Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Na nukuu "Sasa tukiweka imani kando yawezekaa yesu alikuwa mwanaharamu,yaani kazaliwa nje ya ndoa" mwisho wa kunukuu. Hili linaingia akilini.na ndio alikimbia kuogopa fedheha na sheria a kiyahudi za kupigwa mawe mpaka afe. Kama nimuijuza hakuna sababu ya kukimbia. Alieleta miujiza ndie angelimtetea . Siamini kama kiumbe kinaweza kushika mimba kwa wakati ule bila ya kuingiliwa kimwili, ni ujuha uliokithiri kuamini hivyo. Nawaheshimu wayahudi kwa kuuukataa katakata uongo mtakatifu
 

Ondoa chuki zako za kipumbavu zisizokuwa na ukweli wowote!
so mlitaka na sisi tuwe upande wenu sindio hata kama waarabu hawakufanya uovu huo? never na haitotokea kitu kama iyo "Muslim ndugu yake Muslim"

Waarabu ni ndugu zetu na ni waislamu wenzetu, na tutaendelea kuishinao hapa, na ktk nchi zao tunakwenda mara kwa mara na wanatupokea kwa uzuri All praise is due to Allah, hivyo mvimbe,mpasuke na ikibidi mpate HEART ATTACK,
 
Labda tuambie aliyekua kinara wa biashara ya utumwa nani?? Uarabuni kuna black Arabs?? Kwann iwe marekan tu na sio uarabuni ving'ang'anizi wa biashara hyo
Uarabuni hakuna black Arabs lakini kuna black Muslims. Waulize wanaokwenda kuhiji Mecca hawawaoni watu weusi wanaongea kiarabu kama lughayao ya kwanza?. Hivi mfalme Qabus wa Oman ni nani? si ana damu kitanganyika ya kale! Lakini ukanda huu biashara ya utumwa ilikuwa si kubwa sana na huwezi kufananisha kwa ukubwa na biashara ya utumwa uilokuwa inafanywa na wakristo kule West Africa.
 
Hakuna mwenye afadhali. Ila tu, ukiwa dini hii utaona ya yule ndiyo mabaya zaidi!
Lakini nimejifunza kuwa mtu mweusi hupenda utumwa. Sijui kama kabadilika!
 
Wale watumwa waliopelekwa Uarabuni vizazi vyao viko wapi!!! Who is to blame and have they apologized and compensated!


bibi wajukuu makaka
baba
mababu,
sasa utoke hapa Tz na shombo lako wende huko dubay uwaambie etii nyie ni watanganyika ,twendeni tukajenge nchi yenu maana waarabu waliwachukua na kuwatesa na kuw.
 
Watu weusi wamepitia mateso mengi na magumu ya kila namna kutoka kwa jamii mbalimbali ikiwemo wazungu na waarabu, na hata weusi wenzao.

Akitokea mtu akakwambia mwarabu ni mtu mwema sana na kamwe hakuwahi kutesa watu weusi, inabidi huyo mtu asamehewe tu. Tena hata kipindi cha ukoloni mwarabu na wahindi ndio walikuwa vibaraka wenyewe wa ukoloni wakila angalau makombo kutoka meza za mabwana zao kwa kufanywa eti raia wa daraja la pili.
 
Historia _007, post: 15902701, member: 278099"]Pasco
Ni ubaguzi tu ndo unaokusumbua...jipange upya.[/QUOTE]
Historia ndiyo inamdanganya Pasco, Wazungu mpaka leo bado wananyanyasa watu weusi kwa kutuita MANYANI,

Historia ya yetu imepotoshwa sana, ili kuficha ukweli.
 
Huyu King Leopold II of Belgium, huyu mzungu pamoja wenzake walikuwa makatili sana tawapa habari zake za unyama aliyowafanyia ndugu zetu wa Congo.
 
The Butcher of Congo.

Watu milioni 10 walikatwa mikono nchini Congo ulikuwa unyama wa hali ya juu.






Only 90 years ago, the agents of King Leopold II of Belgium massacred 10 million Africans in the Congo. Cutting off hands as we see in Sierra Leone today, was very much part of Leopold's repertoire. Today, Leopold's "rubber terror" has all been swept under the carpet. Adam Hochschild calls it "the great forgetting" in his brilliant new book, King Leopold's Ghost, recently published by Macmillan. This is a story of greed, exploitation and brutality that Africa and the world must not forget
 
Hivi mimi nataka kuuliza, hawa ndugu zetu walio kuwa wakiuzwa kama mbuzi walikua na kasoro gani? Yani jamaa anakuchukua kwenu anakupeleka sokoni na anakuuza kama mbuzi na wewe umetulia tu. Unanunuliwa umefungwa minyororo na unapelekwa kutumikishwa halafu na hapo bado unatii amri. Hapa ndio nashindwa kuelewa hawa mababu zetu walikua na tatizo gani.
 


Angalia huu ushenzi wa wazungu wanamuweka mtoto wa kiafrica kwenye Zoo kisha wanamtupia ndizi kama nyani bado miafrica inaona wazungu walikuwa sahihi kufanya hivi daah!
 



Unawafanya hivi binadamu wenzako watu wakilaani huu ushenzi kuna miafrica inajitokeza kutetea wazungu.
 


Hawa watoto walikuwa wanatangulizwa mbele kama wazungu wakitaka kuwinda wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…