Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Aah aah ah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madrid mie naweza kuwa baba yako. Mjukuu wangu wa kwanza ana miaka 3. Wewe ni mkubwa umri wa mwanangu zaidi au kidogo. Huu ni uwanja huru unaweza ukaweka fikra zako watu wakasoma huna haja ya kunitaka radhi.Babu kwanza shikamoo mzee wangu Mohamed.Huwa nasomaga bila kucomment napitaga tu sema nimejisikia kucomment mzee wangu kama sikustahili samahan sana mzee wangu
Usijumuishe.. WEWE ndo kinyaa.. kbsa!!Waarabu watu wabaya sana
ama aliyetobolewa vifundo vya miguu angeliwezaje kutembea kilometa 1000+ kwa maumivu yale ikiwa mwiba tu mtu anakaa chini! Labda walikuwa marobot!!! Mwarabu alikuwa wakala wa kumkusanyia mwingereza watumwa na meli iliyokuwa ikiwabeba ni ya waingereza ambayo ikiwachukulia hapo unguja. Lakini pia isisahaulike kwamba mashujaa wetu Mkwawa, Isike, Mirambo na wengineo walikuwa wakiwauza watumwa wao kwa waarabu YOTE HAYO HUWA TUNAJISAHAULISHA ILI UBAYA UELEKEE UPANDE FULANI USIOTAKIWA AMA KUTOUPENDA KWETU UKWELI NI TATIZO!!Naomba kujua,mtumwa mwenyeki makovu ya minyororo na majeraha ya vipigo anamudu vipi kufanya kazi?
Pascali anaongolea kuhusu Utumwa na madhara ya waarabu ktk visiwa vya unguja na Pemba na wala hajaelezea mambo ya vita ndani ya uliyokuwa Tanganyika au Zanzibar.Nimesema kwamba wewe Ni mdini,sasa kidogo unakuja katika Imani yako na chuki za udini,maelezo yako yako katika kutetea imani yako na Ustashi wako ,zilizokuandama na kukufanya,ukubali Kuwa mtumwa wa Kuwatetea,wale wale waliowafanya watumwa mababu zetu,utumwa ulifanywa kwa jamii,hilo unaonesha uzaifu wako kutokana na imani yako,inayowapendelea wazungu,kwamba hawakuwafanya watu watumwa,afrika mashariki,huko Ni uzushi wa wazi,wajerumani na wazungu wengine waliwatesa na kuwafanya watumwa,Kama hufahamu kuna vita na wahehe na vita vya majimaji .
Mkuu Pascal ni lazima ujirekebishe,kama unataka kuungwa mkono, mzalendo wa kweli,anahukumu haki katika masuala na maandishi kwa faida ya wote,ukikataa kwamba wazungu hawakufanya watumwa,wazee wetu,huo si ukweli,wazungu,wamisionari/wakristo wamewafinyia wazee wetu ushenzi mkubwa,katika vita ya maji maji waliwauwa watanganyika zaidi ya laki mbili,kabla ya kusalimu amri,na mwisho wameondoka mali zetu nyingi na kutuachia dini,halo chini Ni moja ya mateso ya wajerumani kwa watumwa wao.View attachment 519185
Waarabu ni wanyama sanaUsijumuishe.. WEWE ndo kinyaa.. kbsa!!
Waarabu ni wanyama sana
Watu wanakua blind ikiguswa dini yao.Et wazanzibar hawakufanywa watumwa due nashindwa kuelewa MTU anayetoa hoja ya namna hii alisoma shule gan? Probably ameishia madrasa tuNimecheka sana watu wanavyosema sultan hajawahi kuwatesa wazanzibari...
It seems ukiwasema waarabu... mada inabadilishwa kuonyesha unaisema dini fulani...
Hapa itakuwa vita tu ya udini maana waafrika akili zetu ndivyo zilivyo...
Hakuna race nyingine inayotupenda watu wa rangi hii..tuamke...tutafakari
Kaka lazima ujue kutafautisha baina ya mwarabu na mzungu,huyo mtu mweupe kwenye picha ni mishionari wa kizungu sio mwarabu...
