Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Pascal Mayalla,
Sasa wewe ulitegemea iwe vipi? Tulikuwa watumwa ,tulikuwa ni kama mashine ya kuwafanyia wao kazi tu tulikuwa hatuna.thamani ya utu kwao
Na.sio waarabu pekee balaa zaidi na baya zaidi ni wale waliopelekwa Marekani na ulaya soma utajua
 
Hakuna dini ya mwarabu ...watu wa mwanzo kumpinga mtume walikuwa n waarabu ....

Pili ...uislamu haujachukua chochote ktk culture ya waarabu ila lugha ....uislamu na uarabu n mbingu na ardhi ...uislamu ulikuja kufuta fikra za kishenz za utaifa ..na kuwataka watu waungane juu ya hakuna apasae kuabudiwa isipokuwa Allah na Muhammad n mjumbe na mtume wake wa mwsho bas...na kufuata itikad hiyo ...so mchina wa Guangzhou n ndugu yetu ila mwafrica mwenye kuuping uislamu hta ka tumezaliwa tumbo moja s ndg yetu ....hatumrith haturith ...hatumzk hatuzk .....akifa hatumuombei msamaha ...it is called al wala wal baraa ...love and hate for the sake of Allah ....so nmerekebisha kaul yko
Muislam akifa unamuombea msamaha???

Ukimuombea msamaha anasamehewa?

Swali kabla hujaswaliwa yakhee...tubu usisubiri kutubiwa na walio hai.
 
Paskali hasemi kuwa waarabu wamekuja Zanzibar kabla hata ya Wabantu kuwepo bara, maana miaka alfu mbili ilopita Wahabeshi/waethiopia/wasomali, au kwa ujumla HAMITIC people wamekuwepo bara kabla ya ujio wa Wabantu. Kipindi hicho tayari waarabu wako Zanzibar. Rejea kitabu cha peripelyus cha wagiriki.

Hasemi, au hajui kuwa Waarabu Zanzibar ni Watu asili pale, ujio wa Sultan ni wa pili baada ya kuombwa kumuondoa Mreno.

Hasemu maangamizi, na mauaji ya wareno huko Pwani ya East Africa.

Hasemi kuwa abolition of slave trade Zanzibar na Waingeraza kulikuwa hadi mwaka 1872,kwa sababu ilikuwa faida kwao, ilhali kwingineko duniani hasa West Africa mpaka 1822, biashara ya utumwa ilishakoma.

Hasemi kuwa Weusi wapo hata huko Middle East.. na walishiriki ktk siasa za huko.

Anatukuza mapinduzi, na kupinga serikali ya ZNP ikochaguliwa kihalali.
 
The first permanent residents of Zanzibar seem to have been the ancestors of the Hadimu and Tumbatu , who began arriving from the African Great Lakes mainland around 1000 AD. They had belonged to various Bantu ethnic groups from the mainland, and on Zanzibar they lived in small villages and failed to coalesce to form larger political units. Because they lacked central organization, they were easily subjugated by outsiders.
 
Wikipedia ni watu kama wewe.. Reference kubwa juu ya pwani ya Afrika mashariki ni kitabu cha Wagiriki kabla ya AD..
 
Thats what History taught us! Mwarabu mtu mbaya,mwarabu anaingilia watu kinyume na Maumbile,mwarabu anajitoa mhanga na mabaya yote! Kuna mtu mmoja alipata kuniambia,tazama picha zote hatopata picha ya kupiga ambayo mwarabu anamtesa Mwafrika,zilizopo ni za kuchora tu! Anae pigwa vita hapo sio Mwarabu laa hasha! Ni UISLAMU! Na wala hatushangai, laiti tungeyaona yaliyo vifuani mwao ni makubwa zaidi ya haya! Vipi watu walio uawa kwenye vita ya kwanza na ya pili ya Dunia! Vipi watu walio uawa na Bush na Obama Libya,Iraq,Afghanstan,Kosovo nakadhalika! History ni Uongo wa kuwatukuza wakristo zidi ya Uislamu!
Tuliambiwa Idd Amin ana kichwa cha nyoka na anakula nyama za watu na jana tu amekula nyama ya watoto zake na tulikuwa tunaamini kabisa kumbe mtu alikuwa anapendwa na watu wake, alisaidia kuchukuwa mali za wageni kuwapa wazawa aliambulia kuitwa kila jina baya. Je unataka tuamini tuliyokuwa tunaambiwa.
 
