Mkuu naomba nikurekebishe kwenye modern slavery wahabeshi,wasomali na sudan wenye light skini hawakupelekwa utumwani naomba kutoa hoja
Jisome hapo juu kisha Uone nani kati yangu na wewe asietambua anachoandika.Sikatai hoja yako ili umeipeleka kale mno ndio mana nimesema modern slavery sasa kama ni ya kale hata Genghis Khan aliwakamata waasia wakiwemo warabu na waturuki na kuwapeleka Mongolia utumwani
Hizi Formula za watu wasio na elimu Pasco.Kuna makabila ni majembe kazi, watu wa makabila hayo ni wagumu, wachapakazi kutokana na kula vitu vigumu vigumu kama ugali maharage, mihogo, magimbi. Makabila nyanya ni makabila laini laini, watu wake wako legelege kutokana na kula vitu laini laini, kama tende, halua, chips, wali, urojo, chapati maji, visheti etc.
Pasco
Hahahahhaha mbavu zangu zinapasuka kwa kucheka.Hizi Formula za watu wasio na elimu Pasco.
Ntakupa mfano wa nadharia manake Kiwango chako cha ufahamu ni kidogo mno.
Chukua mfano wa Mnyama mkubwa Na mwenye Nguvu ktk Ulimwengu wetu.
Huyu anaitwa TEMBO. Huyu mnyama Hali NYAMA wala Maharage Wala Ugali bali anakula majani Laini tu.
Na wakati Huo huo wanyama Dhaifu km PAKA Wao wanakula Vyakula vigumu vigumu tu.
Sasa sijui Hii theory umetoa Kwenye Kilabuni cha pombe za Kienyeji?
Pili.
ALL Scientific research zinazohusiana na Nutritions hakuna Hatta moja iliohitimisha Kuwa Chakula KIGUMU Ndicho kiletacho Nguvu ktk MIILI YA WANYAMA (Mamals) km wewe na mimi.
Tatu.
Nakupa Proven researches za hivyo ulivyoandika hapo Juu kisha Uone ktk Hivyo vyakula uluvyotaja (Vya Kwanza) Kati ya UGALI na TENDE ni kipi Chakula Bora na chenye MANUFAA ktk MWILI WA BINAADAMU.
Naanza na UGALI wa Unga ww Mahindi ambao nyie wanyamwezi Ndio mnajidanganya kila mara ati unaleta Nguvu.
Corn starch
cornflour or maize starch or maize is the starch derived from the corn grain.
Nutrition Facts
Amount Per 100 grams1 cup (128 g)100 grams
Calories 381
Total Fat 0.1 g0%
Saturated fat 0 g0%
Polyunsaturated fat 0 gMonounsaturated fat 0 gCholesterol 0 mg0%
Sodium 9 mg0%
Potassium 3 mg0%
Total Carbohydrate 91 g30%
Dietary fiber 0.9 g3%
Sugar 0 g
Protein 0.3 g0%
Vitamin A. 0%
Vitamin C. 0%
Calcium. 0%
Iron. 2%
Vitamin D. 0%
Vitamin B - 60%
Vitamin B- 120%
Magnesium 0%
Umeona Balaa hio? Hapo ni kujitafutia bawasiri tu kutokana na Choo kigumu na hakuna ziada.
Sasa Twende Kwenye so called Chakula Laini.
TENDE.(Dates)
Hapa inabidi Nikudadavulie kidogo manake Number without explanation zitakupa tabu sana mtu wa namna yako.
nutritional data based on a 100g serving of the fruit.
Fresh dates compose of soft, easily digestible flesh and simple sugars like fructose and dextrose. 100 g of dates hold 277 calories. When eaten, they replenish energy and revitalize the body instantly. For these qualities, they are being served to break the fast during Ramadan month since ancient times.
The fruit is rich in dietary fiber,which prevents LDL cholesterol absorption in the gut. Additionally, the fiber works as a bulk laxative. It, thus, helps to protect the colon mucous membrane from cancer-causing chemicals binding to it in the colon.
