Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

pasco,

UMEANDIKA

3. Waarabu ninaowazungumza hapa, ni wale Waarabu madhalimu na makatili wa wa enzi zile za utumwa ambao wengi wao, mwaka 1964, walifurushwa kutoka Unguja kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964!, ila waliofurushwa ni wale tuu waliokuwa Zanzibar.


HIVI UNAPOTUMIKIA KANISA HUWA UNAMUACHIA ROHO MTAKATIFU AKUONGOZE ???

MBONA AMEKUONGOZA KUSEMA UONGO MCHANA KWEUPE ???


1839 AD 31st May: Commercial convention between Muscat and Great Britain.

Foundation of the British and Foreign Anti-Slavery Society.
Seyyid Said moved permanently to Zanzibar.
The French, having annexed some of the Comoro Islands and Nossi Be off Madagascar, began making movement up the coast as far as Barawa, 400 miles north of Mombasa. Lord Palmerston warned them off but demanded another concession from the Sultan with regard to the slave trade, in return for his intervention. Colonel Hamerton therefore negotiated an agreement with Seyyid Said forbidding the export of slaves from Africa to Arabia.

1841 AD 28th January: Birth of John Rowlands, later to change his name to Henry Morton Stanley, (1841-1904) in Denbigh, North Wales.
4th May: Great Britain established a Consulate in Zanzibar. Colonel Atkins Hamerton became the first British Consul at Zanzibar.


hivi ILE BIASHARA YA UTUMWA IKIFANYWA HATA NA WATOTO WACHANGA WA KIARABU ???


NA HAWA WALIOFUKUZWA 1964 WALIKUWA NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 120


kanisa katoliki ni kazi
 
Mkuu hicho kigezo ulicho kitumia cha wadada wa kazi sio sahihi kila jamii tunaona wadada wa kazi wakipata shida hapa kwetu tz waswahili kwa waswahili wanatesana kila kukicha.
Tunaona uganda kenya na nchi kadha za kiafrika zikinyanyasa wadada kazi na hata wadada wakazi nanawatesa matajiri zao au watoto wao.
Nahilo unalosema tukae mbali na waarabu mm sioni kama waarabu wote ni washenzi kama ulivyo jiaminisha ww na unavyotaka nasisi tuamini hivyo.
Kumbuka kila jamii ina watu wabaya na wazuri hata sisi waafrika wapo wema na waovu.
Kama kuna muarabu kakudhuru ww basi usiwahukumu waarabu wote.
 
Aisaee humu nchini kuna majitu yamepandishwa mbegu za ajabu kama vile SHAMBA la BHANGI, kama siyo marijuana.... hebu mkavune tena labda mtapata pumba mbichi !!!!!
 
Mi huwa najiuliza kama waarabu walikuwa madhalim kiasi hicho mbona maeneo ambayo walipita yameendelea kuwa nawaislamu wengi ijapokuwa wamishionari waliyapitia tena hayo maeneo???
Mfano:-zanzibar, mombasa, tanga, kilwa, haya nimaeneo yenye waislam wengi.

Kuna mengine kama mbeya ambayo asili haikukaliwa na waarabu, lakin walivyopita tu maeneo yausangu wakapatikana WABURUSHI.
Pia kuna tabora kuna waislamu n.k,
Mikoa yalindi namtwara pia inamchanganyiko wawaislam nawakristo.
##kama waarabu walikuwa madhalim kiasi hicho kwanini watu waliendelea kushikilia dini iliyokuja nawaarabu,hali yakuwa wamishionari waliwatembelea nakuwasaidia??? ##

##mashamba yamikonge waliokuwa wakiyalima walikuwa wanasimamiwa nawajeruma, vibarua walienda kufanya kazi latin amerca walisimamiwa nawafaransa nawengineo##

Huku africa wamishionari walishindwa kutumia majiko ya Gesi kama walivyoweza kutumia ANDARUS/SPAIN kuwa kunvert waislam ndio maana wakaamua kutumia propaganda
::::BADO HUWA NAJIULIZA:::::
 
Hakuna mzanzibar wa asili ambae hana chembe ya uarabu ktk mishipa yk ht km unamuona na muonekano wa kibantu zaidi,km huamini wachunguze waswali wa zanzibar kwa makini utagundua hili,km yupo mswahili au mwarabu znz anaweza kumtukana mwenziwe basi huyo ni mjinga hawa waswahili na waarabu ni ndygu wa damu acheni kuwafarakanisha kwa choyo cha mchanyiko wa wazanzibar,hv kweli waarabu wameingia znz kabla ya nabii issa hv leo unaweza kuwa na kizazi ambacho hakina mchanyiko km kipo c zaidi ya kizazi kimoja,WAZANZIBAR WASIGAWIWE znz is a COSMOPOLITAN STATE
 
WEDNESDAY, SEPTEMBER 7, 2016
Adakwa akiuza wasichana kama njugu




Kwa ufupi
  • Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Ramadhani Ng’anzi amesema Septemba 3, saa 9.00 alasiri, Lucas alikutwa akiwa na wasichana watano (majina yamehifadhiwa) aliokuwa amewaficha nyumbani kwake kwa lengo la kuwauza na wengine kuwaozesha kwa wanaume wenye kuhitaji.
ADVERTISEMENT
By Florence Focus, Mwananchi mwannachipapaers@mwananchi.co. tz
Musoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Julita Lucas (30), mkazi wa kijiji cha Masinki Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma za kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu anaowauza kuanzia Sh150,000 hadi Sh300,000.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Ramadhani Ng’anzi amesema Septemba 3, saa 9.00 alasiri, Lucas alikutwa akiwa na wasichana watano (majina yamehifadhiwa) aliokuwa amewaficha nyumbani kwake kwa lengo la kuwauza na wengine kuwaozesha kwa wanaume wenye kuhitaji.

