Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Tofauti ni moja tu, sisi tunasema wazungu na waarabu wote wamewahi kutesa binadamu wenzao and for this case, wametesa watu weusi. Ninyi mnasema hapana ni wazungu tu. Hii si kweli
Hayo maneno umeyatoa wapi sijui angalia kichwa cha habari cha huu uzi au nionyeshe wapi mleta mada kawataja wazungu kama unavyotaka kutuaminisha wewe.
 
Wale watumwa waliopelekwa Uarabuni vizazi vyao viko wapi!!! kwani wale waliopelekwa India mpaka leo wapo na wale waliopelekwa Ulaya, Marekani mpaka Amerika Kusini mpaka leo wapo tena kwa mamilioni and for your information nchi yenye watu wengi weusi(black) kuliko nchi ingine yeyote duniani ni BRAZIL na siyo Congo wala Sudan wala Tanzania. Ni kweli wapo kule ni kwa sababu hawakuhasiwa kama waliopelekwa Mashariki ya Kati. Who is to blame and have they apologized and compensated!
Wewe mtumwa arabuni apelekwe enzi hizo jua kali akafanye nini ? Nani atachukua mzigo aupeleke jangwani ?
Pale oman wakishindia uji wa tende ..bara bara ya lami mpaka 1969 ni kilomita 3 nchi nzima.
Hakuna ardhi ya kulima
Hakuna viwanda
Warabu hao wa oman wakisafiri kuchukua bidhaa kwa majahazi kupeleka kwao.
Hata akili ya kuambiwa tena bila ya kuchanganya na hio ulo pewa basi inakataa kuwa wewe njaa tupu halafu ukununue midume ije kuuza sura kwako..!!!
Hayo ni bangi kuu kabisa mlovutishwa.
Inakubalika Zanzibar ilikua ni soko kuu la watumwa na wakiliendesha wazungu ndo walikua walinzi wa dola.
Pale wakija wazungu na meli zao kununua wengine wakienda europe na wengine USA kupitia Cape of good hope. Ilopewa jina hilo la matumaini mapya baada njia ile ya Afrika Magharibi kuharibika kutokana na resistance ya wenyeji kufanywa watumwa..
Hivo walipo ijua njia hii wakija huku kununua watu kuwapeleka brazil
Usa cuba nk.
Na suala la kwa nini hakuna weusi kule arabuni ..hilo linatikana na ujinga ...hujui mataifa..hujui historia..hujui demographic za warabu wa oman.
Ungefanta utafiti kidogo ungejua kwamba unayo sema ni ujuha mkuu.
Kwa ufupi baada utumwa kupigwa marufuku..wazungu wakihangaika na meli za watumwa kwenye bahari ya hindi....hivo wakawashusha wengine re union
Wengine Somalia
Wengine madagasca
Wengine Salala oman.
Na huku salala wamepokewa na ndo Alwatan pale ....ni wa Oman wenye haki sawa na muoman mwengine...walo jeshini ..wapo kila mahala..hata mama wa mfalme anatikana nao....
Inakubalika walikuwapo watumwa wakiletwa kupanda mikarafuu Znz...lakini la kununua na kuwapeleka Arabuni ni hadithi za kivukoni na maoinduzi daima za pasco
 
Wazungu ndio makuhani wakuu wa utumwa afrika mashariki.
Wao ndio watawala
Wote kuanzia mchungaji Karl peter
Padri Vasco dagama
Padri Betholow Diaz
Na magavana wao walifata baadae ambao walitawala east afrika ndio wasimamizi wakuu wa buashara hii haramu..
Unakubalika wakitumia wahuni wachache wakiarabu kama manamba...kuna Tip tip chotara wa kinya mwezi ambaye asili yake ni machifu wa unyanyembe ndo wakabebeshwa lawama.
Hawa wazungu baada ya kupigwa marufuku biashara hii na Mfalme wa Znz na pia ulaya na amerika kujaa waafrika bila kazi ili kuzitawala nchi hizi za afrika mashariki wakaja na hii gia ya warabu na utumwa.
Wao ndo wakawa wakiloni
Wakazitawala nchi hizi hasa Tanganyika... ujinga huu Kenya wala Uganda hakuna.
Walifanya makusudi ili kuupiga vita uislam na kujarubu kuupaisha ukristo na wao ni wema.
Wakaanzisha shule nyingi za seminari na somo kuu ni hilo.
Hii bangi wakai ngiza vichwani mwao na ika ingia bila kuhoji...ikarithiwa na kina Pasco
Ikaendelewa kusomeshwa kivukoni na mashule na bangi hili bado limewakaa wenyewe hawezi kwenda rehab kwa wazungu wamesha ondoka na tayari wame pata wanaserere wakuwatumikia ....
Lazima mufikiri out of box ili uwe huru..
Kikwete alikwambieni za kuambiwa changanya na za kwako....
 
