Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Mada ipo pale pale, ila ninakuonyesha kuwa hao wamisionari wako wa kizungu walikuwa, wanazo dharau kushinda hao uliowasema wewe!!!
Mimi nishakupa picha halisi za kamera kusibitisha maneno yangu sasa lingekuwa jambo jema ukaweka picha mfano wa hizo kuyapa nguvu maneno yako dhidi ya wahindi na waarabu.View attachment 339085
Mtoa mada nadhani unataka kuturudisha enzi zile za mzee wa kuota ndoto na kutabiri (Nyerere)
Katika rundo la picha ulizoweka kwanini kila picha inayoonyesha mateso ya waarbu kwa mtu mweusi iwe ya kuchora! Hivi wakati huo kamera zilizokuwepo zilikuwa hazipigi picha za mateso bali za furaha tu!?
Mada yako haina tofauti na hadithi za kusadikika wanazopewa wageni kila wakitembelea kanisa la mkunazini Unguja!!?? Wagalatia wa kanisa lile na wengineo wamesahau kuwa aliewapa kiwanja cha kujenge kituo chao cha kuzalisha propaganda dhidi ya waarabu ni uislamu ni Sultani wa kiarabu ambae ndie aliekuwa mtawala wa zanzibar!!??
Suala la kujiuliza ikiwa soko la watumwa lilikuwepo pale penye kanisa la mkunazini na wao ndio wenye kanisa, jee niwakati gani soko lilikuwepo na baadae ikapatikana nafasi ya kujenga kanisa!!???
Akili za kuambiwa.......
Picha ya camera kwa vile wazungu waligundua camera na kuwa nayo,waarabu hawakwa nayo ulitegemea wapige picha na nini?ulisoma bado hujaelimika kuna soko la watumwa bagamoyo,goldcoast,Senegal (goree) Zanzibar etc uwe unapenda kusoma si kulishana ujinga wa madrasa
Kumbuka umeamrishwa nini kuhusu picha na masanamu?Pasco unatuwekea picha za kuchora halafu unatuaminisha kuwa ni picha za kweli.
Hizo picha ni za kuchora hazina tofauti na picha za Bulicheka na mke wake Elizabeth na Wagagagigikoko, au ile hadithi maarufu. ya ‘Heri mimi sijasema’.
Au picha za Juma na Roza, cha kufurahisha kuna mapunguani wanakubalina na hizo picha.
Teh teh teh!
Bado tatizo lipo kwa Waarabu. Wale wageni wanaojenga viwanja kule Qatar wanalalamika, kina dada wanaotoka huku (Tanzania na Kenya) kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu wengi wao hawatendewi kibinaadamu.mimi siamini kama kuna waarabu wema,dharau ya mwarabu na mhindi kwa mu Africa ni mara 10 ya dharau ya mzungu
Ndugu yangu naona ume generalise sana. Unaposema waarabu na wahindi wana dharau. Unamaanisha wote? AU baadhi tu
Sikuelewi unasema nini hapa tunaongelea picha za kuchora tunaambiwa za kweli.Kumbuka umeamrishwa nini kuhusu picha na masanamu?
Hivi hujui kuwa Waarabu na Wahindi ni watu wenye roho mbaya? Wabinafsi, Wabaguzi n.k, hujui hilo?Hivi nyie muna evidence yoyote na mnachoongea? Au ni mawazo yenu tu. Hebu naomba basi kama kuna data au research naomba, inayofafanua kua waarabu wote au watu weupe wanadharau kuliko weusi.
Hivi na wewe ni Mwarabu?View attachment 339100
Hawa nao waarabu? Acheni chuki Zenu, Pasco wewe ni mdini na ni mmoja kati ya wanaoeneza chuki za kidini humu jamvini! na ni mbaguzi wa hali ya juu ! hatutakiwi kueneza chuki baina ya waTanzania lakini nyie mmezidi propagarnda,!
Mnaishambulia dini ya Kiislam kwa mwamvuli wa waarabu! MKOME!!!
Pasco upande mmoja anasema machotara wote ZNZ ni zao la ubakaji, upande mwingine anasema kulikuwa na ndoa baina ya waarabu na waafrika
Labda tumkumbushe watumwa wengi waliuzwa kwa Waarabu na waafrika wenzao
Hata kama wapo. Idadi yao unaijua ni wangapi wenye roho mbaya? Usikatae kua Wapo ambao wana roho nzuri pia mkuu.Hivi hujui kuwa Waarabu na Wahindi ni watu wenye roho mbaya? Wabinafsi, Wabaguzi n.k, hujui hilo?