Kweli aipendi zungumzia mambo ya dini ila hapa mkuu umetinyangaa ,usichanganye uarabu na dini hatakama wao ndio kama daraja la dini ya islamu ndugu,,waarabu katika enzi za ukoloni ni wakatili sana ila huu uislamu sio ukatila wala dhambi ni kitu chema ila wengi ufanya uovu kupitia migongo ya dini ,,,na hawa ndio wanaozuiliwa na serikali yoyote ila sio dini ya Islamic ...na hawa udanganya idadi kubwa ya waumini na kuwapandikiza chuki kwa matamanio yao na mipango yao ila sio mipango ya dini ,,,ukiwa muelevu utajua kuikumbatia dini ama kukumbatia baadhi ya hawa watu na mafundisho yao potofu na kuwa chukizo katka jamii ya watu wengne ??Thats what History taught us! Mwarabu mtu mbaya,mwarabu anaingilia watu kinyume na Maumbile,mwarabu anajitoa mhanga na mabaya yote! Kuna mtu mmoja alipata kuniambia,tazama picha zote hatopata picha ya kupiga ambayo mwarabu anamtesa Mwafrika,zilizopo ni za kuchora tu! Anae pigwa vita hapo sio Mwarabu laa hasha! Ni UISLAMU! Na wala hatushangai, laiti tungeyaona yaliyo vifuani mwao ni makubwa zaidi ya haya! Vipi watu walio uawa kwenye vita ya kwanza na ya pili ya Dunia! Vipi watu walio uawa na Bush na Obama Libya,Iraq,Afghanstan,Kosovo nakadhalika! History ni Uongo wa kuwatukuza wakristo zidi ya Uislamu!
Mtumwa siku zote aliteswa na alidhulumiwa haki zake. Tatizo watumwa waliotoka Afrika Mashariki hawakuwaasi mabwana zao kama vile kule Visiwa vya Karibeani na Marekani ya kati. Kule Suriname watumwa kutoka Afrika walikimbilia porini "in the jungle" na kuweka himaya yao wakiwa huru kamili.Toussainte L'Ouverture naye aliongoza mapinduzi ya watumwa dhidi ya mabwana zao kule Haiti mwaka 1791.Mimi nakubali waarabu waliwaonea watumwa wakati huo Sana Sana Sana lakini Nani alio akiwatafuta huko Tanganyika najengine kila mtawala anamauvi yake jee ninani sasahivi anae piga watu zanzibar ni mwarabu au mwarabu mweusi au Nani
Yaani naichukia na kuikataa ccm kwa kila hali lkn kutawala mwarabu Zanzibar bora ccm atawale Zanzibar maisha yooooote yaliyobaki ktk mgongo huu dunia....nasema kweli iliyopo moyoni kwangu...nawachukia sana waarabu[emoji35] [emoji35] [emoji35]Hauna hoja yoyote ni ubaguzi tu,mbona watanzania wingi wanauwa,wanafungwa na kufanyiwa madhira mengi ya kutisha chini ya utawala wa CCM? Na bado mnachukua nchi,udharimu hauna rangi wala dini wala kabila,udharimu ni udharimu tuu,kwani aliyeua wazanzibar 2000 ni Sultan???acha unafki
Mkuu unazungumzia watu hao wa pande zote waliouwawa waliuwawa mazingira gani!!? Tendo la kumuhasi tu binadamu mwenzako ni zaidi ya kumuua ni unyama wa hali ya juu sana ambao hakuna hoja ya kuweza kuutetea unyama huo...siwapendi hata kuwasikia waarabu basi tu uwezo wa kuwafyeka duniani sina..mwarabu hajawahi na hatokuja wahi kumpenda MTU mweusi haitotokea...VP mi nimpende bila wazungu mpaka Leo wangekuwa wanatuuza kama kuku sokoni[emoji35] [emoji35] [emoji35]Thats what History taught us! Mwarabu mtu mbaya,mwarabu anaingilia watu kinyume na Maumbile,mwarabu anajitoa mhanga na mabaya yote! Kuna mtu mmoja alipata kuniambia,tazama picha zote hatopata picha ya kupiga ambayo mwarabu anamtesa Mwafrika,zilizopo ni za kuchora tu! Anae pigwa vita hapo sio Mwarabu laa hasha! Ni UISLAMU! Na wala hatushangai, laiti tungeyaona yaliyo vifuani mwao ni makubwa zaidi ya haya! Vipi watu walio uawa kwenye vita ya kwanza na ya pili ya Dunia! Vipi watu walio uawa na Bush na Obama Libya,Iraq,Afghanstan,Kosovo nakadhalika! History ni Uongo wa kuwatukuza wakristo zidi ya Uislamu!
Yooooote yanayotokea Zanzibar mwarabu ndo chanzo....[emoji35] [emoji35]Mimi nakubali waarabu waliwaonea watumwa wakati huo Sana Sana Sana lakini Nani alio akiwatafuta huko Tanganyika najengine kila mtawala anamauvi yake jee ninani sasahivi anae piga watu zanzibar ni mwarabu au mwarabu mweusi au Nani
Omary,Yooooote yanayotokea Zanzibar mwarabu ndo chanzo....[emoji35] [emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona picha yako haifunguki tujikumbushe hicho unachotaka tujikumbushe[emoji15]Omary,
Haya mbona yanarejeshwa tena na tena kwa maana tulishajadili
siku zilizopita.
Hebu tujikumbushe hali ilivyokuwa baada ya mapinduzi:
![]()