Haya ndo walotufanyia waarabu hawa wanaovaa kama wazungu, Ndo Mana Waafrika waliamua Kupigana nao ili kupata uhuru wao wakati wao walikuja Kuwa wakolono mwishini mwa karne ya 18.
Warabu walikuwepo Afrika mashariki Zamani kabla ya Ujio wa Yesu
Waafrika hwakuwapiga vita na walishirikiana na hata Kindoa,ndo maana leo machotara wengi Ukiwemo wewe Pascal Mayala
Kabla ya Babu yako Kugeuzwa Kuwa Mkiristo.Mimi babu zangu ni Waarabu na bibi zangu ni waafrika ,tena pengine wamasai au Mnyachusa kama wewe wa mbeya.
Hata hivyo kwa habari za uhakika nilizozipata kutoka kwa wazazi wangu wote wawili ambao mimi ni Generation ya 9 kutoka kwa hao mabau na mabibi wenyewe ,wanasema kuwa Muarabu na Muafrika waliishi kwa amani Miaka nenda miaka rudi.
Hata hivyo, kulikuwepo na Biashara ya bidhaa toka Mrima na pia watumwa ambao walikuja zanzibar.Wengi wa watumwa hao walinunuliwa na Wazungu ili kuwapeleka kwenye mashamba ya ya miwa kule Morituius na Sheliu sheli,na wengine Ulaya na Marekani.
Ila waarabu waliishi Afrika pamoja na wenyeji chini ya machifu Wazalendo.
Ila Ujio wa wazungu ndo ulileta Vita na Kuuliwa kwa Machifu na hatimae Nchi kutawaliwa Rasmi na wao
Sasa Hapa siongezi.
.