They contain health benefiting flavonoid polyphenolic antioxidants known as tannins. Tannins are known to possess anti-infective, anti-inflammatory, and anti-hemorrhagic (prevent easy bleeding tendencies) properties.
They are moderate sources ofvitamin-A (contains 149 IU per 100 g), which is known to have antioxidant properties and essential for vision. Additionally, it is also required maintaining healthy mucus membranes and skin. Consumption of natural fruits rich in vitamin A is known to help protect from lung and oral cavity cancers.
They compose antioxidant flavonoids such as ß-carotene, lutein, and zea-xanthin. These antioxidants found to have the ability to protect cells and other structures in the body from harmful effects of oxygen-free radicals. Thus, eating dates found to offer some protection from colon, prostate, breast, endometrial, lung, and pancreatic cancers.
Zea-xanthin is an important dietary carotenoid that selectively absorbed into the retinal macula lutea, where it thought to provide antioxidant and protective light-filtering functions. It thus offers protection against age-related macular degeneration, especially in elderly populations.
Dates are an excellent source ofiron, carry 0.90 mg/100 g of fruits (about 11% of RDI). Iron, being a component of hemoglobin inside the red blood cells, determines the oxygen-carrying capacity of the blood.
Further, they are an excellent sources of potassium. 100 g contains 696 mg or 16% of daily-recommended levels of this electrolyte. Potassium is an important component of cell and body fluids that help regulate heart rate and blood pressure. They, thus, offers protection against stroke and coronary heart diseases.
Date fruits are also rich in minerals like calcium, manganese, copper, and magnesium. Calcium is an important mineral that is an essential constituent of bone and teeth, and required by the body for muscle contraction, blood clotting, and nerve impulse conduction. Manganese is used by the body as a co-factor for the antioxidant enzyme, superoxide dismutase. Copper is required for the production of red blood cells. Magnesium is essential for bone growth.
Further, the fruit has moderate levels of B-complex group of vitamins as well as vitamin K. It contains very good amounts ofpyridoxine (vitamin B-6), niacin, pantothenic acid, and riboflavin. These vitamins are acting as cofactors help body metabolize carbohydrates, protein, and fats. Vitamin K is essential for many coagulant factors in the blood as well as in bone metabolism.
Sasa umeona matatizo ya kutokuwa na Elimu?
Unapoandika upuuzi km huu unavunja heshima yako na kuonekana Mhuni tu km wahuni wengine wasio jitambua.
Mkuu hamna ushahidi wa wenyeji kuenda Oman kuomba msaada et kwa wenzao toka lini sisi waaafrica nyie waarabu mkawa wenzetu? Kamma however ni watawala wa city states za pwani walioomba uma wa waislam kuwasaidia kupambana na wareno,na aliengoza jahazi ni Mir Ali Bey ambaye ni mturuki na sio mwarabu
Mkuu Rariki, mada yangu kwenye uzii huu ni kuhusu documenti hii A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ...inayozungumzia watumwa wa Unguja na Pemba, sasa kama wewe una isshue na watumwa wa Amerika, anzisha tuu uzi wake, tutajadili!. Kitu nilichokiona humu ni kitu kinachoitwa escapisim na kutafuta scapegoat!.Natamani uelezee na wale waliioko America walipelekwa na nani
Thank you bro, for this useful post.Hii ni hatari, nilidhani una makengeza pekee lakini natongo pia. Hiyo historia iliosema Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika iliomeguka umeisoma Kisonge au Lumumba. Basi na mie nakwambia Tanganyika ni sehemu ya Zanzibar kwa kuitawala kwa karne mpaka akaja mjerumani kukomboeni
Waliomkaribisha mwarabu kuja kuuondoa utawala dhalimu wa kireno ni jopo la maulamaa ( masheikh) kutoka Zanzibar( Mafia, Kilwa,Mombasa, Pemba) waliosafiri kwenda Oman kuwaomba ndugu zao katika imaan, kuja kuwasaidia kuondoa dhulma na fitina ya wareno ambayo ilishanza kuota mizizi.
