ukoo wa wauaji,licha ya Daud kuwa muuaji,pia alikuwa mdhinifu balaa,aliwahi kumuua mkuu wake wa majeshi ili mradi ampore mke wake,
kwa mjibu wa bibilia wanawake wote wa upande wayesu walikuwa ni vyangudoa kwa mjibu wa bibilia.
Vyanzo vingine vya habari vinadai hata mamake yesu alipata mimba kabla mme wake joseph hajamjua,
actually joseph alikuwa ni mzee na alisafiri kwa mda mrefu aliporudi akakuta mchumba wake ana mimba,ikazuka ugomvi.
Fununu zinadai kuwa mamake yesu alikuwa na mahusiano na kijana mmoja askari wa kirumi,
hiyo story inaaminiwa huko uyahudi.
Sasa tukiweka imani kando yawezekaa yesu alikuwa mwanaharamu,
yaani kazaliwa nje ya ndoa