Ni kweli tuliteswa, tukanyanyaswa na kufanyiwa kila unyama. Hilo wewe mtu mweusi wa leo linakusaidia nini?
Knowing the history is the best thing, Learning from history is the brilliant and incredible thing in mankind especially black african. Na hapa ndipo nilipo mimi.
Wazungu waarabu walifanya vitu viwili.1:kuchukua ardhi na kututesa cha pili ambacho ni hatari zaidi ni colonizing of africa n minds and information. Nimeamua kuwekeza katika kipengele cha pili ambacho kuna mengi nimejifunza.
African is the superior race than any race in this world. We are intellectually dull because of accepting mental colonialism.
Wakati wazungu wa magharibi wakiwa mambumbumbu kabisa wasiojua lolote, wagiriki walikuwa bize africa misri na ethiopia (archelogical evidence they wewe black) wakichota hekima na kufundishwa maisha. walivyorudi ulaya wazungu hawakuwaona watu weusi bali walimuona mgiriki kama philosopher na mtu mwenye uwezo mkubwa. Ujinga huo ndio ukatumika kututawala na hadi leo dunia nzima inawapigia magoti wakina pythagoras, alistote na plato wakati vyote walivitoa kwa mtu mweusi. upotofu huu ndio umejaa vyuoni mwetu.
Hapo najua tuko sawa.
Kuhusu dini.
UISLAMU: Mtume Mohamad SAW alikuwa na mission ya kueneza kile anachoamini na alichovuviwa dunia nzima.
mfano hii barua ya mtume kwa Mfalme wa bahrin na imetuzwa bagdad kwenye museams.
Mbinu za uenezaji zilikuwa na mbinu za kila aina hata ikibidi vita, Mfano Mtume aliwaandikia barua za kuaarika na kuwashawishi katika uislamu viongozi wote wakubwa ulimwengu wa wakati huo akiwepo mtawala wa RUMI . Pia ziliambatana na uenezwaji wa Mila na Desturi na kuzikanyaga zile za mtu mweusi. Ilikuwa ni jukumu la mababu zetu na sisi leo kuchagua kile kinachofaa na kisichofaa sio kumlaumu mleta dini au imani.
UKRISTO: Jamaa ukitrace back ukapenya kupitia njia ya kataifa kadogo ka wayahudi ukisonga sana Utakutana na wanadamu wawili (Mwanamke na Mwanaume) na Mungu wao baadae kidogo Shetani. Na historia ya itilafu yao na Mungu wao ikapelekea kuwepo ukristo. Alichowwangiza huyo kristo ni Kumtangazia kila mwanadamu kuwa walimkosea Mungu, ni wakati wa kurudi kwake waokolewe kupitia huyo Kristo. Huu ujumbe waliamriwa wautangaze kwa kila lugha, kabila, taifa, Dini (wakiwemo na ndugu zetu WAISLAMU),desturi na kila aina ya mwanadamu aliye hai maana ni kwa faida yao. Sasa kama waleta ujumbe walichanganya Mila zao, Wakapitia ujumbe huo kupiga dili na kudhoofisha wenzao. Kosa sio Mpokea Ukristo. Ni hao waliochanganya mambo.
Tuko pamoja