Hayo maneno umeyatoa wapi sijui angalia kichwa cha habari cha huu uzi au nionyeshe wapi mleta mada kawataja wazungu kama unavyotaka kutuaminisha wewe.

Mimi sizungumzii mtoa mada. Ninachosema, biashara ya utumwa na uonevu wa wazungu, makaburu na wakoloni vinajadiliwa vizuri bila watu kuchukua position za udini tatizo ikija kuhusu uchafu na uonevu wa waarabu hamtaki tuwajadili.

Nani asiyejua kuwa biashara ya utumwa ya Africa Mashariki iliwahusisha vizuri waarabu?
 
Hawa MOD pia wanapendelea Wakristo na wanawadhalilisha Waislamu. Wamefuta posts zote za Waislamu lakini wameacha posts zote za wakristo, hii thread imeanzishwa rasmi na Jamiiforums kuwadhalilisha Waislamu na Waraabu.

Unaona position kama hii uliyonayo ndio zinazodumaza uwezo wa akili kuangalia mambo kwa macho mawili. Watu wanajadili uchafu wa biashara ya utumwa na mchango wa waarabu katika kutesa waafrica, wewe unaleta issue za kudhalilishana.

Ukweli utasemwa tu kuwa waarabu walitesa watu wetu, tena sana wakati wa utumwa, kama jamii nyingine hususani wazungu walivyotesa watu wengi. Huu ukweli hauwezi kufutika
 
Hawa wakristo wanaposema mwaraabu, wanamaanisha Waislamu (lakini wanaficha tu).

Nawashauri Waislamu waamke wasikubali kunyanyaswa na kudhalilishwa.

Pia wewe Pasco naona umesahau kwamba kuna watanzania wengi sana hapa Tanzania wenye asali ya Kiarabu wanaishi na sisi Waafrika kwa usalama kabisa (huna haki kuumiza hisia zao kwa makala yako haya ya uongo).

Wewe Pasco muogopi Mungu wako wewe, Mungu anasikia na anaona yote unayoyatenda, lazima tu utahukumiwa na utaona cha mtema kuni mbele ya mahakama ya Mwenyezi Mungu, usipo tubu na kusahihisha uwongo wako huu, adhabu ya jahanam inakungoja.

Ameen.

Jadili hoja, achana na mambo ya kutisha watu. Ni vizuri ukatambua kuwa mleta mada ametaka kuonyesha mchango wa waarabu katika kutesa waafrica. Ya wazungu tunayajua pia, ndio wakoloni, makaburu na mabeberu. Na ya waarabu tutayajadili tu hata kama hamtaki. Uchafu ni uchafu tu, dhambi ni dhambi tu ifanywe na mzungu, mswahili, mwarabu, mkristo, mwislamu au asiye na dini. Hii ndio position yangu mimi. Ninyi ambao hamtaki uchafu wa jamii moja usijulikane au kujadiliwa ndio wadini na wabaguzi
 
