Hayo maneno umeyatoa wapi sijui angalia kichwa cha habari cha huu uzi au nionyeshe wapi mleta mada kawataja wazungu kama unavyotaka kutuaminisha wewe.Tofauti ni moja tu, sisi tunasema wazungu na waarabu wote wamewahi kutesa binadamu wenzao and for this case, wametesa watu weusi. Ninyi mnasema hapana ni wazungu tu. Hii si kweli
Wewe mtumwa arabuni apelekwe enzi hizo jua kali akafanye nini ? Nani atachukua mzigo aupeleke jangwani ?Wale watumwa waliopelekwa Uarabuni vizazi vyao viko wapi!!! kwani wale waliopelekwa India mpaka leo wapo na wale waliopelekwa Ulaya, Marekani mpaka Amerika Kusini mpaka leo wapo tena kwa mamilioni and for your information nchi yenye watu wengi weusi(black) kuliko nchi ingine yeyote duniani ni BRAZIL na siyo Congo wala Sudan wala Tanzania. Ni kweli wapo kule ni kwa sababu hawakuhasiwa kama waliopelekwa Mashariki ya Kati. Who is to blame and have they apologized and compensated!
Hayo maneno umeyatoa wapi sijui angalia kichwa cha habari cha huu uzi au nionyeshe wapi mleta mada kawataja wazungu kama unavyotaka kutuaminisha wewe.
Hawa MOD pia wanapendelea Wakristo na wanawadhalilisha Waislamu. Wamefuta posts zote za Waislamu lakini wameacha posts zote za wakristo, hii thread imeanzishwa rasmi na Jamiiforums kuwadhalilisha Waislamu na Waraabu.
Hawa wakristo wanaposema mwaraabu, wanamaanisha Waislamu (lakini wanaficha tu).
Nawashauri Waislamu waamke wasikubali kunyanyaswa na kudhalilishwa.
Pia wewe Pasco naona umesahau kwamba kuna watanzania wengi sana hapa Tanzania wenye asali ya Kiarabu wanaishi na sisi Waafrika kwa usalama kabisa (huna haki kuumiza hisia zao kwa makala yako haya ya uongo).
Wewe Pasco muogopi Mungu wako wewe, Mungu anasikia na anaona yote unayoyatenda, lazima tu utahukumiwa na utaona cha mtema kuni mbele ya mahakama ya Mwenyezi Mungu, usipo tubu na kusahihisha uwongo wako huu, adhabu ya jahanam inakungoja.
Ameen.
Wazungu ndio makuhani wakuu wa utumwa afrika mashariki.
Wao ndio watawala
Wote kuanzia mchungaji Karl peter
Padri Vasco dagama
Padri Betholow Diaz
Na magavana wao walifata baadae ambao walitawala east afrika ndio wasimamizi wakuu wa buashara hii haramu..
Unakubalika wakitumia wahuni wachache wakiarabu kama manamba...kuna Tip tip chotara wa kinya mwezi ambaye asili yake ni machifu wa unyanyembe ndo wakabebeshwa lawama.
Hawa wazungu baada ya kupigwa marufuku biashara hii na Mfalme wa Znz na pia ulaya na amerika kujaa waafrika bila kazi ili kuzitawala nchi hizi za afrika mashariki wakaja na hii gia ya warabu na utumwa.
Wao ndo wakawa wakiloni
Wakazitawala nchi hizi hasa Tanganyika... ujinga huu Kenya wala Uganda hakuna.
Walifanya makusudi ili kuupiga vita uislam na kujarubu kuupaisha ukristo na wao ni wema.
Wakaanzisha shule nyingi za seminari na somo kuu ni hilo.
Hii bangi wakai ngiza vichwani mwao na ika ingia bila kuhoji...ikarithiwa na kina Pasco
Ikaendelewa kusomeshwa kivukoni na mashule na bangi hili bado limewakaa wenyewe hawezi kwenda rehab kwa wazungu wamesha ondoka na tayari wame pata wanaserere wakuwatumikia ....
Lazima mufikiri out of box ili uwe huru..
Kikwete alikwambieni za kuambiwa changanya na za kwako....
Hoja ya Pasco ilitegemea sana report ya commissioner Donald Mackenzie iliotolewa London mwaka 1895.
A report on slavery and slave trade in Zanzibar, Pemba.
Ambayo ilitayarishawa na The British and Sovereign Ant-Slave Society.
Ukweli wa Mambo.
Ikiwa kweli kisingizio cha mavamizi ya Zanzibar ni utumwa basi utumwa ulikuwepo nchi zote duniani, si Zanzibar tu.
Waliofanya biashara za utumwa ni watu wa kabila zote na dini zote, hata Wapagani wa kiafirika.
Lakini waliotia fora kwa ukatili na ukhabithi mkubwa katika biashara ya utumwa ni mataifa ya kizungu na khasa Waingezera na Wamarekani.
Leo wana uso wa kujigamba na kujidai kama eti wao ndio walio ondosha utumwa?