Pascal Mayalla,
Pascal Mayalla : umesoma lakini kwa hakika hujaelimika. Unashindwa jambo moja dogo tu kutenganisha Utashi wa Dini na Utashi wa Binadamu. Unashindwa kujuwa kuwa Kifo cha Nafsi yoyote ile isiyo na hatia ikiwa moja au nyingi hakikubaliki kabisa.

Waarabu na Wazungu wote kwa umoja wao kipindi hicho walishirikiana kufanya unyama kwa jamii zetu za kiafrika Hilo ni jambo la wazi na huwezi ukawatenganisha katika hili jambo la mauwaji na mateso.

Usilete hapa mijadala isiyo na faida zaidi ya kujenga chuki kwa ndugu zetu Waarabu usijitie usomi usio kuwa nao. Unashindwa kujenga hoja za mashiko ili kusaidia taifa letu kipindi hiki uhuru wetu unakandamizwa wewe unaenda leta story za miaka 1000 iliyopita wakati wewe na ukoo wako mlikuwa hamjahamia Tanganyika. Tujadili mambo muhimu yenye tija ya kipindi hiki Kuimarisha na kujenga TAIFA LETU.
 
Wewe unamatatizo ya kutosoma na kuelewa. Pascal ameandika na nanukuu kama ifuatavyo:
"Lengo la uzi huu sio ubaguzi, au kuwakumbusha machungu ya Waarabu, bali ni kujikumbusha tuu historia na kuwaelimisha baadhi ya wenzetu, wasiowajua hawa Waarabu wa Unguja na Pemba waliwafanya nini mababu zetu!"

Sasa wewe unadai kwamba Pascal hajaelimika eti analeta utashi wa dini na wa binadamu wakati ameelezea vizuri bila utashi na nanukuu aliandika "Udhalimu ni udhalimu tuu hauna dini, wala kabila, wala jamii, kwa sababu kwenye udhalimu sio Waarabu tuu peke yao ndio madhalimu, watu wa mataifa mbalimbali wamefanya udhalimu kwa watu wa mataifa mengine, na mfano mzuri ni udhalimu wa Wajerumani kwa Mayahudi chini ya Hitler ulioitwa Halocust ambapo Hitler aliwaua Wayahudi zaidi ya milioni 6 kwa ukatili wa ajabu!, ila kwenye biashara ya Utumwa Unguja, Pemba, na Arabuni, watumwa hawa walihasiwa hivyo kufanyiwa genoside na wahusika sii wengine bali ndugu hawa hawa ndugu zetu Waarabu ambao leo tunakula nao, tunakunywa nao na kufurahi nao kwa vile tumeisha samehe na tumeishasahau, yaliyopita sii ndwele!"

Sasa wewe unafikiri huu mjadala hauna faida! Kwa taarifa yako kwa wengine hipo faida sababu ndiyo historia yenyewe. Tatizo wewe unaonekana umeathirika na ujinga na udini ambao unakupeleka katika ugaidi kama wadhalimu waarabu.
 
Hata wazungu wamewafanyia unyama sana watu wa Amerika ya kusini,na watumwa waliokuwa wanapelekwa Marekani kutoka Afrika

Kwa jina la uislam warabu wamewachukuwa watu weusi kama watumwa na kuwapeleka nchi za kiarabu,kwa kijina Yesu wazungu wamewachukuaa watu weusi wa Afrika na kuwapeleka Marekani,Caribbean,marekani kusini nk...

Kumbuka vile vile warabu na wazungu wasingeliweza kuingia ndani kwenye msitu wa Afrika na kuwakamata watu bila ya msaada wa mtu mwafika mwenyewe,makabila tafauti yalikuwa na uhasama na vita,kuna makabila waliwasaidia mwarabu na mzungu kutekeleza uovu wao..

Kwahiyo kila mtu kashiriki katika hili la biashara ya utumwa wa mwafrika
 
Sasa waliokuwa watumwa wa marekani walizaliana na mpaka leo wapo huko marekani, Brazil na Caribbean.

Lakini watumwa waliokwenda kwa waarabu hawakuzaliana kwa sababu walihasiwa kuvunjwa uzazi. Ukenda uarabuni hukuti uzao wa watumwa.