Wazungu ndio makuhani wakuu wa utumwa afrika mashariki.
Wao ndio watawala
Wote kuanzia mchungaji Karl peter
Padri Vasco dagama
Padri Betholow Diaz
Na magavana wao walifata baadae ambao walitawala east afrika ndio wasimamizi wakuu wa buashara hii haramu..
Unakubalika wakitumia wahuni wachache wakiarabu kama manamba...kuna Tip tip chotara wa kinya mwezi ambaye asili yake ni machifu wa unyanyembe ndo wakabebeshwa lawama.
Hawa wazungu baada ya kupigwa marufuku biashara hii na Mfalme wa Znz na pia ulaya na amerika kujaa waafrika bila kazi ili kuzitawala nchi hizi za afrika mashariki wakaja na hii gia ya warabu na utumwa.
Wao ndo wakawa wakiloni
Wakazitawala nchi hizi hasa Tanganyika... ujinga huu Kenya wala Uganda hakuna.
Walifanya makusudi ili kuupiga vita uislam na kujarubu kuupaisha ukristo na wao ni wema.
Wakaanzisha shule nyingi za seminari na somo kuu ni hilo.
Hii bangi wakai ngiza vichwani mwao na ika ingia bila kuhoji...ikarithiwa na kina Pasco
Ikaendelewa kusomeshwa kivukoni na mashule na bangi hili bado limewakaa wenyewe hawezi kwenda rehab kwa wazungu wamesha ondoka na tayari wame pata wanaserere wakuwatumikia ....
Lazima mufikiri out of box ili uwe huru..
Kikwete alikwambieni za kuambiwa changanya na za kwako....

Hoja zako ni kweli kwamba biashara ya utumwa duniani wasimamizi na wanufaika wake wakuu ni wazungu. Hata hivyo ni vizuri ukajua kuwa biashara ya utumwa ktk pwani ya Afrika Mashariki ilianza tangu karibu karne ya 7 hivi ambapo ni waarabu pekee ndio walikuwa wanaiendesha. Mzungu hakuwepo hapa

Lakini vyovyote iwavyo wote wazungu na waarabu kwa nyakati tofauti na staili tofauti wametesa waafriKa wengi kupitia biashara ya utumwa. Hii ndio position sahihi. Ni position chungu lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu, tusidanganyane na kufariajiana
 
Waovu wako katika kila kabila, dini, lugha, jamii kadhalika na wema pia. Dhambi haiogopi dini, kabila, taifa, lugha, jamii, elimu, etc. Kila mtu anakemea ubaguzi wa rangi USA, Ulaya, n.k. Lakini tukianza issue za Waarabu watu hawataki kusikia. HII SIO DOUBLE STANDARDS KWELI HII?

Ubaya wa wazungu, ni sawa kujadilika, ubaya wa makaburu ni sawa kujadilika, kwa nini tatizo kujadili ubaya wa waarabu hadi muanze kuwa-implicate MODs kuwa wadini? Mnaogopa nini?
 
L
Hoja ya Pasco ilitegemea sana report ya commissioner Donald Mackenzie iliotolewa London mwaka 1895.

A report on slavery and slave trade in Zanzibar, Pemba.

Ambayo ilitayarishawa na The British and Sovereign Ant-Slave Society.

Ukweli wa Mambo.

Ikiwa kweli kisingizio cha mavamizi ya Zanzibar ni utumwa basi utumwa ulikuwepo nchi zote duniani, si Zanzibar tu.

Waliofanya biashara za utumwa ni watu wa kabila zote na dini zote, hata Wapagani wa kiafirika.

Lakini waliotia fora kwa ukatili na ukhabithi mkubwa katika biashara ya utumwa ni mataifa ya kizungu na khasa Waingezera na Wamarekani.

Leo wana uso wa kujigamba na kujidai kama eti wao ndio walio ondosha utumwa?

Ushahidi.

1. Sayyid Said bin Sultan alipiga marufuku biashara ya watumwa baina ya mamlaka zake na mataifa yote ya kikristo mwaka 1822.

2. Pia alizuwia kusafirisha watumwa kutoka Afrika kwenda Oman katika mwaka 1845.

3. Sayyid Barghash alipiga marufuku biashara ya watumwa katika mwaka 1872 na akalifunga soko la watumwa lililokuwepo Mkunazini, Zanzibar.

4. Dola za kizungu zilipiga marufuku biashara ya watumwa kwa hiyo inayoitwa Brussels Act katika mwaka 1890 (yaani Zanzibar iliutangulia ulimwengu mzima kwa miaka kumi na nane (18) katika kupiga marufuku biashara ya watumwa)

5. Sayyid Hamoud ambaye pia nae alikuwa Sultan wa Zanzibar alipiga marufuku kabisa utumwa wenyewe katika mwaka 1897 (yaani mwaka huo hapakuwa na mtu yeyote mtumwa katika mamlaka ya Zanzibar).