Ushahidi.
1. Sayyid Said bin Sultan alipiga marufuku biashara ya watumwa baina ya mamlaka zake na mataifa yote ya kikristo mwaka 1822.
2. Pia alizuwia kusafirisha watumwa kutoka Afrika kwenda Oman katika mwaka 1845.
3. Sayyid Barghash alipiga marufuku biashara ya watumwa katika mwaka 1872 na akalifunga soko la watumwa lililokuwepo Mkunazini, Zanzibar.
4. Dola za kizungu zilipiga marufuku biashara ya watumwa kwa hiyo inayoitwa Brussels Act katika mwaka 1890 (yaani Zanzibar iliutangulia ulimwengu mzima kwa miaka kumi na nane (18) katika kupiga marufuku biashara ya watumwa)
5. Sayyid Hamoud ambaye pia nae alikuwa Sultan wa Zanzibar alipiga marufuku kabisa utumwa wenyewe katika mwaka 1897 (yaani mwaka huo hapakuwa na mtu yeyote mtumwa katika mamlaka ya Zanzibar).
6. Waingereza walipiga marufuku utumwa Kenya mwaka 1912 (yaani miaka miaka 15 baada ya Zanzibar).
Katika Tanganyika Wajerumani waliendelea na utumwa kwa muda wote waliotawala na baada ya hapo Waingereza waliendeleza utumwa katika Tanganyika mpaka mwaka 1920 (yaani kwa muda wa miaka 23 baada ya Zanzibar).
Huu ndugu zangu ndio ukweli.
Utumwa khasa ulifanywa na wazungu sio waarabu.
Mwisho:
Katika nchi yetu ya Zanzibar sasa tumebaki Na Ukoloni mweusi kutoka Tanganyika licha ya kuwa tunajinata Na kujigamba kwamba tumejikomboa ili tujitawale, lakini hao wanaoripokwa haya inaonekana wazi kwamba wamelevya Na maslahi yao binafsi Na wengine pangu pakavu tia mchuzi hawana kazi hawana bazi wao ni bendera ipepee tu japo wale dongo.
Soma kuhusu zanji slave rebellion kule mjini basra(iraq) alafu utaelewa kila mjadala sio lazma uchangie kama la kusema bora ukae kimyaWewe mtumwa arabuni apelekwe enzi hizo jua kali akafanye nini ? Nani atachukua mzigo aupeleke jangwani ?
Pale oman wakishindia uji wa tende ..bara bara ya lami mpaka 1969 ni kilomita 3 nchi nzima.
Hakuna ardhi ya kulima
Hakuna viwanda
Warabu hao wa oman wakisafiri kuchukua bidhaa kwa majahazi kupeleka kwao.
Hata akili ya kuambiwa tena bila ya kuchanganya na hio ulo pewa basi inakataa kuwa wewe njaa tupu halafu ukununue midume ije kuuza sura kwako..!!!
Hayo ni bangi kuu kabisa mlovutishwa.
Inakubalika Zanzibar ilikua ni soko kuu la watumwa na wakiliendesha wazungu ndo walikua walinzi wa dola.
Pale wakija wazungu na meli zao kununua wengine wakienda europe na wengine USA kupitia Cape of good hope. Ilopewa jina hilo la matumaini mapya baada njia ile ya Afrika Magharibi kuharibika kutokana na resistance ya wenyeji kufanywa watumwa..
Hivo walipo ijua njia hii wakija huku kununua watu kuwapeleka brazil
Usa cuba nk.
Na suala la kwa nini hakuna weusi kule arabuni ..hilo linatikana na ujinga ...hujui mataifa..hujui historia..hujui demographic za warabu wa oman.
Ungefanta utafiti kidogo ungejua kwamba unayo sema ni ujuha mkuu.
Kwa ufupi baada utumwa kupigwa marufuku..wazungu wakihangaika na meli za watumwa kwenye bahari ya hindi....hivo wakawashusha wengine re union
Wengine Somalia
Wengine madagasca
Wengine Salala oman.
Na huku salala wamepokewa na ndo Alwatan pale ....ni wa Oman wenye haki sawa na muoman mwengine...walo jeshini ..wapo kila mahala..hata mama wa mfalme anatikana nao....
Inakubalika walikuwapo watumwa wakiletwa kupanda mikarafuu Znz...lakini la kununua na kuwapeleka Arabuni ni hadithi za kivukoni na maoinduzi daima za pasco
Mkuu Ilani, Yesu baada tuu ya kuzaliwa Bethlehemu, baada ya kutimiza 40, alikwenda kuishi Misri na kurejea kidogo Israel alipokuwa na miaka 12, kisha akarejea Misri hadi akiwa na umri wa miaka 30!. Misri ni nchi ya Kiarabu na ina lugha moja tuu, Kiarabu!. Hivyo it is a common sense mtu aliyeishi Misri kwa miaka 30, alizungumza lugha gani!.Mkuu Pasco waweza kunisaidia Yesu aliongea kiarabu kwa usahidi?