Nakumbuka mwaka 1974 wakati wa utawala wa Alhaj Jumbem kwenye uwanja wa Amani, Mwl. Nyerere katika hotuba zake za " kisungura" alipoitaka Zanzibar kuchangia shughuli za Muungano si kwa ukubwa la eneo lake lakini kwa mujibu wa ustawi wa Uchumi wake.Huko nyuma Karume alikuwa kagoma kutoa senti kuipa Tanganyika, akilipiza kisasi kuwa Benki ya Tanzania kuilazimisha Zanzibar kununua pesa za madafu za Tanzania kwa fedha za kigeni.
Tanganyika uliuporomosha uchumi wa Zanzibar kutoka kisiwa tajiri kuwa ombaomba. Mafuta yetu mnayakodolea macho. Watu 1.5 Million na rasilmali tuliokuwa nazo ni rahisi kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika. Lakini hili linawezekana tu tukiwa na Mamlaka kamili ya nchi yetu.
Kweli kabisa, hawa wanasiasa wana tunga historia ya uongo ili waaendelee kuitawala Zanzibar.Hauna hoja yoyote ni ubaguzi tu,mbona watanzania wingi wanauwa,wanafungwa na kufanyiwa madhira mengi ya kutisha chini ya utawala wa CCM? Na bado mnachukua nchi,udharimu hauna rangi wala dini wala kabila,udharimu ni udharimu tuu,kwani aliyeua wazanzibar 2000 ni Sultan???acha unafki
Hakuna mtu anajaribu Kuhalalisha Ubaya hapa . Tunachofanya ni kujaribu kumuelimisha Pasco Vitu ambavyo hana ujuzi navyo.Akili za kawaida zishatolewa na kuwekewa kinyesi kichwani. Dini zimeshawafanya mataahira hamjitambui wala hamtaki kuifagamu historia yenu. Baya la Mwarabu linahalalishwa na baya la Mzungu....pumbavuuuuuuuu
Kila mtu anajua Mwarabu Zanzibar sio kwao?...
Wewe Mkuu Mandago hapo ulipo bado ni mjinga tuu!, najaribu kukuelimisha tena kama utaelimika!.
Historia ni rlimu ya mambo yaliyopita, kuyahusiana na haya yanayotokea sasa, ili kujua mambo yajayo!.
Hivyo hii historia ya Waarabu wa Zanzibar, ina uhusiano na Waarabu waliotimuliwa na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na kuna uhusiano wa moja kwa moja, kwa nini fulani anashinda uchaguzi, lakini hatangazwi, na hapewi!.
1. Kila mtu anajua Mwarabu Zanzibar sio kwao!. Mwarabu kwao asili ni Arabuni.
2. Alikaribishwa Zanzibar na Mwinyi Mkuu ili kuwapatia ulinzi wasivamiwe na Wareno.
3. Hivyo Mwarabu aliombwa kuja Zanzibar ila hakuna ajuaye makubaliona na Mwinyi Mkuu yalikuwa kama ni kuja kutawala milele au hatari ya uvamizi ikiisha, arejee kwao Arabuni!. Hivyo uwepo wa Waarabu Zanzibar ni uwepo kwa haki na halali!
4. Ndipo nikaweka huenda kulikuwa na makubaliano fulani, huenda ndugu wa Mwinyimkuu walimfuata Mwarabu kuvitaka visiwa vyao!. Who knows?!......
Pasco
Baba Kiki,Nukuu hii nimeitoa kwenye Wikipedia, hebu tuitumie wakati tunaendelea kujadili unyama uliofanywa na Waarabu katika biashara ya Utumwa ya Afrika Mashariki na Kati.