6. Waingereza walipiga marufuku utumwa Kenya mwaka 1912 (yaani miaka miaka 15 baada ya Zanzibar).

Katika Tanganyika Wajerumani waliendelea na utumwa kwa muda wote waliotawala na baada ya hapo Waingereza waliendeleza utumwa katika Tanganyika mpaka mwaka 1920 (yaani kwa muda wa miaka 23 baada ya Zanzibar).

Huu ndugu zangu ndio ukweli.

Utumwa khasa ulifanywa na wazungu sio waarabu.

Mwisho:

Katika nchi yetu ya Zanzibar sasa tumebaki Na Ukoloni mweusi kutoka Tanganyika licha ya kuwa tunajinata Na kujigamba kwamba tumejikomboa ili tujitawale, lakini hao wanaoripokwa haya inaonekana wazi kwamba wamelevya Na maslahi yao binafsi Na wengine pangu pakavu tia mchuzi hawana kazi hawana bazi wao ni bendera ipepee tu japo wale dongo.

Umeamua kutetea waarabu,et utumwa ulifanywa haswa na wazungu hahhahaha East Africa wazungu hawakuja kuchukua watumwa hapo ni waarabu baba hutaki achaa kasome acha uvivu
 
Wewe mtumwa arabuni apelekwe enzi hizo jua kali akafanye nini ? Nani atachukua mzigo aupeleke jangwani ?
Pale oman wakishindia uji wa tende ..bara bara ya lami mpaka 1969 ni kilomita 3 nchi nzima.
Hakuna ardhi ya kulima
Hakuna viwanda
Warabu hao wa oman wakisafiri kuchukua bidhaa kwa majahazi kupeleka kwao.
Hata akili ya kuambiwa tena bila ya kuchanganya na hio ulo pewa basi inakataa kuwa wewe njaa tupu halafu ukununue midume ije kuuza sura kwako..!!!
Hayo ni bangi kuu kabisa mlovutishwa.
Inakubalika Zanzibar ilikua ni soko kuu la watumwa na wakiliendesha wazungu ndo walikua walinzi wa dola.
Pale wakija wazungu na meli zao kununua wengine wakienda europe na wengine USA kupitia Cape of good hope. Ilopewa jina hilo la matumaini mapya baada njia ile ya Afrika Magharibi kuharibika kutokana na resistance ya wenyeji kufanywa watumwa..
Hivo walipo ijua njia hii wakija huku kununua watu kuwapeleka brazil
Usa cuba nk.
Na suala la kwa nini hakuna weusi kule arabuni ..hilo linatikana na ujinga ...hujui mataifa..hujui historia..hujui demographic za warabu wa oman.
Ungefanta utafiti kidogo ungejua kwamba unayo sema ni ujuha mkuu.
Kwa ufupi baada utumwa kupigwa marufuku..wazungu wakihangaika na meli za watumwa kwenye bahari ya hindi....hivo wakawashusha wengine re union
Wengine Somalia
Wengine madagasca
Wengine Salala oman.
Na huku salala wamepokewa na ndo Alwatan pale ....ni wa Oman wenye haki sawa na muoman mwengine...walo jeshini ..wapo kila mahala..hata mama wa mfalme anatikana nao....
Inakubalika walikuwapo watumwa wakiletwa kupanda mikarafuu Znz...lakini la kununua na kuwapeleka Arabuni ni hadithi za kivukoni na maoinduzi daima za pasco
Soma kuhusu zanji slave rebellion kule mjini basra(iraq) alafu utaelewa kila mjadala sio lazma uchangie kama la kusema bora ukae kimya
 
Mkuu Pasco waweza kunisaidia Yesu aliongea kiarabu kwa usahidi?
Mkuu Ilani, Yesu baada tuu ya kuzaliwa Bethlehemu, baada ya kutimiza 40, alikwenda kuishi Misri na kurejea kidogo Israel alipokuwa na miaka 12, kisha akarejea Misri hadi akiwa na umri wa miaka 30!. Misri ni nchi ya Kiarabu na ina lugha moja tuu, Kiarabu!. Hivyo it is a common sense mtu aliyeishi Misri kwa miaka 30, alizungumza lugha gani!.

