Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Ina maana agano la kale limepitwa na wakati?Lkn agano jipya hamna kitu kama hicho ambayo wakristo ndo imani yetu kama wafuasi Wa yesu
We muuliza swali utakuwa na asili ya banyamulenge.Wewe ni moja ya wale waarabu.
Coz mnatumia agano la kale sio. Jino kwa jinoIna maana agano la kale limepitwa na wakati?
Na wapi Yesu alikataza kulitumia?
Mnachagua yale mnayotaka nyie tu lkn mistari inayowabana mnaipiga expire date. Siku ya hukumu mtaenda kueleza vizuri ruksa hii ya kulikana agano la kale mlipewa na nani.
Agano la kale na jipya yote yamo ktk kitabu kimoja.Coz mnatumia agano la kale sio. Jino kwa jino
Kunapigwa risasi Tomondo.Wacha kudanganya uma km ni udhalimu hadi leo watu wa unguja na pemba wanafanyiwa mkoloni nani
Sasa kama we huchagui kwann ukimshika mwanamke anazn humpondi mawe had kufa ,kwann hutoi sadaka ya kuteketeza ,kwann usioe wake wengi kaa daudi!! Acha ukilaza wwAgano la kale na jipya yote yamo ktk kitabu kimoja.
Sasa ni nani aliyewapa Ruksa ya kuchagua agano la kutumia?
Yesu mwenyewe anasema ktk
MATHAYO MLANGO 5:17-19
17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
Sasa km Agano linasema Jino kwa jino basi na ndivyo mfuasi yyt wa Yesu anatakiwa Kufanya hivyo hivyo.
Someni maandiko km yalivyo.
Sio kwenda tu makanisani na kusomewa mistari ya kutoa sadaka tu mkaridhirika na hio peke yake.
Maneno yako ni ya mrengo wa kushoto.
Hatukatai ht utawala wa waarab sshv niwakidhalim wakiuana wao kwa wao na kutesana.ila ukiangalia kwa jicho la tatu ni kwamba kondoo kaponzwa na mkia wake(oil)
Mbali na hapo sikatai wala sikubali kwamba utawala wa kisultan znz ulitesA watu sbb ni tawala chache dunian ambazo hazitesi raia wake ukiangalia US sshv watu weus wanapigw risas km kuku.ukienda mbali zaid ht weus ss tunauana kinyama mfno burund au utasema nkuruzinza ni mwislam??swala la din na uongoz hazifungama
sijaona mwandishi alipozungumzia dini, anazungumziwa mwarabu na madhila ya utawala wake kwa watu weusi enzi hizo za utumwa., au kila mwarabu ni muislamu!!!? Fungueni vichwa vyenu basi, acheni ushabiki wa kipuuzi. Mwarabu wa zamani mpaka huyu wa leo si mwema kwa mtu mweusi, fuatilia maisha ya dada zetu weusi wanaopelekwa uarabuni kama wasaidizi wa kazi wanakutana na shida zipi kama si hizohizo!!!!!!? Mwarabu ni katili, hana utu na si wa kumuamini hata kidogo, usitegemee kukutana na mwarabu tofauti coz wengi wao wamekua wakifunzwa na kuona kile baba na babu zao walichowafanyia vijakazi weusi na hiyo imekuwa sehemu ya maisha yao. Kaa mbali na mwarabu.Maneno yako ni ya mrengo wa kushoto.
Hatukatai ht utawala wa waarab sshv niwakidhalim wakiuana wao kwa wao na kutesana.ila ukiangalia kwa jicho la tatu ni kwamba kondoo kaponzwa na mkia wake(oil)
Mbali na hapo sikatai wala sikubali kwamba utawala wa kisultan znz ulitesA watu sbb ni tawala chache dunian ambazo hazitesi raia wake ukiangalia US sshv watu weus wanapigw risas km kuku.ukienda mbali zaid ht weus ss tunauana kinyama mfno burund au utasema nkuruzinza ni mwislam??swala la din na uongoz hazifungaman n upnd wwte unaweza kuwa na dini lakin ukawa katil umejivika ngoz kondo
sijaona mwandishi alipozungumzia dini, anazungumziwa mwarabu na madhila ya utawala wake kwa watu weusi enzi hizo za utumwa., au kila mwarabu ni muislamu!!!? Fungueni vichwa vyenu basi, acheni ushabiki wa kipuuzi. Mwarabu wa zamani mpaka huyu wa leo si mwema kwa mtu mweusi, fuatilia maisha ya dada zetu weusi wanaopelekwa uarabuni kama wasaidizi wa kazi wanakutana na shida zipi kama si hizohizo!!!!!!? Mwarabu ni katili, hana utu na si wa kumuamini hata kidogo, usitegemee kukutana na mwarabu tofauti coz wengi wao wamekua wakifunzwa na kuona kile baba na babu zao walichowafanyia vijakazi weusi na hiyo imekuwa sehemu ya maisha yao. Kaa mbali na mwarabu.View attachment 339100
Hawa nao waarabu? Acheni chuki Zenu, Pasco wewe ni mdini na ni mmoja kati ya wanaoeneza chuki za kidini humu jamvini! na ni mbaguzi wa hali ya juu ! hatutakiwi kueneza chuki baina ya waTanzania lakini nyie mmezidi propagarnda,!
Mnaishambulia dini ya Kiislam kwa mwamvuli wa waarabu! MKOME!!!
sijaona mwandishi alipozungumzia dini, anazungumziwa mwarabu na madhila ya utawala wake kwa watu weusi enzi hizo za utumwa., au kila mwarabu ni muislamu!!!? Fungueni vichwa vyenu basi, acheni ushabiki wa kipuuzi. Mwarabu wa zamani mpaka huyu wa leo si mwema kwa mtu mweusi, fuatilia maisha ya dada zetu weusi wanaopelekwa uarabuni kama wasaidizi wa kazi wanakutana na shida zipi kama si hizohizo!!!!!!? Mwarabu ni katili, hana utu na si wa kumuamini hata kidogo, usitegemee kukutana na mwarabu tofauti coz wengi wao wamekua wakifunzwa na kuona kile baba na babu zao walichowafanyia vijakazi weusi na hiyo imekuwa sehemu ya maisha yao. Kaa mbali na mwarabu.