Maneno yako ni ya mrengo wa kushoto.
Hatukatai ht utawala wa waarab sshv niwakidhalim wakiuana wao kwa wao na kutesana.ila ukiangalia kwa jicho la tatu ni kwamba kondoo kaponzwa na mkia wake(oil)
Mbali na hapo sikatai wala sikubali kwamba utawala wa kisultan znz ulitesA watu sbb ni tawala chache dunian ambazo hazitesi raia wake ukiangalia US sshv watu weus wanapigw risas km kuku.ukienda mbali zaid ht weus ss tunauana kinyama mfno burund au utasema nkuruzinza ni mwislam??swala la din na uongoz hazifungama
Maneno yako ni ya mrengo wa kushoto.
Hatukatai ht utawala wa waarab sshv niwakidhalim wakiuana wao kwa wao na kutesana.ila ukiangalia kwa jicho la tatu ni kwamba kondoo kaponzwa na mkia wake(oil)
Mbali na hapo sikatai wala sikubali kwamba utawala wa kisultan znz ulitesA watu sbb ni tawala chache dunian ambazo hazitesi raia wake ukiangalia US sshv watu weus wanapigw risas km kuku.ukienda mbali zaid ht weus ss tunauana kinyama mfno burund au utasema nkuruzinza ni mwislam??swala la din na uongoz hazifungaman n upnd wwte unaweza kuwa na dini lakin ukawa katil umejivika ngoz kondo
sijaona mwandishi alipozungumzia dini, anazungumziwa mwarabu na madhila ya utawala wake kwa watu weusi enzi hizo za utumwa., au kila mwarabu ni muislamu!!!? Fungueni vichwa vyenu basi, acheni ushabiki wa kipuuzi. Mwarabu wa zamani mpaka huyu wa leo si mwema kwa mtu mweusi, fuatilia maisha ya dada zetu weusi wanaopelekwa uarabuni kama wasaidizi wa kazi wanakutana na shida zipi kama si hizohizo!!!!!!? Mwarabu ni katili, hana utu na si wa kumuamini hata kidogo, usitegemee kukutana na mwarabu tofauti coz wengi wao wamekua wakifunzwa na kuona kile baba na babu zao walichowafanyia vijakazi weusi na hiyo imekuwa sehemu ya maisha yao. Kaa mbali na mwarabu.