Na pia kuwasaidia wasio jua, Yesu alivaa kanzu na kilemba kama wavaavyo Waarabu!, Wakistu wa kwanza wote walivaa kanzu na wanawake hijab!. Kanisa la kwanza limeanzia Arabuni, katika jiji la Constinapole!. Ndipo utawala wa Kirumi ukavamia na kuvunja hekalu hilo na kupora kila kitu na kuhamishia Vatican!, hivyo Vatican imenjengwa on a loot!.

Tukizungumzia ukatili wa binadamu, Warumi ndio walioongoza kwa ukatili na walikuwa na kikosi maalum cha mauaji kwa mateso, ikiwemo michezo kama ya gladiators, au kutupwa kwenye tundu la simba wenye njaa na kushangilia jinsi binadamu anavyorrauliwa etc!.

Mada yangu ni ukatili wa Waarabu kwenye biashara ya utumwa wa Unguja na Pemba na sio dini!. Kwa vile toka mwanzo niliweka angalizo la uwepo baadhi yetu ambao ni mufilisi, baadhi ya michango humu imenifundisha kuwa kumbe jf tunao members mufilisi wengi zaidi kuliko tulivyodhania!.

Mimi Kitu pekee ninachoweza kuwaambia ni Mwarabu ni mtu, na sio dini!. Uislamu ni imani na sio Uarabu!.

Ila nakiri kuna tatizo kubwa la inferiority complex miongoni mwa baadhi ya Waislamu humu kujishutukia, likisemwa baya lolote la Waarabu, kwao wanaona kama ni Iislamu ndio unabezwa!.

Mimi ni Mkristo Mkatoliki, nimeanzisha mada chungu nzima kuwabeza wazungu na hata kupingana na kanisa langu Katoliki, lakini sikuona watu wakitukana!. Kutukana na lugha za machukizo ni dalili ya kufilisika kihoja!.

Mimi ni Mkristo Mkatoliki lakini ninaikubali mahakama ya kadhi na nimeitetea sana humu!. Waislamu, kanisomeni
Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu

Pasco
 
Pasco acha tu Waraabu wahuni walifanya biashara hio..lakini wahuni hao walikua ni madalali wa wazungu.

Lakini hawa wazungu wacha tu..usiombe haya yarudi..jamaa hawana msalie mtume hawa...na ndo pale tunaposema masultani hawakuua mtu wala kutesa raia wao..ushahidi haupo lakini hawa wazungu mhh pooo uhadithiwe tu....Ushahidi kamili wa mateso mauaji na sexually harassment. waraabu walitumwa wakatumika then wazungu wakajenga shule kutia sumu kuwa wao ni clean....Gadhafi aliwahi kupendekeza AU Meeting ..Tufungue madai ya ukoloni kwa wazungu...watulipe fidia...tufungue madai mahakama ya kimataifa....Waafrika wale ndio wale walopata elimu ya muzungu...utumwa kafanya mwarabu..khaa mpaka kinyaaa wallah...Ghadafi akawambia sawa tuanze hawa kwanza italeta precedent kwa wengine wote kwani hawa ushahidi upo wazi bila ya nguo....wasomi wale wa elimu ya mkoloni wakapingana ..ushauri ule ukafa mpaka kesho.
Ghadafi mwanaume wa shoka akapeleka madai rasmi Italy kudai fidia ....wataliano wanaona ushahidi upo wazi..wakasema tuyamalize nje ya mahakama ..Wataliano wakalipa fidia na kuomba radhi watu wa Libya...

