Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Ngongo wazungu katika 100 basi 90 yake wamewafanyia unyama hata kushinda Waarabu. Wa nasema mtumwa kuwa na Bwana wa Kikristo ni mabaraka kubwa.
 
Malkia wa 1 wa Uingereza alituma meli Afrika kuja kamata watumwa na akanogewa na biashara hiyo hata kushinda Waarabu. Wazungu ambao ndio wakoloni waliwachukia Waarabu kwa sababu mbili kubwa.

Kwanza wa kipinga dini ya wakoloni ndio wakaanzisha vita vya msalaba dhidi yao. Pili Waarabu waliwapiga vibaya mno Wareno na kuwafukuza pwani ya Afrika ya Mashariki.Hvi ndio chuki za wazungu dhidi ya Waarabu.
 
Uko sahihi kupita maelezo
 
Ni ujinga ulioje kudhani kwamba Wamissionary wametoka huko walikotoka eti kulipa fidia kuwakomboa Watumwa
 
Unasema Watumwa wengi walipelekwa Arabuni. Kulikuwa na shughuli gani za uchumi zilizohitaji Watumwa wengi ukilinganisha na Ulaya ?
 
Pascal Mayalla,

Inatia huzuni kuujuwa ukweli huu ya walivyoteseka watumwa. Kweli
Mpaka watoto walikuwa Victims, na waarabu wa Siku zile walikuwa wakivaa SutI na Suruali Na tai, na walIkata nwele kama wazungu, na kunyoa ndevu zao.
NA INAONESHA HATA WATOTO WA KIARABU WALIVISHWA BLONDE KAMA WAZUNGU
 
Na sisi bado tunaendelea kuwaomba misaada kwa umasikini wetu na bado wanatusaidia, kisha tunawatukana zaidi.
Lakini Wazungu ahhhh wao walikuwa watakatifu, clean colonialists.
 
Haya ndo walotufanyia waarabu hawa wanaovaa kama wazungu, Ndo Mana Waafrika waliamua Kupigana nao ili kupata uhuru wao wakati wao walikuja Kuwa wakolono mwishini mwa karne ya 18.

Warabu walikuwepo Afrika mashariki Zamani kabla ya Ujio wa Yesu
Waafrika hwakuwapiga vita na walishirikiana na hata Kindoa,ndo maana leo machotara wengi Ukiwemo wewe Pascal Mayala

Kabla ya Babu yako Kugeuzwa Kuwa Mkiristo.Mimi babu zangu ni Waarabu na bibi zangu ni waafrika ,tena pengine wamasai au Mnyachusa kama wewe wa mbeya.

Hata hivyo kwa habari za uhakika nilizozipata kutoka kwa wazazi wangu wote wawili ambao mimi ni Generation ya 9 kutoka kwa hao mabau na mabibi wenyewe ,wanasema kuwa Muarabu na Muafrika waliishi kwa amani Miaka nenda miaka rudi.

Hata hivyo, kulikuwepo na Biashara ya bidhaa toka Mrima na pia watumwa ambao walikuja zanzibar.Wengi wa watumwa hao walinunuliwa na Wazungu ili kuwapeleka kwenye mashamba ya ya miwa kule Morituius na Sheliu sheli,na wengine Ulaya na Marekani.

Ila waarabu waliishi Afrika pamoja na wenyeji chini ya machifu Wazalendo.
Ila Ujio wa wazungu ndo ulileta Vita na Kuuliwa kwa Machifu na hatimae Nchi kutawaliwa Rasmi na wao
Sasa Hapa siongezi.

.
 
Kuna warabu wakristo sio wote waislamu, jifunze kutumia akili sio kila MTU anayeongelea warabu anaongelea uislamu
 



PASCALI HIZO NI PROPAGANDA ZA WAZUNGU NA MAKANISA


UTUMWA ULISIMAMISHWA MWAKA 1833

Britain abolished slavery throughout its empire by the Slavery Abolition Act 1833 (with the notable exception of India), the French colonies re-abolished it in 1848 and the U.S. abolished slavery in 1865 with the 13th Amendment to the U.S. Constitution.

CAMERA ILIVUMBULIWA MWAKA 1888

The use of photographic film was pioneered by George Eastman, who started manufacturing paper film in 1885 before switching to celluloid in 1888–1889.


NAULIZA PICHA ZA WATUMWA ULIZOLETA ZILIPIGWA NA CAMERA IPI MIAKA HIO NA WAKATI ILIKUWA BADO CAMERA HAZIJAVUMBULIWA ???


NJIA YA MWONGO NI FUPI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…