Amesema baada ya mama huyo kuhojiwa alikiri kufanya biashara ya kuuza wasichana kwa bei ya kati ya Sh 150,000 hadi 300,000, kwa kuangalia ukubwa wa umbo na siyo umri.

β€œBaada ya kufanya mahojiano na wasichana hao wenye umri kati ya miaka 15 hadi 28, walisema wametokea katika kijiji cha Muhejangila Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera,” amesema.

Kamanda Ng’anzi amesema polisi wanaendelea na uchunguzi dhidi ya mama huyo, ili kubaini mtandao wa biashara hiyo haramu ya binadamu.

β€œTunaendelea kumuhoji, tunataka kujua iwapo kituo cha mwisho cha biashara hiyo ni hapa ndani tu au ni hadi nje ya nchi , biashara hiyo ilianza lini na idadi ya wasichana waliokwisha uzwa na waliuzwa wapi,”

Kamanda Ng’anzi alisema baada ya upelelezi kukamilika, mama huyo atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.



0











 

Attachments

  • upload_2016-9-7_11-26-24.jpeg
    5 KB · Views: 123
Ingezalisha watoke WAP wakati waarabu ndo walifikia hapo walippfika watumwa wakwanza walikua hao wazanzibar !! Mahitaji yalipozdi wakaanza kutafta kwingine!! Na idadi kubwa ya wazanzbar asil yao haikua hapo Ila ni watumwa mbalimbali walioletwaga sokon miaka ya nyuma!!
 
Ha ha ha ha.. nani alienda kuwachukuwa huko walipokuwepo hao watumwa?? na nani aliwaleta apo kisiwani? jee KM:- walikuja elfu watu moja au zaidi, jee hao waarabu walikuwa wangapi?? maana hadi hii leo hao waarabu kwao hata hawajatimia laki 7 ??
Yaani siye waAfrika tulikuwa wajinga hivo kuacha makazi yetu na kwenda kuishi jangwani kule kwenye ukame? HEBU TUJIULIZE MARA MBILI na wala siyo MARA TATU !!!!
pole yetu sana tunao Aminishwa UTUMWA !!
 
Tunapoelekea kuadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, sii wengi wanaojua Waarabu dhalimu waliwafanya nini mababu zetu.

Angalizo sio Waarabu wote ni wadhalimu, wako Waarabu wema na Waarabu madhalimu. Waarabu wema waliwapenda bibi zetu hadi kuwaoa na kuzaliwa kizazi cha machotara ambao ndio hawa Washirazi. Hivyo Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalipangwa na Waafrika na Washirazi kupitia Afro Shirazi Party.

Sio vibaya kujikumbusha kwa lengo la kuhifadhi tuu historia.

Paskali
 
MIMI NIKO TOFAUTI NA HII TOPIC YAKO ..
Nisaidie hii kitu hapaa..
Ni moja ya Kauli alizotumia kwenye Kampeni zake kuwa Tanzania siyo ya Kulia lia na Misaada maaana ina pesa ya Kutosha. Lakini ajabu deni la Taifa linazidi kupaa na mpaka sasa Serikali inahangaika Kukopa tena takribani 2Trillion kwaajili ya Ku Finance Bajeti ya Nchi 2016/2017.

Je, Mh Rais Kunani tena, Kauli na imani hiyo imefia wapi?
Pili, Je, tuendelee kuziamini kauli zako nzito kama hizi?
Na tatu, Je, Kweli Nchi yetu kwenye Utawala wako wa awamu ya 5 unaamini Tanzania itakuja Kuwakopesha Nchi zingine kama Ulivyotuaminisha?
 
Mungu ana kazi kubwa sana ya kuhukumu wazungu na waarabu siku ya mwisho, walifanya mambo ya ajabu sana na wanazidi kuchafua dunia hata leo hii. tabia zote chafu zinaanzia kwa watu hawa, ukatili na roho ngumu. ama kweli huko ndiko shetani ameweka makao yake.
 
Mkuu Mwalla, kwa vile umeelekeza maswali yako direct kwa rais kupitia nafsi ya kwanza, then utasubiri sana.

Lakini ungeuliza kwa ujumla tuu na sio lazima kwa rais mwenyewe, tungekujibu.

Kwa kukusaidia tuu, kupitia uchumi wa gesi, Tanzania tunaanza safari ya uhamisho kutoka nchi masikini hadi nchi ya kipato cha kati kuelekea kuwa nchi tajiri. Tukifika huko tutawakopesha majirani zetu.

Paskali
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ MMMH!!!
 


NDIVYO MANAVYOAMBIWA NA PENGO HAYA MANENO ?????
 


 
Africa tumekosea sana hadi kuiandika historia yetu hasa baada ya uvamizi wa ukoloni hata utamaduni wetu umevurugwa kilichobaki ni kuwatetea na kupima tu the lesser devil
Misingi yetu ilipoteza kuanzia kijamii,kitamaduni,kisiasa,kiuchumi etc
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…