Sasa nasema wazungu kwenye haya bado...hawa tuwasikie tu..bado hata leo hawajakoma kwani tunawalea.....hebu tuone kidogo sinema zao..kwa picha halisi sio vikatuni vya Pasco ..ushahidi kabisa..na wala huwezi kuonapicha ya mwarabu akimtundika slave na kumchoma moto...tujionee

aa7e7a5df48c5e9d10f72bb4d850c589.jpg
BELGIUM HANG CONGOLESE.jpg
bhm1-g1.jpg
aa7e7a5df48c5e9d10f72bb4d850c589.jpg
BELGIUM HANG CONGOLESE.jpg
bhm1-g1.jpg
images.jpg
lynch_3.jpg
lynching.jpg
lynch-NakedAfrican.without-sanctuary.org_.jpg
aa7e7a5df48c5e9d10f72bb4d850c589.jpg
BELGIUM HANG CONGOLESE.jpg
lynching.jpg
lynching0.jpg
lynch_3.jpg
images.jpg
bhm1-g1.jpg
BELGIUM HANG CONGOLESE.jpg
aa7e7a5df48c5e9d10f72bb4d850c589.jpg
USAlynching2.jpg
whipping3.jpg

Huko Kwa Muzungu wakiwatangaza kama wanauza njugu wallah...

11746uu_0_preview.jpg
ad1840zz.jpg
NW0303.JPG
sold slaves.jpg

Na ole wako Upite kwa Muzungu..utakiona kiama...
No japs sign.JPG

sasa toroka kwa bwana muzungu....utatafuftwa na upigwe tu..utapigwa tu...

slave-broadside.jpg

Tutakaa humu kubishana ...huyu anamtetea huyu na yule anamtetea yule ni ujinga...Utumwa ni ushenzi na manyanyaso makuu kufanyiwa binadamu..kama kafanya mwarabu kama kafanya muzungu...tuache ushabiki wa kidini kuwa dini fulani ndio imeamrisha..wazungu werevu wamekusomesheni wenyewe hii historia na wakaweka ujinga huu wa dini ...ili kuwagawa na wao wawe malaika....tujitambue kidogo angalau kwa ushahidi uliopo kuweza kuja kuomba fidia kwa madhila haya..lakini huwezi kuja kudai ati waislam uislam umefanya haya wakati uislam umekataza kabisa haya mambo ya utumwa na kuweka wazi kuwa binadamu wote ni sawa bila ya kujali rangi au kabila...
 
Attachments

  • Lynched.jpg
    Lynched.jpg
    19.1 KB · Views: 79
  • lynching-3.jpg
    lynching-3.jpg
    54.4 KB · Views: 71
  • slave_burned-1024x615.jpg
    slave_burned-1024x615.jpg
    42.9 KB · Views: 85
  • southern-lynching_1937.jpg
    southern-lynching_1937.jpg
    24.6 KB · Views: 115
Kwni kutafuta historia ya kweli ni rahisi kama tutakuwa na nia, , muheshimiwa Lisu aliuliza bungeni nani alimuuwa Hanga? Wacha Hanga sio peke yake, , kuna Othman Sharif, , Ndungi Usi, Twala, , Aziz na wengi wengineo walifungwa na kuteswa na kupotezwa, , je hao waliteswa na waarabu ?? Kumbe je mwaka ganimfalme apiga marufuku utumwa zanzibar? MuNaujua? Picha ya kufagia barabara kwa machuchu ya mabibi zetu apo sijaiyona na kupasuliwa matumbo kwa mabibi zetu eti mfalme aone mtoto tumboni anakaa vp? Naomba izo picha ata kama za kuchora plz.
 
Hivi mreno ni mwarabu mjerumani ni mwarabu mwingereza ni mwarabu mbona waliua saana babu zetu hizi ni history za chuki na wazungu walificha ushahidi wa vitendo vyap na je mashujaa wa songea walinyongwa na warabu vita vya maji maji ni waaarabu na waarabu walifanya biashara ya utumwa je unamjua mteja mkubwa wa watumwa si mzungu ww unaweza kuniambia visiwa vya cuba jamaica haiti wale weusi wametoka wap
 
Maneno kintuuu.watu tunaruhusu imani za kidini kucloud our thinking.
 
Mkuu Ilani, Yesu baada tuu ya kuzaliwa Bethlehemu, baada ya kutimiza 40, alikwenda kuishi Misri na kurejea kidogo Israel alipokuwa na miaka 12, kisha akarejea Misri hadi akiwa na umri wa miaka 30!. Misri ni nchi ya Kiarabu na ina lugha moja tuu, Kiarabu!. Hivyo it is a common sense mtu aliyeishi Misri kwa miaka 30, alizungumza lugha gani!.