Kwahiyo mwarabu bado mshenzi na katili. Leo tunaona jinsi wanavyo fanyiana ukatili wenyewe kwa wenyewe. Syria wanauwana kwa silaha za sumu kama mbwa. Na nchi ya kiislamu so-called Saudia imepiga mapomu huko Yemen na kuharibu na kuuwa watu wengi, watu na watoto sasa wanakufa kwa starvation na magonjwa. Kibaya zaidi waislamu wenzao Saudia ndiyo wana waangamiza. Waarabu ingawa siyo wote ni makatili, wadhalimu, washenzi na hawana ubinadamu.

Cha kuchekesha waarabu hao hao wanakimbilia ulaya kwa makafiri kupata hifadhi. Wanasahau kwamba wao wenyewe ndiyo makafiri wauwaji.
 
Wewe mpuuzi sana ngamia wahed!Sasa waliokuwa watumwa wa marekani walizaliana na mpaka leo wapo huko marekani, Brazil na Caribbean.

Lakini watumwa waliokwenda kwa waarabu hawakuzaliana kwa sababu walihasiwa kuvunjwa uzazi. Ukenda uarabuni hukuti uzao wa watumwa.

Kwahiyo mwarabu bado mshenzi na katili. Leo tunaona jinsi wanavyo fanyiana ukatili wenyewe kwa wenyewe. Syria wanauwana kwa silaha za sumu kama mbwa. Na nchi ya kiislamu so-called Saudia imepiga mapomu huko Yemen na kuharibu na kuuwa watu wengi, watu na watoto sasa wanakufa kwa starvation na magonjwa. Kibaya zaidi waislamu wenzao Saudia ndiyo wana waangamiza. Waarabu ingawa siyo wote ni makatili, wadhalimu, washenzi na hawana ubinadamu.

Cha kuchekesha waarabu hao hao wanakimbilia ulaya kwa makafiri kupata hifadhi. Wanasahau kwamba wao wenyewe ndiyo makafiri wauwaji.

Mkuu kwanza jifundishe kujibu hoja bila matusi kwani waswahili wanasema ukimuona mtu ananza kujibu hoja kwa matusi ujue huyo kashindwa hoja,maana yake IQ ndogo..

Watu weusi wamezagaa kuanzia Arabuni,Iran,Uturuki,Pakistan,Palestina ..huwezi kuwaona kwasababu media za nchi hizo haziwapi muonekano, wanabaguliwa sana lakini wapo wengi tu..

Mfano Pakistani watu weusi walipelekwa kama watumwa wanaitwa Sidi,hawa watu wengi wao wanapatikana Baluchistan,Oman kuna sehemu inaitwa Salalla hii ni sehemu ya watu weusi waliopelekwa huko kama watumwa,Iran ukienda sehemu inaitwa Hormozagan utakuta watu weusi wengi walipelekwa huko kama watumwa,..

Kitu cha kushangaza hawa watu wenye asili ya Kiafrika walioko Iran,Pakistan wao moja kwa moja wanasema kuwa wao ni Wazanzibari,hawa wa Uturuki wao wanakwenda nyuma katika himaya ya Othman wa Uturuki "Othman Empire", wao wanasema walikuwa kama wanajeshi wa jeshi la Othmann...

iran.jpeg
watoto wairani wenye asili ya kiafrika
oman.jpg

oman1.jpg
Waomani wenye asili ya Kiafrika
paki.jpg
Wapakstani wenye asili ya kiafrika
pale.jpg

wapalestinia wenye asili ya Kiafrika

tuek.jpg

Waturuki wenye asili ya watu wa afrika

Mkuu kabla hujaadika matusi,fanya utafiti kwanza...usizikubali sana propaganda za wazungu,nyengine ni uongo,..usiku mwema mkuu,ukitaka historia zaidi nitakupatia,kumbuka kuuliza sio ujinga..
 
Mkuu kwanza jifundishe kujibu hoja bila matusi kwani waswahili wansema ukimuona mtu ananza kujibu hoja kwa matusi ujue huyo kashindwa hoja,maana yake IQ ndogo..

Watu weusi wamezagaa kuanzia Arabuni,Iran,Uturuki,Pakistan,Palestina ..huweizi kuwaona kasababu media za nchi hizo haziwapi muonekano,watu wa weusi wanbaguliwa lakini wapo wengi tu..

Mfano Pakistani watu weusi walipelekwa kama watumwa wanaitwa Sidi,hawa watu wengi wao wanapatikana Baluchistan,Oman kuna sehemu inaitwa Salalla hii ni sehemu ya watu weusi walioplekwa huko kama watumwa,Iran ukienda sehemu inaitwa Hormozagan utakuta watu weusi wengi walipelekwa huko kama watumwa,..

Kitu cha kushangaza hawa watu wenye asili ya Kiafrika walioko Iran,Pakistan wao moja kwa moja wanasema kuwa wao ni Wazanzibari,hawa wa Uturuki wao wanakwenda nyuma katika himaya ya Othman wa Uturuki "Othman Empire", wao wanasema walikuwa kama wanajeshi wa jeshi la Othmann...

View attachment 744872
watoto wairani wenye asili ya kiafrika
View attachment 744875
View attachment 744876
Waomani wenye asili ya Kiafrika
View attachment 744877
Wapakstani wenye asili ya kiafrika
View attachment 744878
wapalestinia wenye asili ya Kiafrika

View attachment 744880
Waturuki wenye asili ya watu wa afrika

Mkuu kabla hujaadika matusi,fanya utafiti kwanza...usizikubali sana propaganda za wazungu,nyengine ni uongo,..usiku mwema mkuu,ukitaka historia zaidi nitakupatia,kumbuka kuuliza sio ujinga..
Kwa kweli nilitaka kujibu lakini nilipoona matusi nikaona bora nipite kimya
Majibu mazuri sana
No investigation no right to speak huyo alikuwa Mao Tse Tung sio mimi

Watu weusi nimewaona sana uarabuni nchi 12 nilizotembelea nimewaona na wapo wenye hali duni na wengine wapo walioingia mpaka royal family za kiarabu na mwisho kuwa wafalme. Wapooo
 
Mkuu kwanza jifundishe kujibu hoja bila matusi kwani waswahili wansema ukimuona mtu ananza kujibu hoja kwa matusi ujue huyo kashindwa hoja,maana yake IQ ndogo..

Watu weusi wamezagaa kuanzia Arabuni,Iran,Uturuki,Pakistan,Palestina ..huweizi kuwaona kasababu media za nchi hizo haziwapi muonekano,watu wa weusi wanabaguliwa lakini wapo wengi tu..

Mfano Pakistani watu weusi walipelekwa kama watumwa wanaitwa Sidi,hawa watu wengi wao wanapatikana Baluchistan,Oman kuna sehemu inaitwa Salalla hii ni sehemu ya watu weusi waliopelekwa huko kama watumwa,Iran ukienda sehemu inaitwa Hormozagan utakuta watu weusi wengi walipelekwa huko kama watumwa,..

Kitu cha kushangaza hawa watu wenye asili ya Kiafrika walioko Iran,Pakistan wao moja kwa moja wanasema kuwa wao ni Wazanzibari,hawa wa Uturuki wao wanakwenda nyuma katika himaya ya Othman wa Uturuki "Othman Empire", wao wanasema walikuwa kama wanajeshi wa jeshi la Othmann...

View attachment 744872
watoto wairani wenye asili ya kiafrika
View attachment 744875
View attachment 744876
Waomani wenye asili ya Kiafrika
View attachment 744877
Wapakstani wenye asili ya kiafrika
View attachment 744878
wapalestinia wenye asili ya Kiafrika

View attachment 744880
Waturuki wenye asili ya watu wa afrika

Mkuu kabla hujaadika matusi,fanya utafiti kwanza...usizikubali sana propaganda za wazungu,nyengine ni uongo,..usiku mwema mkuu,ukitaka historia zaidi nitakupatia,kumbuka kuuliza sio ujinga..
Mkuu umemjibu vyema sana, pia mwambie atafute maana ya ile nembo ya Timberland ndipo atakapomjua kuwa mzungu sio mtu
 
Kwa kweli nilitaka kujibu lakini nilipoona matusi nikaona bora nipite kimya
Majibu mazuri sana
No investigation no right to speak huyo alikuwa Mao Tse Tung sio mimi

Watu weusi nimewaona sana uarabuni nchi 12 nilizotembelea nimewaona na wapo wenye hali duni na wengine wapo walioingia mpaka royal family za kiarabu na mwisho kuwa wafalme. Wapooo
Kweli kabisa amemjibu vyema pia angemwambia maana ya neno "Saud" linaloasisi Saud Arabia ingependeza zaidi.
Hakuna mwarabu aliyemwita mtu mweusi Nigger.
 
Sheikh Saad Al Salem Al Sabah wa Kuwait (marehemu) alikuwa mweusi na mama yake alikuwa mtumwa aliyeolewa na Amir.
Na wapo wengi tu wenye wadhifa mkubwa serikalini
Nimewaona Air force wengi tena officers wa rank kubwa jeshini weusi
 
Back
Top Bottom