David Livingstone wrote of the slave trade in the African Great Lakes region, which he visited in the mid-nineteenth century: "To overdraw its evils is a simple impossibility ... We passed a slave woman shot or stabbed through the body and lying on the path. [Onlookers] said an Arab who passed early that morning had done it in anger at losing the price he had given for her, because she was unable to walk any longer. We passed a woman tied by the neck to a tree and dead ... We came upon a man dead from starvation ... The strangest disease I have seen in this country seems really to be broken heartedness, and it attacks free men who have been captured and made slaves."[68] [69] Livingstone estimated that 80,000 Africans died each year before ever reaching the slave markets of Zanzibar.[33][34][70][71]Zanzibar was once East Africa's main slave-trading port, and under Omani Arabs in the 19th century as many as 50,000 slaves were passing through the city each year.[72]
Livingstone wrote in a letter to the editor of the New York Herald:
And if my disclosures regarding the terrible Ujijian slavery should lead to the suppression of the East Coast slave trade, I shall regard that as a greater matter by far than the discovery of all the Nile sources together.[73]
Meli ya Wazungu tena walienda kwa heiri yao (walienda kama wahamiaji, sio kama watumwa).
Baba Kiki,
Dunia ni katili sana na hakika kuna mambo mabaya yalotendeka yanatia
simanzi kubwa.
Lakini ukiwa unataka kuchangia mambo kama haya vyema unatakiwa kwa
kiasi na wewe uwe mjuzi.
Uwe umeisoma vizuri historia ya dunia.
Hebu soma hii kisha linganisha:
My Lai Massacre
From Wikipedia, the free encyclopedia
This article is about the massacre. For the hamlet called Mỹ Lai, see Sơn Mỹ. For the documentary, see My Lai (film).
Mỹ Lai Massacre
Thảm sát Mỹ Lai
Location Son My village, Sơn Tịnh Districtof South Vietnam
Coordinates15°10′42″N 108°52′10″ECoordinates: 15°10′42″N 108°52′10″E
Date March 16, 1968
Target My Lai 4 and My Khe 4 hamlets
Attack type
Massacre
Deaths 347 according to the United States Army (not including My Khe killings), others estimate more than 400 killed and injuries are unknown, Vietnamese government lists 504 killed in total from both My Lai and My Khe
Perpetrators Task force from the United States Army Americal Division
2LT. William Calley (convicted and then released by President Nixon to serve house arrest for two years)
[hide]
Massacres of theVietnam War
The Mỹ Lai Massacre (Vietnamese: thảm sát Mỹ Lai [tʰɐ̃ːm ʂɐ̌ːt mǐˀ lɐːj], [mǐˀlɐːj] (
- Huế
- Châu Đốc
- Bình An/Tây Vinh
- Binh Tai
- Tinh Son
- Bình Hòa
- Phong Nhị and Phong Nhất
- Hà My
- Đắk Sơn
- My Lai
listen); /ˌmiːˈlaɪ/, /ˌmiːˈleɪ/, or /ˌmaɪˈlaɪ/)[1] was theVietnam War mass killing of between 347 and 504 unarmed civilians in South Vietnam on March 16, 1968. It was committed by U.S. Army soldiers from the Company C of the 1st Battalion, 20th Infantry Regiment, 11th Brigade of the 23rd (Americal) Infantry Division. Victims included men, women, children, and infants. Some of the women were gang-raped and their bodies mutilated.[2][3] Twenty-six soldiers were charged with criminal offenses, but only Lieutenant William Calley Jr., a platoon leader in C Company, was convicted. Found guilty of killing 22 villagers, he was originally given a life sentence, but served only three and a half years under house arrest.
The massacre, which was later called "the most shocking episode of the Vietnam War",[4] took place in two hamlets of Sơn Mỹ village in Quảng Ngãi Province.[5] These hamlets were marked on the U.S. Army topographic maps as My Lai and My Khe.[6] The U.S. military codeword for the alleged Viet Cong stronghold in that area was Pinkville,[7] and the carnage was initially referred to as thePinkville Massacre.[8][9] Later, when the U.S. Army started its investigation, the media changed it to the Massacre at Songmy.[10]Currently, the event is referred to as the My Lai Massacre in the United States and called the Son My Massacre in Vietnam.