Na pia kuwasaidia wasio jua, Yesu alivaa kanzu na kilemba kama wavaavyo Waarabu!, Wakistu wa kwanza wote walivaa kanzu na wanawake hijab!. Kanisa la kwanza limeanzia Arabuni, katika jiji la Constinapole!. Ndipo utawala wa Kirumi ukavamia na kuvunja hekalu hilo na kupora kila kitu na kuhamishia Vatican!, hivyo Vatican imenjengwa on a loot!.

Tukizungumzia ukatili wa binadamu, Warumi ndio walioongoza kwa ukatili na walikuwa na kikosi maalum cha mauaji kwa mateso, ikiwemo michezo kama ya gladiators, au kutupwa kwenye tundu la simba wenye njaa na kushangilia jinsi binadamu anavyorrauliwa etc!.

Mada yangu ni ukatili wa Waarabu kwenye biashara ya utumwa wa Unguja na Pemba na sio dini!. Kwa vile toka mwanzo niliweka angalizo la uwepo baadhi yetu ambao ni mufilisi, baadhi ya michango humu imenifundisha kuwa kumbe jf tunao members mufilisi wengi zaidi kuliko tulivyodhania!.

Mimi Kitu pekee ninachoweza kuwaambia ni Mwarabu ni mtu, na sio dini!. Uislamu ni imani na sio Uarabu!.

Ila nakiri kuna tatizo kubwa la inferiority complex miongoni mwa baadhi ya Waislamu humu kujishutukia, likisemwa baya lolote la Waarabu, kwao wanaona kama ni Iislamu ndio unabezwa!.

Mimi ni Mkristo Mkatoliki, nimeanzisha mada chungu nzima kuwabeza wazungu na hata kupingana na kanisa langu Katoliki, lakini sikuona watu wakitukana!. Kutukana na lugha za machukizo ni dalili ya kufilisika kihoja!.

Mimi ni Mkristo Mkatoliki lakini ninaikubali mahakama ya kadhi na nimeitetea sana humu!. Waislamu, kanisomeni
Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu

Pasco
Mwarabu ni mnyama sana.
 
Waarabu wema wapo!. Sii wengi wanaojua kuwa hata Arabuni kuna Wakistu!. Na kwenye Wayahudi kuna Waislamu!. Hata Yesu alikulia Misri kwa Waarabu!. Ukatili ni ukatili tuu, hauna kabila, ila Waliowafanyia ushenzi wa utumwa kwa babu zetu ndio Waarabu dhalimu!.

Pasco
nadhani Pasco kama si kipofu basi ni makengezaNrejea kukueleza kuwa utumwa wa hao babu zako haukufanywa na waarabu dhalimu, lakini hata watanganyika dhalimu. Tena watanganyika ndio walikuwa madhalimu zaidi kwa jinsi ya njia wanaotumia kuwakamata na kuwahifadhi. Ujue pia hao wanunuzi walikuwa hawanunui watumwa dhoofu, hivyo hutunzwa na kupewa lishe ili wapate soko bora.. Hakuna chifu Tanganyika wakati huo ambae hajajishughulisha na biashara ya utumwa. Nimekueleza TIPTIP ni mnyamwezi na ana udugu wa damu na chifu Fundikira. Bora useme wale wote waliowanyia ushenzi wa utumwa babu zako ndio wadhalimu
 
Kwani Ni kosa la jinai kuwa muhindi au Mwarabu?
Nyie msio na Elimu ndio mtakao tuletea balaa nchi hii.
Ajira zao hao waarabu na Kodi zao mnazipenda lkn Rangi yao ni tatizo kwa njaa kali km wewe.
Kama nikusema Tu, wacha niseme pia wewe huna elimu, na kushindwa kuona tatizo kwa njaa zako kwa Mabasha zako Waarabu/Wahindi, hakuondoi ukweli kuwa jamaa Ni wabaguzi, njaa zako zinakutia upofu!
 
Back
Top Bottom