Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Ni kweli tuliteswa, tukanyanyaswa na kufanyiwa kila unyama. Hilo wewe mtu mweusi wa leo linakusaidia nini?
Knowing the history is the best thing, Learning from history is the brilliant and incredible thing in mankind especially black african. Na hapa ndipo nilipo mimi.
Wazungu waarabu walifanya vitu viwili.1:kuchukua ardhi na kututesa cha pili ambacho ni hatari zaidi ni colonizing of africa n minds and information. Nimeamua kuwekeza katika kipengele cha pili ambacho kuna mengi nimejifunza.


African is the superior race than any race in this world. We are intellectually dull because of accepting mental colonialism.
Wakati wazungu wa magharibi wakiwa mambumbumbu kabisa wasiojua lolote, wagiriki walikuwa bize africa misri na ethiopia (archelogical evidence they wewe black) wakichota hekima na kufundishwa maisha. walivyorudi ulaya wazungu hawakuwaona watu weusi bali walimuona mgiriki kama philosopher na mtu mwenye uwezo mkubwa. Ujinga huo ndio ukatumika kututawala na hadi leo dunia nzima inawapigia magoti wakina pythagoras, alistote na plato wakati vyote walivitoa kwa mtu mweusi. upotofu huu ndio umejaa vyuoni mwetu.
Hapo najua tuko sawa.

Kuhusu dini.
UISLAMU: Mtume Mohamad SAW alikuwa na mission ya kueneza kile anachoamini na alichovuviwa dunia nzima.
image025.jpg

mfano hii barua ya mtume kwa Mfalme wa bahrin na imetuzwa bagdad kwenye museams.
Mbinu za uenezaji zilikuwa na mbinu za kila aina hata ikibidi vita, Mfano Mtume aliwaandikia barua za kuaarika na kuwashawishi katika uislamu viongozi wote wakubwa ulimwengu wa wakati huo akiwepo mtawala wa RUMI . Pia ziliambatana na uenezwaji wa Mila na Desturi na kuzikanyaga zile za mtu mweusi. Ilikuwa ni jukumu la mababu zetu na sisi leo kuchagua kile kinachofaa na kisichofaa sio kumlaumu mleta dini au imani.

UKRISTO: Jamaa ukitrace back ukapenya kupitia njia ya kataifa kadogo ka wayahudi ukisonga sana Utakutana na wanadamu wawili (Mwanamke na Mwanaume) na Mungu wao baadae kidogo Shetani. Na historia ya itilafu yao na Mungu wao ikapelekea kuwepo ukristo. Alichowwangiza huyo kristo ni Kumtangazia kila mwanadamu kuwa walimkosea Mungu, ni wakati wa kurudi kwake waokolewe kupitia huyo Kristo. Huu ujumbe waliamriwa wautangaze kwa kila lugha, kabila, taifa, Dini (wakiwemo na ndugu zetu WAISLAMU),desturi na kila aina ya mwanadamu aliye hai maana ni kwa faida yao. Sasa kama waleta ujumbe walichanganya Mila zao, Wakapitia ujumbe huo kupiga dili na kudhoofisha wenzao. Kosa sio Mpokea Ukristo. Ni hao waliochanganya mambo.

Tuko pamoja
Mtaje na aina ya vitabu mlivyosoma,waandishi na miaka viliandikwa?
 
Matola,
Mkuu Matola, kwa heshma na taadhima, naomba ondoa hizi picha za IS, zinaumiza sana!, zile za mateso ya watumwa ni ya kale hayanuki!, hizi za damu mbichi kabisa...no!. Hawa jamaa sio watu kabisa sio binadamu hawa ni wanyama!, ma beast wa jehanum ya moto wa milele walioletwa duniani!, hata Hitler ni cha mtoto!, hawa ni mashetani kabisa wanaoishi duniani!, nadhani hata jini kashkash na majinun wana afadhali maana wao wananyonya damu!, hawa wanamwaga damu!.

Ukishindwa kabisa basi angalau ziondoe hizo zenye kuonyesha faces kwa heshima tuu ya ubinaadamu wa marehemu!.
Kuna baadhi ya wachangiaji humu wanaonyesha kuufurahia ushetani huu!.

Pasco
 
mimi siamini kama kuna waarabu wema,dharau ya mwarabu na mhindi kwa mu Africa ni mara 10 ya dharau ya mzungu
Mkuu Ilani, kwenye uzi wangu nimesema, kuna Waarabu wema ambao waliwapenda wajakazi, wakawaoa kama masuria na wakawazalia watoto!. Pia kuna Waarabu wachache ambao walikuwa na utu, na hawakuwahasi watumwa wao wa kiume, hivyo Watumwa hao, kwa jinsi miafrika ilivyo energetic, waliwasaidia hao Waarabu kuanzia kwa wake zao, hadi kuwasaidia wenyewe, wale wa yale mambvo yao ya Kiarabu, ile michezo ya Kizenj, Tanga na Mombasa!.

