Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Babu kwanza shikamoo mzee wangu Mohamed.Huwa nasomaga bila kucomment napitaga tu sema nimejisikia kucomment mzee wangu kama sikustahili samahan sana mzee wangu
Madrid mie naweza kuwa baba yako. Mjukuu wangu wa kwanza ana miaka 3. Wewe ni mkubwa umri wa mwanangu zaidi au kidogo. Huu ni uwanja huru unaweza ukaweka fikra zako watu wakasoma huna haja ya kunitaka radhi.
 
Naomba kujua,mtumwa mwenyeki makovu ya minyororo na majeraha ya vipigo anamudu vipi kufanya kazi?
ama aliyetobolewa vifundo vya miguu angeliwezaje kutembea kilometa 1000+ kwa maumivu yale ikiwa mwiba tu mtu anakaa chini! Labda walikuwa marobot!!! Mwarabu alikuwa wakala wa kumkusanyia mwingereza watumwa na meli iliyokuwa ikiwabeba ni ya waingereza ambayo ikiwachukulia hapo unguja. Lakini pia isisahaulike kwamba mashujaa wetu Mkwawa, Isike, Mirambo na wengineo walikuwa wakiwauza watumwa wao kwa waarabu YOTE HAYO HUWA TUNAJISAHAULISHA ILI UBAYA UELEKEE UPANDE FULANI USIOTAKIWA AMA KUTOUPENDA KWETU UKWELI NI TATIZO!!
Ama pana mtu aliandika "MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO"
 
Nimesema kwamba wewe Ni mdini,sasa kidogo unakuja katika Imani yako na chuki za udini,maelezo yako yako katika kutetea imani yako na Ustashi wako ,zilizokuandama na kukufanya,ukubali Kuwa mtumwa wa Kuwatetea,wale wale waliowafanya watumwa mababu zetu,utumwa ulifanywa kwa jamii,hilo unaonesha uzaifu wako kutokana na imani yako,inayowapendelea wazungu,kwamba hawakuwafanya watu watumwa,afrika mashariki,huko Ni uzushi wa wazi,wajerumani na wazungu wengine waliwatesa na kuwafanya watumwa,Kama hufahamu kuna vita na wahehe na vita vya majimaji .

Mkuu Pascal ni lazima ujirekebishe,kama unataka kuungwa mkono, mzalendo wa kweli,anahukumu haki katika masuala na maandishi kwa faida ya wote,ukikataa kwamba wazungu hawakufanya watumwa,wazee wetu,huo si ukweli,wazungu,wamisionari/wakristo wamewafinyia wazee wetu ushenzi mkubwa,katika vita ya maji maji waliwauwa watanganyika zaidi ya laki mbili,kabla ya kusalimu amri,na mwisho wameondoka mali zetu nyingi na kutuachia dini,halo chini Ni moja ya mateso ya wajerumani kwa watumwa wao.View attachment 519185
Pascali anaongolea kuhusu Utumwa na madhara ya waarabu ktk visiwa vya unguja na Pemba na wala hajaelezea mambo ya vita ndani ya uliyokuwa Tanganyika au Zanzibar.

Naona umekazana tu na udini udini.Wala Paskali haangai na mambo ya udini nadhani ni dhana yako tu iliyokukaa tu kichwani.

Na paskali alishatoa tahadhari kuhusu udini awali kabisa ktk mada yake.

Amejaribu kukuelezea historia ya utumwa duniani wa mataifa tofauti kwa wakati tofauti lakini naona mwenzetu uko na udini tu

Mpaka Paskali ameona akuache tu Sasa maana kila akieleza mambo ya utumwa wewe bado uko na udini tu.

Paskali umefanya kazi nzuri na mwenye kuelewa aelewe na mtu alazimishwi kuelewa.

Waarabu walifanya utumwa mbaya sana kwa mababu na bibi zetu miaka hiyo pamoja na wengine wote popote pale duniani walifanya unyama huo wa utumwa duniani tunalaani na Mungu asaidie tusirudi huko tena.
 
Waarabu ni wanyama sana
upload_2017-8-13_21-26-58.jpeg
 
Nimecheka sana watu wanavyosema sultan hajawahi kuwatesa wazanzibari...

It seems ukiwasema waarabu... mada inabadilishwa kuonyesha unaisema dini fulani...