The incident prompted global outrage when it became public knowledge in November 1969. The My Lai massacre increased to some extent[11] domestic opposition to the U.S. involvement in the Vietnam War when the scope of killing and cover-up attempts were exposed. Initially, three U.S. servicemen who had tried to halt the massacre and rescue the hiding civilians were shunned, and even denounced as traitors by several U.S. Congressmen, including Mendel Rivers, Chairman of the House Armed Services Committee. Only after thirty years were they recognized and decorated, one posthumously, by the U.S. Army for shielding non-combatants from harm in a war zone.[12]
Baba Kiki,
Ningeweza kukupa mifano mingi sana lakini tuanze na huu wa miaka ya karibu
zaidi kuliko enzi za utumwa.
Tatizo nilionalo hapa jamvini ni kuwa wengi mnachangia wakati hamna ujuzi
wa somo.
Lakini la kusikitisha zaidi ni kuwa hata mnapoelekezwa mnakuwa bongo zenu
mshazifunga kwa hiyo hakuna kipya kinachoweza kupenya.
Baba Kiki,Mkuu, asante kwa taarifa hii.
Nakiri sina ujuzi sana wa vita au mgogoro wa Vietnam na USA kwa hiyo siwezi kukubali au kukataa. Kwa ujumla akili yangu iko tayari sio tu kujifunza lakini pia kukubali uovu uliofanywa na sio tu watu wenye ueleko wa dini yangu lakini hata kama ingehusu wazazi wangu ningesema kweli hapa tulikosea. Kwa kusema hivi narudia tena kwa msisitizo mkubwa kuhusu kweli (facts) zifuatazo;
1. Wazungu walihusika na biashara ya utumwa na hasa katika kile kinachoitwa Trans-Atlantic Slave Trade. Mabaya yote ya biashara hii ya utumwa wazungu na vibaraka wao wanahusika.
2. Waarabu ndio wahusika wakuu wa biashara ya utumwa ya East African Slave Trade. Unyama, unyanyasaji na udhalilishaji na madhila mengine ya biashara hii, wao ndio wahusika wakuu.
Tukubaliane kwanza hapa, maana kuna watu hawataki kukubali hili lakini hawatoi hoja. Kwetu sisi wengine, nyekundu nyekundu, bluu bluu.
Baba Kiki,
Kukubali kitu gani kukataa nini?
Vita Vya Vietnam vilikuwapo na Mauaji ya My Lai yalifanyika.
Si hivyo tu.
Wewe ulinipa rejea Wikipedia mimi nimeikubali.
Nami nikakupa rejea kutoka huko huko.
Tatizo liko wapi?
Mauaji hayo ni miaka mingi baada ya historia ya utumwa.
Sasa nakupa jingine.
Mauaji ya Amritsar 1919.
''On the afternoon of April 13, a crowd of at least 10,000 men, women, and children gathered in an open space known as the Jallianwalla Bagh, which was nearly completely enclosed by walls and had only one exit. It is not clear how many people there were protesters who were defying the ban on public meetings and how many had come to the city from the surrounding region to celebrate Baisakhi, a spring festival. Dyer and his soldiers arrived and sealed off the exit. Without warning, the troops opened fire on the crowd, reportedly shooting hundreds of rounds until they ran out of ammunition. It is not certain how many died in the bloodbath, but, according to one official report, an estimated 379 people were killed, and about 1,200 more were wounded. After they ceased firing, the troops immediately withdrew from the place, leaving behind the dead and wounded.''
Hii ni Encyclopedia Britannica.
Baba Kiki,Wewe kunipa rejea ya Encyclopedia Britannica sio tatizo. Nimeipokea.
Lakini nataka kujua msimamo wako kuhusu biashara ya utumwa ya Afrika Mashariki na Kati. Kuhusika au kutohusika kwa WAARABU ktk biashara hii ovu kabisa.
Waovu ni viongozi wetu wa hapa tz waliosababisha umasikini huu tulionao mpaka leo.Wewe kunipa rejea ya Encyclopedia Britannica sio tatizo. Nimeipokea.
Lakini nataka kujua msimamo wako kuhusu biashara ya utumwa ya Afrika Mashariki na Kati. Kuhusika au kutohusika kwa WAARABU ktk biashara hii ovu kabisa.