Pasco
 
Hakuna waarabu wema wote makatili sana ndio maana mpaka leo bado nayenzi mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Waarabu wema wapo!. Sii wengi wanaojua kuwa hata Arabuni kuna Wakistu!. Na kwenye Wayahudi kuna Waislamu!. Hata Yesu alikulia Misri kwa Waarabu!. Ukatili ni ukatili tuu, hauna kabila, ila Waliowafanyia ushenzi wa utumwa kwa babu zetu ndio Waarabu dhalimu!.

Pasco
 
ila nachojiulizaga nani walikuwa wakamataji wa hao watumwa, ni waarabu au weusi wenzao

na hao babu zetu walikubalije kukamatwa kindezi mpk kufungwa minyroro hvo
 
Waarabu wema wapo!. Sii wengi wanaojua kuwa hata Arabuni kuna Wakistu!. Na kwenye Wayahudi kuna Waislamu!. Hata Yesu alikulia Misri kwa Waarabu!. Ukatili ni ukatili tuu, hauna kabila, ila Waliowafanyia ushenzi wa utumwa kwa babu zetu ndio Waarabu dhalimu!.

Pasco


Mkuu umeingia chaka Misri sio kwa waarabu misri ni kwa copt na wanubi waarabu ni wavamizi tu misri kama wazungu walivyo wavamzi America na Australia
 
Mkuu Ilani, kwenye uzi wangu nimesema, kuna Waarabu wema ambao waliwapenda wajakazi, wakawaoa kama masuria na wakawazalia watoto!. Pia kuna Waarabu wachache ambao walikuwa na utu, na hawakuwahasi watumwa wao wa kiume, hivyo Watumwa hao, kwa jinsi miafrika ilivyo energetic, waliwasaidia hao Waarabu kuanzia kwa wake zao, hadi kuwasaidia wenyewe, wale wa yale mambvo yao ya Kiarabu, ile michezo ya Kizenj, Tanga na Mombasa!.

Pasco


hahahahahahaha pasco ndio mana mambo ya kimombasa na kitanga wanahusudu waarabu
 
Picha ya camera kwa vile wazungu waligundua camera na kuwa nayo,waarabu hawakwa nayo ulitegemea wapige picha na nini?ulisoma bado hujaelimika kuna soko la watumwa bagamoyo,goldcoast,Senegal (goree) Zanzibar etc uwe unapenda kusoma si kulishana ujinga wa madrasa
Hahaha

Acha uongo wewe, mbona mimi mwafrika sijagundua camera lakini nayo camera na kila siku naitumia? , unaweza kutumia camera hata kama haujaigundua..

Ama kweli akili ni mali.

Hahaha
 
Pasco unajichanganya hapo mwisho. Huwezi ku generalise eti waarabu wa sasa ni wema wakishinda wapewe nchi. Sijui una maana gani. ujue mwandishi unaye mkosoa ni mwislam mhafidhina. Uislaam unaruhusu utumwa na mwenye mtumwa anaweza kumtendea mtumwa wake vyovyote. Yapo mambo yasiyofaa kwa sasa katika imani ya kikristo ila wakristo wamekua wepesi kutoyatilia nguvu isipokua sio katika uislam. Bahati mbaya mtu mweusi mbele ya mwarabu hadi leo ni mtumwa. tumeona na kusikia jinsi watumishi/wafanyikazi waafrika wanavyotendewa uarabuni hadi leo. ndio maana muandishi Mohamed Said anaona kuuliwa waafrika na waarabu sio chochote maana walikua watumwa. Anachokiona yeye ni mauaji ya waarabu katika mapinduzi ya 1964 maana hao ndio walikua watu. kutokana na msingi wa historia kuna kila sababu mwafrika kua macho na kujihami na mwarabu.
Acha uongo wewe.

Mbaguzi wa rangi wewe kama makaburu.

Huna busara kabisa.

Unachuki sana dhidi ya waraabu.

Ndio maana mpaka sasa unamuabudu mzungu. Kafiri mmoja wee.
 
Bado tatizo lipo kwa Waarabu.....wale wageni wanaojenga viwanja kule Qatar wanalalamika.....Kina dada wanaotoka huku (Tanzania na Kenya) kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu wengi wao hawatendewi kibinaadamu...

Kuna bwana aliwahi kutoa habari yake kupitia kipindi cha Njia panda(clouds) anaitwa Samadu (kama sikosei) alielezea madhila aliyokumbana nayo akiwa "utumwani" ikiwepo kuambiwa na wenyeji wake kuwa wao (weusi) wapo duniani kwa ajili ya kuwa Watumwa.
Acha uongo wewe.
 
Hoja ya Pasco ilitegemea sana report ya commissioner Donald Mackenzie iliotolewa London mwaka 1895.

A report on slavery and slave trade in Zanzibar, Pemba.

Ambayo ilitayarishawa na The British and Sovereign Ant-Slave Society.

Ukweli wa Mambo.