Hapa itakuwa vita tu ya udini maana waafrika akili zetu ndivyo zilivyo...
Watu wanakua blind ikiguswa dini yao.Et wazanzibar hawakufanywa watumwa due nashindwa kuelewa MTU anayetoa hoja ya namna hii alisoma shule gan? Probably ameishia madrasa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thats what History taught us! Mwarabu mtu mbaya,mwarabu anaingilia watu kinyume na Maumbile,mwarabu anajitoa mhanga na mabaya yote! Kuna mtu mmoja alipata kuniambia,tazama picha zote hatopata picha ya kupiga ambayo mwarabu anamtesa Mwafrika,zilizopo ni za kuchora tu! Anae pigwa vita hapo sio Mwarabu laa hasha! Ni UISLAMU! Na wala hatushangai, laiti tungeyaona yaliyo vifuani mwao ni makubwa zaidi ya haya! Vipi watu walio uawa kwenye vita ya kwanza na ya pili ya Dunia! Vipi watu walio uawa na Bush na Obama Libya,Iraq,Afghanstan,Kosovo nakadhalika! History ni Uongo wa kuwatukuza wakristo zidi ya Uislamu!
Kweli aipendi zungumzia mambo ya dini ila hapa mkuu umetinyangaa ,usichanganye uarabu na dini hatakama wao ndio kama daraja la dini ya islamu ndugu,,waarabu katika enzi za ukoloni ni wakatili sana ila huu uislamu sio ukatila wala dhambi ni kitu chema ila wengi ufanya uovu kupitia migongo ya dini ,,,na hawa ndio wanaozuiliwa na serikali yoyote ila sio dini ya Islamic ...na hawa udanganya idadi kubwa ya waumini na kuwapandikiza chuki kwa matamanio yao na mipango yao ila sio mipango ya dini ,,,ukiwa muelevu utajua kuikumbatia dini ama kukumbatia baadhi ya hawa watu na mafundisho yao potofu na kuwa chukizo katka jamii ya watu wengne ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakubali waarabu waliwaonea watumwa wakati huo Sana Sana Sana lakini Nani alio akiwatafuta huko Tanganyika najengine kila mtawala anamauvi yake jee ninani sasahivi anae piga watu zanzibar ni mwarabu au mwarabu mweusi au Nani
Mtumwa siku zote aliteswa na alidhulumiwa haki zake. Tatizo watumwa waliotoka Afrika Mashariki hawakuwaasi mabwana zao kama vile kule Visiwa vya Karibeani na Marekani ya kati. Kule Suriname watumwa kutoka Afrika walikimbilia porini "in the jungle" na kuweka himaya yao wakiwa huru kamili.Toussainte L'Ouverture naye aliongoza mapinduzi ya watumwa dhidi ya mabwana zao kule Haiti mwaka 1791.
 
Hauna hoja yoyote ni ubaguzi tu,mbona watanzania wingi wanauwa,wanafungwa na kufanyiwa madhira mengi ya kutisha chini ya utawala wa CCM? Na bado mnachukua nchi,udharimu hauna rangi wala dini wala kabila,udharimu ni udharimu tuu,kwani aliyeua wazanzibar 2000 ni Sultan???acha unafki
Yaani naichukia na kuikataa ccm kwa kila hali lkn kutawala mwarabu Zanzibar bora ccm atawale Zanzibar maisha yooooote yaliyobaki ktk mgongo huu dunia....nasema kweli iliyopo moyoni kwangu...nawachukia sana waarabu[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thats what History taught us! Mwarabu mtu mbaya,mwarabu anaingilia watu kinyume na Maumbile,mwarabu anajitoa mhanga na mabaya yote! Kuna mtu mmoja alipata kuniambia,tazama picha zote hatopata picha ya kupiga ambayo mwarabu anamtesa Mwafrika,zilizopo ni za kuchora tu! Anae pigwa vita hapo sio Mwarabu laa hasha! Ni UISLAMU! Na wala hatushangai, laiti tungeyaona yaliyo vifuani mwao ni makubwa zaidi ya haya! Vipi watu walio uawa kwenye vita ya kwanza na ya pili ya Dunia! Vipi watu walio uawa na Bush na Obama Libya,Iraq,Afghanstan,Kosovo nakadhalika! History ni Uongo wa kuwatukuza wakristo zidi ya Uislamu!
Mkuu unazungumzia watu hao wa pande zote waliouwawa waliuwawa mazingira gani!!? Tendo la kumuhasi tu binadamu mwenzako ni zaidi ya kumuua ni unyama wa hali ya juu sana ambao hakuna hoja ya kuweza kuutetea unyama huo...siwapendi hata kuwasikia waarabu basi tu uwezo wa kuwafyeka duniani sina..mwarabu hajawahi na hatokuja wahi kumpenda MTU mweusi haitotokea...VP mi nimpende bila wazungu mpaka Leo wangekuwa wanatuuza kama kuku sokoni[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakubali waarabu waliwaonea watumwa wakati huo Sana Sana Sana lakini Nani alio akiwatafuta huko Tanganyika najengine kila mtawala anamauvi yake jee ninani sasahivi anae piga watu zanzibar ni mwarabu au mwarabu mweusi au Nani
Yooooote yanayotokea Zanzibar mwarabu ndo chanzo....[emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom