila lugha, kabila, taifa, Dini (wakiwemo na ndugu zetu WAISLAMU),desturi na kila aina ya mwanadamu aliye hai maana ni kwa faida yao. Sasa kama waleta ujumbe walichanganya Mila zao, Wakapitia ujumbe huo kupiga dili na kudhoofisha wenzao. Kosa sio Mpokea Ukristo. Ni hao waliochanganya mambo.
Tuko pamoja
Mkuu Ilani, kwenye uzi wangu nimesema, kuna Waarabu wema ambao waliwapenda wajakazi, wakawaoa kama masuria na wakawazalia watoto!. Pia kuna Waarabu wachache ambao walikuwa na utu, na hawakuwahasi watumwa wao wa kiume, hivyo Watumwa hao, kwa jinsi miafrika ilivyo energetic, waliwasaidia hao Waarabu kuanzia kwa wake zao, hadi kuwasaidia wenyewe, wale wa yale mambvo yao ya Kiarabu, ile michezo ya Kizenj, Tanga na Mombasa!.mimi siamini kama kuna waarabu wema,dharau ya mwarabu na mhindi kwa mu Africa ni mara 10 ya dharau ya mzungu
Waarabu wema wapo!. Sii wengi wanaojua kuwa hata Arabuni kuna Wakistu!. Na kwenye Wayahudi kuna Waislamu!. Hata Yesu alikulia Misri kwa Waarabu!. Ukatili ni ukatili tuu, hauna kabila, ila Waliowafanyia ushenzi wa utumwa kwa babu zetu ndio Waarabu dhalimu!.Hakuna waarabu wema wote makatili sana ndio maana mpaka leo bado nayenzi mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
ila nachojiulizaga nani walikuwa wakamataji wa hao watumwa, ni waarabu au weusi wenzao
na hao babu zetu walikubalije kukamatwa kindezi mpk kufungwa minyroro hvo
Waarabu wema wapo!. Sii wengi wanaojua kuwa hata Arabuni kuna Wakistu!. Na kwenye Wayahudi kuna Waislamu!. Hata Yesu alikulia Misri kwa Waarabu!. Ukatili ni ukatili tuu, hauna kabila, ila Waliowafanyia ushenzi wa utumwa kwa babu zetu ndio Waarabu dhalimu!.
Pasco
Mkuu Ilani, kwenye uzi wangu nimesema, kuna Waarabu wema ambao waliwapenda wajakazi, wakawaoa kama masuria na wakawazalia watoto!. Pia kuna Waarabu wachache ambao walikuwa na utu, na hawakuwahasi watumwa wao wa kiume, hivyo Watumwa hao, kwa jinsi miafrika ilivyo energetic, waliwasaidia hao Waarabu kuanzia kwa wake zao, hadi kuwasaidia wenyewe, wale wa yale mambvo yao ya Kiarabu, ile michezo ya Kizenj, Tanga na Mombasa!.
Pasco
HahahaPicha ya camera kwa vile wazungu waligundua camera na kuwa nayo,waarabu hawakwa nayo ulitegemea wapige picha na nini?ulisoma bado hujaelimika kuna soko la watumwa bagamoyo,goldcoast,Senegal (goree) Zanzibar etc uwe unapenda kusoma si kulishana ujinga wa madrasa
Acha uongo wewe.Pasco unajichanganya hapo mwisho. Huwezi ku generalise eti waarabu wa sasa ni wema wakishinda wapewe nchi. Sijui una maana gani. ujue mwandishi unaye mkosoa ni mwislam mhafidhina. Uislaam unaruhusu utumwa na mwenye mtumwa anaweza kumtendea mtumwa wake vyovyote. Yapo mambo yasiyofaa kwa sasa katika imani ya kikristo ila wakristo wamekua wepesi kutoyatilia nguvu isipokua sio katika uislam. Bahati mbaya mtu mweusi mbele ya mwarabu hadi leo ni mtumwa. tumeona na kusikia jinsi watumishi/wafanyikazi waafrika wanavyotendewa uarabuni hadi leo. ndio maana muandishi Mohamed Said anaona kuuliwa waafrika na waarabu sio chochote maana walikua watumwa. Anachokiona yeye ni mauaji ya waarabu katika mapinduzi ya 1964 maana hao ndio walikua watu. kutokana na msingi wa historia kuna kila sababu mwafrika kua macho na kujihami na mwarabu.
Acha uongo wewe.Bado tatizo lipo kwa Waarabu.....wale wageni wanaojenga viwanja kule Qatar wanalalamika.....Kina dada wanaotoka huku (Tanzania na Kenya) kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu wengi wao hawatendewi kibinaadamu...
Kuna bwana aliwahi kutoa habari yake kupitia kipindi cha Njia panda(clouds) anaitwa Samadu (kama sikosei) alielezea madhila aliyokumbana nayo akiwa "utumwani" ikiwepo kuambiwa na wenyeji wake kuwa wao (weusi) wapo duniani kwa ajili ya kuwa Watumwa.
Sio kweli.aisee!! km ndo hvyo ht mm nisingewapa nchi ht kwa dawa
waarabu udhalimu uko damuni
Sasa km waarabu ni wabaya kiasi hiki Hao waafrika waliojaa huko Uarabuni kwa mamilioni Wanaenda kutafuta nini km wewe sio mnafiki?Bado tatizo lipo kwa Waarabu.....wale wageni wanaojenga viwanja kule Qatar wanalalamika.....Kina dada wanaotoka huku (Tanzania na Kenya) kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu wengi wao hawatendewi kibinaadamu...
Kuna bwana aliwahi kutoa habari yake kupitia kipindi cha Njia panda(clouds) anaitwa Samadu (kama sikosei) alielezea madhila aliyokumbana nayo akiwa "utumwani" ikiwepo kuambiwa na wenyeji wake kuwa wao (weusi) wapo duniani kwa ajili ya kuwa Watumwa.
Kwani Ni kosa la jinai kuwa muhindi au Mwarabu?Hivi na wewe ni Mwarabu?
Hawa wakristo wanaposema mwaraabu, wanamaanisha Waislamu (lakini wanaficha tu).Kwani Ni kosa la jinai kuwa muhindi au Mwarabu?
Nyie msio na Elimu ndio mtakao tuletea balaa nchi hii.
Ajira zao hao waarabu na Kodi zao mnazipenda lkn Rangi yao ni tatizo kwa njaa kali km wewe.
Hivi na wewe ni mzungu?Hivi na wewe ni Mwarabu?