Ikiwa kweli kisingizio cha mavamizi ya Zanzibar ni utumwa basi utumwa ulikuwepo nchi zote duniani, si Zanzibar tu.

Waliofanya biashara za utumwa ni watu wa kabila zote na dini zote, hata Wapagani wa kiafirika.

Lakini waliotia fora kwa ukatili na ukhabithi mkubwa katika biashara ya utumwa ni mataifa ya kizungu na khasa Waingezera na Wamarekani.

Leo wana uso wa kujigamba na kujidai kama eti wao ndio walio ondosha utumwa?

Ushahidi.

1. Sayyid Said bin Sultan alipiga marufuku biashara ya watumwa baina ya mamlaka zake na mataifa yote ya kikristo mwaka 1822.

2. Pia alizuwia kusafirisha watumwa kutoka Afrika kwenda Oman katika mwaka 1845.

3. Sayyid Barghash alipiga marufuku biashara ya watumwa katika mwaka 1872 na akalifunga soko la watumwa lililokuwepo Mkunazini, Zanzibar.

4. Dola za kizungu zilipiga marufuku biashara ya watumwa kwa hiyo inayoitwa Brussels Act katika mwaka 1890 (yaani Zanzibar iliutangulia ulimwengu mzima kwa miaka kumi na nane (18) katika kupiga marufuku biashara ya watumwa)

5. Sayyid Hamoud ambaye pia nae alikuwa Sultan wa Zanzibar alipiga marufuku kabisa utumwa wenyewe katika mwaka 1897 (yaani mwaka huo hapakuwa na mtu yeyote mtumwa katika mamlaka ya Zanzibar).

6. Waingereza walipiga marufuku utumwa Kenya mwaka 1912 (yaani miaka miaka 15 baada ya Zanzibar).

Katika Tanganyika Wajerumani waliendelea na utumwa kwa muda wote waliotawala na baada ya hapo Waingereza waliendeleza utumwa katika Tanganyika mpaka mwaka 1920 (yaani kwa muda wa miaka 23 baada ya Zanzibar).

Huu ndugu zangu ndio ukweli.

Utumwa khasa ulifanywa na wazungu sio waarabu.

Mwisho:

Katika nchi yetu ya Zanzibar sasa tumebaki Na Ukoloni mweusi kutoka Tanganyika licha ya kuwa tunajinata Na kujigamba kwamba tumejikomboa ili tujitawale, lakini hao wanaoripokwa haya inaonekana wazi kwamba wamelevya Na maslahi yao binafsi Na wengine pangu pakavu tia mchuzi hawana kazi hawana bazi wao ni bendera ipepee tu japo wale dongo.
 
Bado tatizo lipo kwa Waarabu.....wale wageni wanaojenga viwanja kule Qatar wanalalamika.....Kina dada wanaotoka huku (Tanzania na Kenya) kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu wengi wao hawatendewi kibinaadamu...

Kuna bwana aliwahi kutoa habari yake kupitia kipindi cha Njia panda(clouds) anaitwa Samadu (kama sikosei) alielezea madhila aliyokumbana nayo akiwa "utumwani" ikiwepo kuambiwa na wenyeji wake kuwa wao (weusi) wapo duniani kwa ajili ya kuwa Watumwa.
Sasa km waarabu ni wabaya kiasi hiki Hao waafrika waliojaa huko Uarabuni kwa mamilioni Wanaenda kutafuta nini km wewe sio mnafiki?
 
Kwani Ni kosa la jinai kuwa muhindi au Mwarabu?
Nyie msio na Elimu ndio mtakao tuletea balaa nchi hii.
Ajira zao hao waarabu na Kodi zao mnazipenda lkn Rangi yao ni tatizo kwa njaa kali km wewe.
Hawa wakristo wanaposema mwaraabu, wanamaanisha Waislamu (lakini wanaficha tu).

Nawashauri Waislamu waamke wasikubali kunyanyaswa na kudhalilishwa.

Pia wewe Pasco naona umesahau kwamba kuna watanzania wengi sana hapa Tanzania wenye asali ya Kiarabu wanaishi na sisi Waafrika kwa usalama kabisa (huna haki kuumiza hisia zao kwa makala yako haya ya uongo).

Wewe Pasco muogope Mungu wako wewe, Mungu anasikia na anaona yote unayoyatenda, lazima tu utahukumiwa na utaona cha mtema kuni mbele ya mahakama ya Mwenyezi Mungu, usipo tubu na kusahihisha uwongo wako huu, adhabu ya jahanam inakungoja.

Ameen.
 
What about the church castrating your choir boys- In 1599, Pope
Clement VIII gave the ok for castrated young
boy's to sing in the Church. This went on for
the next 280 years or so until Pope Leo in
1878 finally stopped it. Two hundred and
eighty years of castrating young boy's with
the Pope and the Church giving approval for
this barbaric procedure so the Church could
have high pitched singers because women
were not allowed to sing in the Church.
 
Back
Top Bottom