Maneno kintuuu.watu tunaruhusu imani za kidini kucloud our thinking.Hivi mreno ni mwarabu mjerumani ni mwarabu mwingereza ni mwarabu mbona waliua saana babu zetu hizi ni history za chuki na wazungu walificha ushahidi wa vitendo vyap na je mashujaa wa songea walinyongwa na warabu vita vya maji maji ni waaarabu na waarabu walifanya biashara ya utumwa je unamjua mteja mkubwa wa watumwa si mzungu ww unaweza kuniambia visiwa vya cuba jamaica haiti wale weusi wametoka wap
Mwarabu ni mnyama sana.Mkuu Ilani, Yesu baada tuu ya kuzaliwa Bethlehemu, baada ya kutimiza 40, alikwenda kuishi Misri na kurejea kidogo Israel alipokuwa na miaka 12, kisha akarejea Misri hadi akiwa na umri wa miaka 30!. Misri ni nchi ya Kiarabu na ina lugha moja tuu, Kiarabu!. Hivyo it is a common sense mtu aliyeishi Misri kwa miaka 30, alizungumza lugha gani!.
Na pia kuwasaidia wasio jua, Yesu alivaa kanzu na kilemba kama wavaavyo Waarabu!, Wakistu wa kwanza wote walivaa kanzu na wanawake hijab!. Kanisa la kwanza limeanzia Arabuni, katika jiji la Constinapole!. Ndipo utawala wa Kirumi ukavamia na kuvunja hekalu hilo na kupora kila kitu na kuhamishia Vatican!, hivyo Vatican imenjengwa on a loot!.
Tukizungumzia ukatili wa binadamu, Warumi ndio walioongoza kwa ukatili na walikuwa na kikosi maalum cha mauaji kwa mateso, ikiwemo michezo kama ya gladiators, au kutupwa kwenye tundu la simba wenye njaa na kushangilia jinsi binadamu anavyorrauliwa etc!.
Mada yangu ni ukatili wa Waarabu kwenye biashara ya utumwa wa Unguja na Pemba na sio dini!. Kwa vile toka mwanzo niliweka angalizo la uwepo baadhi yetu ambao ni mufilisi, baadhi ya michango humu imenifundisha kuwa kumbe jf tunao members mufilisi wengi zaidi kuliko tulivyodhania!.
Mimi Kitu pekee ninachoweza kuwaambia ni Mwarabu ni mtu, na sio dini!. Uislamu ni imani na sio Uarabu!.
Ila nakiri kuna tatizo kubwa la inferiority complex miongoni mwa baadhi ya Waislamu humu kujishutukia, likisemwa baya lolote la Waarabu, kwao wanaona kama ni Iislamu ndio unabezwa!.
Mimi ni Mkristo Mkatoliki, nimeanzisha mada chungu nzima kuwabeza wazungu na hata kupingana na kanisa langu Katoliki, lakini sikuona watu wakitukana!. Kutukana na lugha za machukizo ni dalili ya kufilisika kihoja!.
Mimi ni Mkristo Mkatoliki lakini ninaikubali mahakama ya kadhi na nimeitetea sana humu!. Waislamu, kanisomeni
Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu
Pasco
nadhani Pasco kama si kipofu basi ni makengezaNrejea kukueleza kuwa utumwa wa hao babu zako haukufanywa na waarabu dhalimu, lakini hata watanganyika dhalimu. Tena watanganyika ndio walikuwa madhalimu zaidi kwa jinsi ya njia wanaotumia kuwakamata na kuwahifadhi. Ujue pia hao wanunuzi walikuwa hawanunui watumwa dhoofu, hivyo hutunzwa na kupewa lishe ili wapate soko bora.. Hakuna chifu Tanganyika wakati huo ambae hajajishughulisha na biashara ya utumwa. Nimekueleza TIPTIP ni mnyamwezi na ana udugu wa damu na chifu Fundikira. Bora useme wale wote waliowanyia ushenzi wa utumwa babu zako ndio wadhalimuWaarabu wema wapo!. Sii wengi wanaojua kuwa hata Arabuni kuna Wakistu!. Na kwenye Wayahudi kuna Waislamu!. Hata Yesu alikulia Misri kwa Waarabu!. Ukatili ni ukatili tuu, hauna kabila, ila Waliowafanyia ushenzi wa utumwa kwa babu zetu ndio Waarabu dhalimu!.
Pasco
Kama nikusema Tu, wacha niseme pia wewe huna elimu, na kushindwa kuona tatizo kwa njaa zako kwa Mabasha zako Waarabu/Wahindi, hakuondoi ukweli kuwa jamaa Ni wabaguzi, njaa zako zinakutia upofu!Kwani Ni kosa la jinai kuwa muhindi au Mwarabu?
Nyie msio na Elimu ndio mtakao tuletea balaa nchi hii.
Ajira zao hao waarabu na Kodi zao mnazipenda lkn Rangi yao ni tatizo kwa njaa kali km wewe.